Search results

  1. edcv

    Need Help!

    Oh I like where this is heading. You are the one who is bigoted, as evidence can be seen through your answers to all our comments. Its just that is exactly where you are headed, to get ass whooped by your "girlfriend" like your fellow countrymen!
  2. edcv

    Jamani nimelogwa au!!!!!

    Kaka mkubwa cyo kulogwa, hvyo vi2 humtokea kila m2. Kumpenda mkeo ni kuchagua kuwa comited kwake na kumuheshimu kwenye nyakati kama hizi ambazo feelings ziko kwa mwingine(actualy, that is the true meaning of love)
  3. edcv

    Need Help!

    So you couldn't get yourself to write something this short? By the way I hear you kenyans get beaten a lot by your wives, could this "liking attention" thing be by any chance the reason?
  4. edcv

    Nitakuwa nimekosea??

    ukimuwekea vijiti ni sawa na kumwambia; 'sasa waweza kwenda fanya uasherati utakavyo-usiogope huwezi pata mimba!'
  5. edcv

    Binti kanizidi kiiiila kitu

    Kaka asikudanganye mtu! cyo kwamba akikufanyia hivyo hakupendi- yani mda mkishazoeana anaweza tu akafanya(trust me on this). Jifunze basi kwa hizo ndoa zinazovunjika kila kukicha...au zingine watu wanaishi tu pamoja ila mioyo yao si pamoja tena.
  6. edcv

    kuna ukweli ndani ya hili penzi?

    Kweli nazidi kuona ukweli wa hili neno-'watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!' .Inawezekana kabisa mkaanzisha uhusiano wenye future NA inawezekana ukajutia sana hatua uliyochukua. so probability ni 50/50. question: are you ready to put your life on gambling table?..... Kuna dr mmoja...
  7. edcv

    ..what is better..

    Nazikubali sana semi hizi. 'He who lives by the sword shall die by the sword'-'what goes arround comes arround'. Nachotahadharisha ni kwamba, Hakuna raha yoyote kufichaficha vitu vya hii dunia. Weka mambo on ze tebo tuende sawa
  8. edcv

    Binti kanizidi kiiiila kitu

    Wengi watakujibu hakuna tatizo(kweli kwa juujuu hakuna tatizo- Na tena pia mkiwa a lot good psychologically hakuna tatizo pia). Ila katika mabonde na milima ya maisha, those differences will be paying u guys a visit every now and then. Swali ni kwamba una uwezo wa kuvumilia pale mwenzio...
  9. edcv

    Mabegi makubwa ya kina dada yana beba vitu gani!

    Hahahahahah!! du! kumbee! ndo maana nawaona full kunenepa kisha akitolewa out hali! ukimuona wakati anakula mihogo yake na azam kola mfotoe kama huyo dada mwenye kiroba apo juu.... Big up ma boy! u nailed em!
  10. edcv

    Wanawake mkoje nyie? Mnataka mpendwe kwa namna ipi?

    Hahahaha....Ukiona hivi ujue cha mbavu tayari hapa...kwishney!
  11. edcv

    Tamaa ya wachaga ilianza zamani sanaa.....

    أليس هذا التمييز؟ Undo edits New! Click the words above to view alternate translations. Dismiss Dictionary
  12. edcv

    Jamani nifanyeje?

    Analysis: Kuna mawili (a)umueleze, (b)usimueleze. BEST CASE SCENARIO: (a)Ukimweleza-atakuelewa, mtayaongea ww, mkewe, yy na wapatanishi yataisha. (b) Usipomweleza-watakununia yy na family yake, watakutenga bila kukushtaki kwa watanzania wengine-u'll loose a friend, u'll get another1,maisha...
  13. edcv

    Wanawake, hivi mnapotoka nyumbani huwa hamjijui kuwa mmevaa nguo fupi?

    stuggle for attention ina haribu maisha ya dada zetu hivihivi
  14. edcv

    mapenzi ya uongo yaumiza

    SS kama ndo nakudei drim c nanogewa hadi clali? die drim=dream
  15. edcv

    ''USANII'' na WAPENZI WETU/WAKO...tukumbushane!

    Yani mm hapahapa tayari umefanikiwa kunisoundisha! duh! kweli wizi mtupu! nipm bac umalize kabisa
  16. edcv

    nampenda akiwa mbali

    Jitahidi uwe na mahaba ya this, yatakusaidia zaidi mkiwa karibu
  17. edcv

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    Hahahahahah! Yani hapa mtoa sredi ametupa jiwe gizani kwa kubahatisha halafu jiwe likafanya kweli na kugonga watu kibao. Watu wana hasiraaa!(My statistics shows kinadada waliochangia hapa wote ndo vile tena-dont blame me, m just a humble statistician). Ila jamani for the sake of fidelity, Ukiwa...
  18. edcv

    Is it fair??

    Kwa kweli its not fair. Love is giving willingly and receiving what is given without forcing. UTAFITI UNAONESHA: watu wanaokaa na watu ambao hawawapendi huku wao wakipendwa hufanya hivyo kwa sababu kuna kitu/vitu wanavyopokea ambavyo wao wanavihitaji kwenye maisha. Hii humuumiza anayetoa coz...
  19. edcv

    Wasichana mnajisikiaje pale mnaposifiwa na wenzi wenu?

    We ndo unafaa mamie, steit tu ze point!
  20. edcv

    Naomba maoni yako!

    Kupima HIV has nothing to do with her feelings, ni formality ambayo wote tunatakiwa kuipitia(kama tunajipenda inatubidi tuzijue afya zetu). Kisha mkipima ikitokea mmojawapo anao, mtapanga ni vipi mwenzie atalindwa asiambukizwe na watoto watakao zaliwa(if there will be any) walindwe pia. Huu ndio...
Back
Top Bottom