Search results

  1. Astro

    web designing inaumiza kichwa

    Hii thread inakuwa haina manufaa kwa muuliza swali na hata watazamaji wengine hasa pale inapotokea contributers mnarushiana maneno makali na kuoneshana mabavu, hakuna haja ya kutambiana kwa namna hii kwa maana ni kama tunapoteza mwelekeo. Kwa ufupi, inategemea unataka kujifunza kutengeneza...
  2. Astro

    web designing inaumiza kichwa

    Mkuu hii topic niliiona asubuhi ila nikashindwa kujibu kwa maana nilikuwa natumia simu ya mkononi, napata wakati mgumu kuandika maneno mengi kupitia simu. Nitajaribu kujibu maswali yako kwa lugha itakayoeleweka vizuri kwa kila mtu kwa manufaa ya wote. 1.Websites zenye poor code na hard to...
  3. Astro

    web designing inaumiza kichwa

    I think its about time na mimi nichangie kwenye hiii topic. Mtoa maada nakushauri uendelee kujifunza hizo code za HTML na CSS that is the right way usitake mambo marahisi na shortcut hata kidogo. Avoid kutumia code generation tools,hizi tools zinazokuambia zinasimplify na kugenerate codes zina...
  4. Astro

    Nani zaidi kati ya Wordpress vs Drupal ?

    Hii debate kali sana ila ni vizuri kuona watanzania wakibishana passionately kuhusu teknolojia inaonesha maendeleo kwenye mambo ya IT. WordPress vs drupal vs Expression engine Kwa manufaa ya jamii wapi inafaa kufanya hand coding? wapi inafaa kutumia CMS name wapi inafaa kutumia Frameworks?
  5. Astro

    Saver inahitajika

    Hivi ni Sever au Server ?! napita tu, umakini zaidi unahitajika
  6. Astro

    Samsung watoa laptop(tablet) inayorun os mbili(window 8 na android jelly bean)

    Android inapiga kazi kwenye x86 na x64 processors hii nimeshafanya mara nyingi, kwa sasa nina jelly bean kwenye flash drive though haiko stable sana lakini ni kitu inayowezekana...kuhusu kuweka windows 8 kwenye android tablet hapo sijawahi jaribu
  7. Astro

    What Open Source Project would you like to see?

    A web app security auditing tool with a simple GUI (especially for windows platform )
  8. Astro

    Wakali wa PHP & MySQL hebu fungua huu uzi tubadilishane mawazo

    Thread imepata responses nzuri sana to some extent naweza sema the part inayofanya authentication na authorization ya users as well as management of their sessions ndio one of the most complicated part ya web based systems though wengi huwa tuna-overlook umuhimu wake ingekuwa vizuri kama...
  9. Astro

    Wakuu, mwenye ujuzi anijuze, hii samsung galaxy ni original au fake?.

    Ukitaka kujua kama ni original ingia kwenye dial pad(sehemu ya kupigia simu) andika hii code *#0*# itakuletea LCD test screen,fake huwa hazikubali Vile vile unaweza fuata link hii m.samsung.com/us/support/service/tracking ina service ya kutrack your mobile phone kama sio genuine product...
  10. Astro

    kuweka chatroom ktk web au blog

    Una ujuzi gani katika kutengeneza websites) ? hii kitu ni combination ya languages zisizo chini ya 3 (PHP,Javascript,XML,HTML) na database unaweza kutumia mysql,oracle e.t.c... Kama unazifahamu hizo language zilizotajwa hapo juu unaweza kutengeneza your own chatroom tena kiurahisi sana (kama ni...
  11. Astro

    Jipatie website yako kwa bei nafuu kabisa!!!

    Kwa ujuzi wangu mdogo katika mambo ya web development CMS ni nzuri lakini kama profession yako ni web developer au web designer kujua kutumia CMS peke yake haitoshi, lazima ujue server side scripting languages kama PHP,ASP.NET n.k vile vile ujue client side scripting languages na markup...
  12. Astro

    msaada in web design using php..how to categorize files ...

    Hii kitu ni simple kama walivyosema hapo juu tables zako zinaweza zikawa kama hivi CATEGORIES-category_ID,category_name na FILES-file_ID,file_name,file_category,file_name Kwenye PHP script yako inabidi uwe creative just piga some simple SQL inner joins and you are good to go kila category...
  13. Astro

    REAL DEAL........:''Turn your limited gb harddisk into unlimited storage hdd.''

    hapo umenena mkuu hii ishu ya kuweka kwenye cloud bado sioni use yake sana kwa bongo, Bundle zenyewe bei zipo juu on average 10,000/= Tshs. kwa wiki kwa majority ya providers kuvuka 5GB ni kama ndoto sasa nihamishie terra byte ya movies na games kuziangalia si itakuwa kwa kuvizia, kwa sasa...
  14. Astro

    game la assassin creed brotherhood

    Working Crack hii hapa http://kat.ph/assasin-creed-2-only-crack-skidrow-t3993369.html
  15. Astro

    Software Gani Nzuri Kwa Kuweka Tags n Album Art Work!!!

    tumia hii Mp3tag, ilinisaidia nilipokuwa nakutana na tatizo kama lako, ukiweka tags na album artwork inafanya kazi itafanya kazi kwenye device yoyote. Follow link hapo chini Mp3tag - Download
  16. Astro

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Mkuu angalia vizuri jina la OS niliyotaja ni S40 6th Edition Lite, hii ni kama downgraded version ya S40 6th Edition, hii nimepata kwenye nokia developer website ndio wameelezea vizuri kwenye link hii Series 40: Editions and Feature Packs - Nokia Developer Wiki na devices zinazotumia ni kama...
  17. Astro

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Inawezekana ni youtube wamefanya some few changes kwenye settings zao ambayo hiyo application ya youtube downloader ndio ilikuwa ina exploit/inatumia upenyo kukuwezesha kudownload hizo videos. Kwa Operating Systems kama windows kwenye PC au android kwenye mobile devices kuna community kubwa ya...
  18. Astro

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Kwa uzoefu wangu Application inayo-download youtube videos bila usumbufu ni YoutubeDownloader by picoBrothers kwa upande wa nokia Nokia Store: Download YouTube Downloader and many other games, wallpaper, ringtones and mobile apps on your Nokia phone kama una pc jaribu kufuata link hapo juu uone...
  19. Astro

    msaada wa keys za adobepotoshop

    Keys zake zinasumbua sana huwezi ukamaliza siku bila kukamatwa na wenye chao kama wewe ni mtumiaji wa internet mzuri, PHOTOSHOP CS6 Unaweza ukatumia patch inayo disable hiyo mechanism ya authentication ya software kama umeinunua or not fuata hii link wamelezea step by step: Adobe Photoshop CS6...
  20. Astro

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Hii nokia C01-01 ni ngumu sana kupata application software yenye uwezo wa kudownload youtube videos kutokana na Operating System [Series 40 6th edition Lite] inayotumia ninaweza kukupa suggestion utembelee website kama WapKing - Free Ringtones, Free Videos, Free Games, Free Wallpapers, Free...
Back
Top Bottom