Search results

  1. H

    Mwanaume anajenga kwao, mkewe akipanga kujenga kwao anamwambia anafanya mambo binafsi

    Iwish ningekuelewa kiundani ndio tumetangana leo rasmi
  2. H

    Hakuna mwanaume aliyeumbiwa kuwa na mwanamke mmoja

    Unazungumzia vishindo vipi? Labda wa zamani siku hizi mnatupapasa tu... Kwendeni zenu huko
  3. H

    Ladies, unaweza kuanzisha naye maisha?

    Sasa kama mwanzo tumeanza tunapanga kila kitu tulichonacho pamoja...nini kimetokea mpaka ubadili?
  4. H

    Ladies, unaweza kuanzisha naye maisha?

    Hata mimi sikua na hela sema sikua na majukum hivyo kipato changu chote kulikua kinawaza maendeleo ya familia...yeye alikua anapata sema majukum ya kwao nimengi
  5. H

    Ladies, unaweza kuanzisha naye maisha?

    Ndio lkn kwasasa simshauri mtu afanye hivyo 2016 nilikutana na jamaa alikua anajitolea ofc flan analipwa tu kidogo mi nilikua na pharmacy yangu kubwa tu naishi Nilikua nimepanga kiappartment kidogo yeye alikua chumba 1, kitanda fut 3 anakaa chini Nikawa nae akipata hela namshaur nunua hiki hii...
  6. H

    Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

    Afu kaenda chaka kwa 💯
  7. H

    Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

    Hizi hasira ni maisha kupanda au nini?
  8. H

    Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

    Lkn si vinakusaidia?
  9. H

    Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

    Iko hivi nimekua katika ugomvi wa mda mrefu na mwenzangu( mume) bila kupata suruhu Maumivu ni makali hasa dharau ndani mtu kuwa na wanawake hadharan Wala hajali hata ukilia unaoneka unampigia kelele tu. Nimeamua kurudi nyumban kwanza kupumzika. Ninawiki sasa nataka nirudi kwangu ila nikapange...
  10. H

    Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

    Kisa cha kumuita binadam mwenzio mbuzi ninini? Kwamba ilikua ndani ya uwezo wangu kuzuia mauti yake? Au kabla hajanioa ningekataa sababu nilijua angepatwa na mauti!! mkiwa wazima mnapumua hapa dunian msijisahau sana hakuna aombae matatizo
  11. H

    Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

    Nadhan watu mmeenielewa vibaya,binafsi sijashindwa kumsomesha ila ebu vita picha j3 shule zinafunguliaa leo umebeba wadogo zako kwenda kuwafanyia shopping ya madaftal sijui viatu alafu wanakuja navyo nyumban wanajalibishia mbele ya mtoto, ebu fikilia mtoto anajisikiaje je iyo picha ni nzuri?
  12. H

    Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

    Nadhan ni mambo ya ndani zaidi lkn mama mwenyewe alidai kukaa kwa mkwilima hawezi sio kwangu tu hata kwa dada zangu alikataa
  13. H

    Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

    Sasa ni bora angekuwa wazi tu kabla atujaanza kuishi mapema sababu alinikuta naishi nae na akachagua kuishi na mimi wakati anajua na mtoto mnakosea aisee
  14. H

    Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

    Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa mume wangu huyu wa sasa pia ninamtoto 1 Mtoto alikua anaishi nyumban kutoka afya ya mama sio nzuri...
  15. H

    Mume wangu hataki msamaha wangu

    Binafsi Binafsi ujauzito wangu ulikua changamoto sababu niltakiwa nikafanyiwe op hosp kubwa mi napoishi Kuna dispensary tu, hata clinic nilikua naenda bugando na niliandikiwa kabisa ikifika wk ya 38 nirud kwa ajir ya Op na nyumban ni huko mi napoishi nje kudogo
Back
Top Bottom