Almost kila kitu kipo tayari. Kutakuwa na sekunde chache za kuwa offline saa 9:30 usiku kwa mida ya Tanzania. Namaanisha, dakika 12 kuanzia sasa.
Baada ya hapo, kazi imekamilika rasmi. Asanteni
Wakuu,
Tunatarajia kati ya saa 7 kamili usiku hadi saa 8 usiku wa leo (1:00am - 2:00am) kwa muda wa Afrika Mashariki kutakuwa na downtime (kutopatikana) kwa Mtandao wa JamiiForums ambayo imepangwa kwa ajili ya kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuboresha mambo kadhaa katika miundombinu...
> Nani wapo nyuma ya uingizwaji huu wa Heroin nchini?
> Malipo yanafanyikaje? Nani mlipaji mkuu?
> Taarifa nilizo nazo zinaonyesha zinatumika boti toka Iran na Pakistani katika kuingiza ‘mzigo’ na zaidi mazao ya kilimo yanatumika kama cover ili kuwapoteza wenye mamlaka
> Huko Afrika Kusini...
> New research by Action for Southern Africa (ACTSA) finds that the Southern African Development Community (SADC) region loses US$8.8 billion in trade-related illicit outflows and US$21.1 billion in external government debt payments per year
> Resources for economic and social rights in...
Nipo mkuu. Majukumu yalizidi, nimerejea. Kuna mengine mapya yataibuka soon tunavyoelekea Uchaguzi. Njia za kutafuta fedha za uchaguzi baada ya 'Wakuu' kuzikataa hela za mabeberu "UNDP" naona kama zimebadilika; wamesababisha watu turudi kazini.
By JF Reporter
FORGET about Panama and Paradise Papers, now it is Mauritius Leaks, which have emerged to contain four - at least for now, Tanzania’s companies that have done businesses or operating huge transactions in the tiny Indian Ocean Island in Africa.
Three months investigations have...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.