Search results

  1. Leak

    Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

    Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma! Na fikira zikanijia kuwa kuna uwezekano mkubwa wana Jf nao wamenufaika lakini nimefanikiwa kumjua mwana Jf mmoja tuu hapo ! Vijana hizi fursa hamkuziona? Au hamkutangaziwa?
  2. Leak

    Kampuni ya Zikiii yamjibu Diamond, yamtaka afuate masharti ya mkataba na makubaliano!

    Diamond baada ya kulalamika kuwa kampuni ya Ziiki Media haitakiwa watoe wimbo wake na hivyo wana mpango wa kuhuishusha lebel hiyo na mziki wake na wasanii wake! Kampuni hiyo nayo imemjibu Diamond kwa kumwambia afate utaratibu na makubaliano kati yao na asivunje utaratibu na makubaliano baini...
  3. Leak

    Makonda kamuibua kila kiongozi. Sasa wote wanakemea matusi, kwanini walinyamaza?

    Baada ya Makonda kusema kuna watu hasa viongozi wanatumia watu kumkashifu Rais hakika ni kama aliwashitua viongozi na watu wa kada mbali mbali na kila mmoja amekemea na anapinga! Lakini unaweza kujiuliza haya matusi kwa viongozi yameanza leo? Mbona yalikuwepo? Kwanini walikaa kimya mpaka...
  4. Leak

    Makonda: Watalii hawaji Arusha kulala wanakuja kula starehe, ni lazima Arusha iwe salama saa 24. Hao wadudu nitaongea nao

    Kwanza nianze kwa kumshukuru Rais Samia kwa kumpeleka Makonda Arusha! Baada ya kufika jijini Arusha Mh Paul Makonda ameanza rasmi kazi leo na ameongea na baadhi ya wana chi na madiwani akisisitiza kuwa ni lazima jiji la Arusha liwe namba moja zaidi kwa utalii na watalii wanatakiwa kuwa salama...
  5. Leak

    Ni wazi Watanzania wote wameanza kuwaelewa Chadema, TEC na wengineo

    Sasa ni wazi kila mtanzania anaelewa wazi matamko ya kina Mwambukusi, Dr Slaa, Mdude, Chadema na TEC! Sasa hivi wote tuna nena lugha moja wote tunaongea lugha moja na wote tumeanza kuelewana na sote sasa tumeanza kuwa na utulivu na sote tuna tafakari! Sote kuanzia wafanyakazi wa bandari na...
  6. Leak

    Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

    Hivi ni kweli hawa watu walikwenda kufanya baiashara ya kuuza madafu au walikwenda kuonesha maonesho ya madafu Nani ana ruhusu vitu kama hivi Ikulu? Yani wanajaribu kusema na kufanya nini? Ni wangapi wamenunua hayo madafu kuwaunga mkono hawa wajasiriamali?
  7. Leak

    Kinana na Makamba ni wakati wenu kuungana na watanzania kuhitaji Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi. Tumshinikize Rais Samia

    Kwa kuwa wote kuanzia Kinana, Nape, January Makamba na Jokate Mwegelo mmekiri hadharani kuwa miaka mitano iliyopita hali nchini ilikuwa mbaya na watu hawa kutendewa haki na walitendewa mabaya ni wazi wote mnaungana na Chadema na watu wengine kukiri hayo na nyie sasa mmekuwa mashahidi kwa vinywa...
  8. Leak

    Chuo cha Ardhi kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya mabinti mapacha waliokiri kufanyiana mitihani

    Tumekuwa tukisikia hapa Duniani hasa Tanzania kuwa huwa kuna degree za bure na wengine wamekuwa wakisema kuna degree za chupi, lakini sijawai kusikia au kuona watuhumiwa wakikiri kufanya uhalifu kabisa hadharani! Chuo cha Ardhi ni chuo kizuri lakini ikifika hatua ya watu kisa tuu mapacha...
  9. Leak

    Msanii Jaiva wanawake wanampendea nini?

    Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana! Sitoshangaa huyu msanii akiwa anawapata wanawake kisa ana sauti nzito! Au pengine mimi sioni wengine wanacgo...
  10. Leak

    Yapi ni matarjio yako kuhusu mradi wa SGR? Haya ni matarajio yangu!

    Baada ya kuona uzinduzi wa treni ya kisasa leo na ikitarajiwa kuanza safari za Dar-Morogoro ni ukweli usiopingika watu wanajua kabisa ni mradi mzuri lakini kila mtu hana imani na wasimamizi wa mradi huu Tanzania Railways Corp na hii imetokana tuncho kishuhudia kwenye mwendokasi na ni wazi...
  11. Leak

    Waziri Mkenda hawa walimu walikosea nini hadi wapewe hii adhabu ya kuporwa madawati ya kukalia?

    Hii hali ndio inafanya watu wachukie kazi ya ualimu na wengine waione ni kazi ya utumwa na inayo dharauliwa kabisa! Hivi inakuwaje Mwalimu anaporwa kiti au dawati la kukali kisha anakwenda kupewa mwanafunzi? Haki za walimu ziko wapi kwanini mnawadhalilisha na kutweza utu wao namna hii...
  12. Leak

    Ashatu Kijaji: Hakuna uhaba wa Sukari nchini, ipo ya kutosha

    Naibu waziri wa Viwanda na biashara Mhe. Ashatu Kijaji alifanya ziara kutembelea baadhi ya Viwanda vya sukari na alitembelea kiwanda kilichopo mkoani Manyara ambapo alikuta kimesitisha uzalishaji kwa kukosa Malighafi za kutengenezea Sukari. Waziri alitumia nafasi hiyo kusema kuwa hakuna uhaba...
  13. Leak

    Kwa Tamko hili la TAWA juu ya uwindaji uliofanyika hii ni aibu kwa nchi na Fedheha kubwa kwa Taifa! Wanachunguza nini?

    Kwa Tamko hili ni wazi nao TAWA kama walivyo Watanzania nao wanashangaa kuona hiyo Clip hivyo wanafanya uchunguzi kuona na walitoa kibali au hawakutoa kibali! Hizi aibu ni Tanzania pekee unaweza kuzikuta! Hivi kweli TAWA walishindwa kuchunguza wakaja na Tamko linalooonesha kuwa huu uwindaji...
  14. Leak

    Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

    Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano! Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke...
  15. Leak

    Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

    Huu ni utaratibu mpya wa kutoa ajira? Kwanini Majina ya waajiriwa hayawekwi hadharani? Kwanini watumiwe tuu Email? Mbona kweye usaili waliweka hadharani namba na wahusika wa Usaili? Kuna shida gani kuujuza Umma kuwa nafasi 500+ zimepata wahusika? Kuna shida gani TRA? Hapa chini ni waajiriwa...
  16. Leak

    Zitto Kabwe umefikia hatua ya kujidhalilisha? Hakika umeanza kuchanganyikiwa

    HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu! Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa? --- Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
  17. Leak

    Paul Makonda awataka Viongozi wanaosubiri ziara ya Rais ndio watatue matatizo ya wananchi wajitafakari kama wanapaswa kuendelea kuwa viongozi

    Katibu wa Itikadi naUenezi chama cha Mapinduzi (Paul Makonda) amewataka viongozi wa Umma na wa siasa kuacha mara moja tabia ya kusubiri ziara ya Viongozi wakuu wa Umma ndio waje kueleza mazuri na mipango au kutoa ufafanuzi wa mambo muhimu yanayo husu miradi ya jamii na utekelezwaji wake! Paul...
  18. Leak

    Msanii Ray Vanny ni mmoja ya Wasanii wasiotumia akili kabisa!

    Nimekuwa nikifatilia baadhi ya show anazofanya msanii RayVany kwenye show zake hasa za Wasafi festival! Kusema ukweli ni msanii ambaye amekuwa akiwekeza sana kwenye show hizi sana sana hata kushinda Diamond mwenyewe na amekuwa akiwahamasisha wengi kufanya uwekezaji! Lakini mara nyingi inasemwa...
  19. Leak

    Msanii Ruby atoa wimbo! Aomba support ya Mashabiki “YATAPITA”

    Baada ya kutrend na sakata la kuombwa Ngono,Leo msanii Ruby ameona sio mbaya akatumia upepo huo kutoa wimbo unaoitwa “YATAPITA” na ametumia muda huu kuwaomba mumsapoti…. Pamoja na hilo imeonekana kama alitaka kiki ilikutoa wimbo wake mpya.
  20. Leak

    Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

    Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI” Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii? Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi? Rais mbona...
Back
Top Bottom