Search results

  1. robsson

    Htc 7 mozart phone msaada

    hilo tatizo lipo kwenye htc zinazorun windows 7 mimi nina htc yenye android na sina tatizo hilo, labda hapo ubadilishe operating system iwe android kuna njia za kufanya hivyo
  2. robsson

    Airtel Tanzania yapandisha gharama za internet!

    hii itawacost sana airtel kwa sababu watapoteza wateja wengi sana, mi mwenyewe ni mmojawapo
  3. robsson

    Airtel loophole

    Duh! Hilo ni jambo la mbolea sana! Tunasubiria hiyo #
  4. robsson

    namna mpya ya bundle airtel

    umefanyaje?
  5. robsson

    this copy of windows is not genuine

    yani hili tatizo lako ni dogo sana, kama unatumia windows 7 nenda kwenye hii site Technology: Windows 7 genuine activation
Back
Top Bottom