Hivi ni kwanini VP alikuwa ahaminiki?
Lazima kulikuwa na sababu…
Kwenye story za Mabeo amejikuta ana wataja hadi waliokuwa wanampa taarifa Lissu za mgonjwa!
Mkuu pole sana kwa yaliyo kukuta!
Lakini bado una tatizo la uandishi mbovu unatakiwa kulifanyia kazi mapema!
Tukirudi kwenye hoja yako!
Je hilo simo ulilofeli lina uzito gani kwenye kufundisha?
Ni somo la nguzo(core subject)? Kwani taratibu za kutakiwa kufaulu masomo yote mliopewa zilianzia...
Twambie maharage watanunua kwa Tsh ngapi?
Maharage yanayo hitajika yana sifa gani?
Hao wanao nunua wanatoka wapi?
Hayo maharage wataanza kununua lini na mwaka gani?
Kwani huo mchele una shida gani hebu twambie! Kwani nchi hii hakuna kiwanda cha kutengeneza condom? Mbona hata condom zingine za msaada? Hebu kuleni mchele mnyamaze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.