Search results

  1. Singida ndio home

    Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

    Numbers never lie, kwa hicho Kifurushi cha 5 megabits per second ni ndoto kutumia hayo matumizi yako mkuu, au ulisahau kuongeza sifuru kwenu hio 5
  2. Singida ndio home

    Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

    Dah mkuu 1megabit (Mb) = 0.125 Megabyte (MB) Hivyo vifurushi vimepimwa kwa megabits, sasa bashindwa kujua kama umechanganya mafaili au umetupikia chai maana numbers never lie. 5Mbps = 750 kilobyte kwa sekunde, hapo ukishusha mzigo ni kama mb 40 kwa dakika ambayo ni GB 2.4 kwa saa, na hata...
  3. Singida ndio home

    Sauli Luxury Bus njia ya Mbeya naona ndio mfalme mpya Newforce hoi

    Naona ni dereva ndiye anayefanya sauli ifike maana dereva mwengine unaweza kumpa hio basi akafika nalo usiku sana. Anaeendesha gari hii inayowahi kufika hapa mbeya anaitwa Mwinuka, ni dereva ambae anaweza kusoma barabara kaikariri, anajua kutunza muda na ni mzoefu. Hapa hakuna utofauti na mtu...
  4. Singida ndio home

    Ukweli mchungu: Vyuo vya dini kama Tumaini, TEKU, SAUT, N.K ni viwango duni

    Mkuu ngoja nikuelimishe kidogo, Cpa haitolewi na chuo bali hutolewa na bodi ya wakaguzi na wahasibu,
  5. Singida ndio home

    Uyoga, Kilevi salama kuliko vyote, Je Tanzania ni halali?

    Tafiti mbali mbali zimeonyesha kwamba uyoga ndio kilevi salama kuliko vyote, Kwa hapa Tanzania sijaona watumiaji na baada ya tafiti hizi nataka nihamie huku kwenye uyoga kuwa starehe yangu mpya Je, kwa Tanzania hairusiwi au inaruhusiwa
  6. Singida ndio home

    Mambo moto kwa interns wa TAESA kupata ajira, interview za kuzuga tu

    Nadhani ni kuanzia mwaka jana serikali kupitia TAESA wamekuwa serious kuwatafutia vijana sehemu za kujitolea wakiwa kama interns. Za chinichini ni kwamba hawa vijana hawawezi kuachwa ajira zikitoka katika mashirika wanayojitolea. Achana na zile tambwe za utumishi kuwa na mamlaka pekee ya...
  7. Singida ndio home

    Kipi kinaendelea kwa nafasi za kazi zilozotangazwa na TRA kupitia utumishi

    Kuna walioomba kujitolea kupitia Taesa" wanajitolea hapo tra, Taesa na utumishi ni kama kitu kimoja kwa hiyo nadhani hao interns ndio wamepewa kazi. Nasihi sana vijana muombe kujitolea kupitia taesa
  8. Singida ndio home

    Simu Samsung Galaxy S8 haishiki mtandao wa Halotel

    Ingia settings>>connection>>mobile network>>APN>>add Name weka "Halotel" APN jaza "internet" Ukimaliza save Chagua hio APN uliyotengeneza
  9. Singida ndio home

    Yeyote anaye fahamu kuhusu hii application YOUR FREEDOM

    Tatizo ni upande wa settings maana leo hii ukitumia settings hizi unakuta baada ya mwezi mitandao ya simu wanastukia mchongo wanaziba tundu hivyo inabidi settings mpya tena zitafutwe. Hapo zamani bwana Njunwa Wamavoko alitusaidia sana 2012 hadi 2016 wakiziba yeye anafungua kwa utaalam wake,
  10. Singida ndio home

    Msaada wa kupata kioo cha Samsung galaxy S7 edge

    Cha kufanya ingia eBay.com, weka anwani ya sanduku lako la posta, tafuta kioo vinauzwa kwa takribani 120,000, lipa kwa M-PESA master card, baada ya wiki 2 kitafika posta.
  11. Singida ndio home

    Ukweli mchungu: Vyuo vya dini kama Tumaini, TEKU, SAUT, N.K ni viwango duni

    Tunawapigia alarm wachungaji wanaoomgoza hivi vyuo waamke
  12. Singida ndio home

    Ukweli mchungu: Vyuo vya dini kama Tumaini, TEKU, SAUT, N.K ni viwango duni

    Unaenda nje ya maada, udom sio chuo cha wachungaji mkuu
  13. Singida ndio home

    Coronavirus bad karma for one term Donald Trump presidency

    Acha kuongea upuuzi mkuu, ni huyuhuyi Obama aliesema kwamba trump anaweza kiurudisha uchumi kwa uchawi pekee na magic wand, Leo hii trump kapambana uchumi umekuwa mass fake media zimeanza kueneza huu uongo. Kwa nataka haraka na wewe nimeona umetekwa akili na fake news
  14. Singida ndio home

    Jipendelee kwenye elimu yako binafsi, achana na PDF nunua vitabu

    Linapokuja suala la self education, yaani elimu binafsi ambayo huhitaji kufanya mitihani darasani au kuhudhuria darasani basi ni vyema ukathamini unachosoma kwa kununua vitabu na sio pdf. Hizi pdf navyoona ziishie tu huku kwenye kukamilisha lengo la kupata cheti chako cha degree, nasters, CPA...
  15. Singida ndio home

    Ukweli mchungu: Vyuo vya dini kama Tumaini, TEKU, SAUT, N.K ni viwango duni

    Mtu chuo kaenda kusomea taaluma ya kuwa muhasibu kuna haja ipi ya kuanza kusomea kozi za kifaransa, sijui basic english, dini, n.k hivi ni vitu vya kujifunzia sekondari ama mtu achukue kabisa kozi maalum, Haiingi akilini mkuu!!! Nimeshangazwa sana kuna kozi yao ya "Bachelor of Science in...
  16. Singida ndio home

    Ukweli mchungu: Vyuo vya dini kama Tumaini, TEKU, SAUT, N.K ni viwango duni

    Dadeki, kozi ambayo inabidi iwe masomo matano huko ambako unasema hamna matatizo wanasoma masomo kumi, kwa ufupi kuna matatatizo, Kaka na dada zenu walilalamikaga sana hizi ishu ila sasa hao wachungaji sijui kama wataelewa, Yani hii ni kozi ya uhasibu ila cha kushangaza uzito wa somo la basic...
  17. Singida ndio home

    Ukweli mchungu: Vyuo vya dini kama Tumaini, TEKU, SAUT, N.K ni viwango duni

    Nimeongea facts sijasingizia kitu ndio maana nimeiita "ukweli mchungu" Kwa advance wako poa mkuu, shule kibao kama swilla na uwata na nyingine zinafanya vizuri, kuamka ni saa kumi na nusu na kuna mboko za kutosha, ubaya ni kwamba vyuoni huwezi tumia mbinu hizi
Back
Top Bottom