Search results

  1. Chikwangara

    Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

    Unatumia ID's kibao kutetea uhaini mliofanya. Hela ya udalali huwa hailiwi, mpaka mpangaji awe amehamia.
  2. Chikwangara

    Nimemhudumia kwa zaidi ya 900k Guest, lakini kanipiga tukio

    Hapo cha kufanya umeshakijua umekuja kutafuta attention tu. Hapo hamna majadiliano, chapa lapa nenda uka 'focus' na mambo mengine.
  3. Chikwangara

    Tumetumbukiaje shimoni na tunajiokoaje kama Taifa?

    Huyu kiumbe wa Lumumba hata Twitter mmejaa, yaani mmekariri namna ya kumalizia hapo chini. Na mna ID's kibao
  4. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

    Ukiusoma huu uzi utagundua kuwa ma kijani yalijipanga yakanunuliwa MB ili yaje yahalalishe uzwazwa wao. Chakubanga, relax!
  5. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Ingekua ni ccm wamefanyiwa hayo, hapo tungeona hadi DPP angepanda chopa kuja kuchunguza.
  6. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

    Mbona hayo malalamiko wameweka ya NRA pekee? Wao CCM wamelalamika nini, mbona hawaja andika malalamiko yao?? Hawa walikurupushwa. Ila najua TAL lazima aendelee.
  7. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Mwenyekiti na Katibu Mwenezi wako tunawaomba sana acheni kutufokea

    Wewe ni supporter wa chattle man! Unyonge anatupa yeye, na anatunyonga balaa!
  8. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Mzee Dkt. Slaa popote ulipo

    Huyu jamaa analeta unoko sana, hawa ndio wale walikuwa wanajifanya much know sekondari. Anajikuta yeye ndio yeye, GENTAMYCINE acha usekondari.
  9. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

    I'm sure Lissu anakusanya tu ushahidi, mwisho wa siku jiwe ataisoma namba.
  10. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Kagera: Yaliyojiri mkutano wa Tundu Lissu kusaka Urais wa Tanzania 2020-2025

    I wish ningekuwa ai jipi I wish ningekuwa Lissu
  11. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Sikuhizi mnashindana kwa nyomi siyo tena sera.
  12. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Mlisema idadi ya waliojiandikisha ni wapiga kura 29M??
  13. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Mnaambiwa ukweli mnasema ni matusi. Haya orodhesha matusi yake, siyo unakaririshwa na wanufaika, wakati ndugu zako huko Kolomije wanashinda njaa.
  14. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Huyo Membe ni wa kwenu mbona na yupo kimkakati bahati mbaya hana timing.
  15. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Kwani wewe ni mgeni wa Yerusalem?
  16. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Mmoja wa wanufaika wa system. Na jiwe keshajiapiza kuwa akishinda tu, tutalimia meno.
  17. Chikwangara

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Wananchi walio wengi wana kuunga mkono, wamebaki wachache sana ambao bila shaka ni wanufaika wa utawala huu wa awamu ya tano. Kaba hivyo hivyo, kamatia hapo hapo lazima nchi irudi mikononi kwa watanzania halisi ambao wana utu, upendo na wenye kujali maendeleo ya watu kuliko ma 'stegilazi'...
  18. Chikwangara

    Ukiwa Dar!

    Kwa Sinza huwezi pata.
Back
Top Bottom