Search results

  1. tetere

    Tanzania haijawahi kuwa na Rais mwenye Upendo kama Magufuli. Tumuombee Upendo huu uenee kote nchini

    Mayalla, mtu mwenye upendo unampimaje? Unaupima kwa kipimo gani? Ni vigezo gani unavizingatia na ni vigezo gani unaviacha na kwa nini?
  2. tetere

    Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, ahojiwa kwa tuhuma za kula njama za kutaka kumuua Cyprian Musiba

    Unaanzisha taharuki, halafu unazunguka kutafuta watu wako wa kukusaidia kuimaliza taharuki ambayo umeanzisha wewe mwenyewe. Huu unaitwa Ujinga.
  3. tetere

    Mh.Tundu Lissu tunaomba utuache kwanza!!!Samahani saana

    Sio kweli kwamba Acacia wametuibia sana. Suala ni kwamba sisi ni wajinga kwa kiasi kikubwa sana.........................
  4. tetere

    Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Magufuli anataka kuzika kaburini suala la Bashite, Clouds na Nape. Anatafuta story ya kuzima moto huu unaowaka kwa kasi. Nadhani angekuwa kimya kwanza asome mahesabu ya kina Nape. Amekurupuka na itakula kwake. Anashauriwa vibaya - washauri wake wanamwambia kwamba yeye anaogopwa na kwamba...
  5. tetere

    Uvamizi Clouds Media Group: Kamishna Sirro awataka wahusika wakaripoti polisi haraka

    Hivi Makonda hawezi kufanya jambo likafanikiwa? 1. Kafoji vyeti kagundulika 2. Kabadili jina kagundulika 3. Degree kapatiwa na marehemu Sitta - baada ya kufeli kila mwaka - Imegundulika 4. Hajaweza kumpa mimba mkewe mpenzi - Imegundulika! 5. Kasingizia watu madawa kagundulika 6. Kasingizia...
  6. tetere

    Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Hivi kwa tuhuma alizo nazo Makonda, Ushahidi unapaswa kuweje kwa mfano??? Ni nini kinachoweza kusemwa kikubalike kuwa ushahidi wa kweli au wa uongo? Ni nani anayeweza kusema ili ikubalike kuwa ni kweli? Paschal, Huwezi kuwa na vipimo tofauti vya kupimia uadilifu au Kweli ............... Kama...
  7. tetere

    Dhamana ya Lema: Tume iundwe suala zito la unajisi wa sheria na kuchafua mahakama nchini

    Hapo nyuma hapa Tanzania watu wengi walikuwa wanasema: a) Tunahitaji raisi amabe ni kama mwanajeshi b) Raisi ambae ana maamuzi magumu c) Tunahitaji raisi jasiri d) Tunahitaji raisi asiye Dhaifu e) Tunahitaji raisi anaebana matumizi Pamoja na maombi na all these wishes, Tumepata ambae ni yooote...
  8. tetere

    Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

    Mayala unajivunjia heshima sana (Kwa waliokuheshimu) 1.Hili suala ni Dhahiri mno - halina utata wowote na limeeleweka kwamba: 1. Ama Mtiririko wa Kielimu wa Makonda unachanganya 2. Mtiririko wa Upataji wa Vyeti vyake Unachanganya 3. Mchanganyiko huu unaonekana kwenye majina anayotuhumiwa kuwahi...
  9. tetere

    Zitto Kabwe wacha "Ushenga" hii ngoma inawenyewe

    Kama ilivyokuwa kwa Riziwan Kikwete kutajwa na hivyo hivyo wengine wanatajwa???? Yaani Mbowe anatajwa sababu Chadema walimtaja Riziwan ????? Gwajima ametuhumiwa sababu ya ushenga wake kwa ndoa ya Lowassa na CDM?????? Huuu ni Ubarazuli wa kiwango cha juuu sana
  10. tetere

    Neno la kejeli: Mliomtaka Lowassa mmesahau mlitaka kurudisha nini kwa taifa?

    [COLOR="#FF0000"] Hivi MM mapenzi yako kwa magufuli na CCM ni TABIA YAKE NZURI??? Au chuki yako kwa LOWASSA NI TABIA YAKE MBAYA???? Yaani uzuri au Ubaya wa Rais unaupima kwa kigezo cha tabia peke yake?? Vipi kuhusu vision, endurance and consistency?? Huoni kama unafanya character assassination...
  11. tetere

    Rais Magufuli amekaribisha upinzani Serikalini mwake

    Hii hoja ya Udalali ni kati ya hoja mbovu na muflisi kabisa kuwahi kutumika kutetea uhalali wa nani ahusike katika kuwekeza katika miradi ya Taifa. 1. Katika dunia ya utandawazi na soko huria, ni vibaya na sio haki kuwa na watu wachache wanaotumia hisia zao kuwa ndio sera ya serikali kuruhusu...
  12. tetere

    Hatari: Zanzibar ni zaidi ya inavyonenwa!

    Uchambuzi mzuri sana, wenye uliozingatia misingi ya utafiti na tafakari huru. Tatizo: 1. ''wasomi'' wetu hapa JF bongo zao zimechoka, zimeshazoea kusoma ujinga - unapowapa jambo linalohitaji kuzisumbua bongo zao hawajiwezi 2. Jambo lililoandikwa ni somo zuri ila kuna watu wanaleta kebehi za...
  13. tetere

    Ubobezi katika sheria wa Tulia Ackson ni upi?

    Kwa hiyo hajabobea Online .............
  14. tetere

    Picha: wakenya wakamatwa wakiiba nyama South Africa

    Hawa ni wadokozi. Sidhani kama jina la wizi linawafaa. Hiki kitendo kinahusisha tabia mbaya zaidi. Wizi ni kitendo ambacho kinahusisha lengo na kutenda uovu unaolenga kupata faida. Hawa ni watu wenye tabia mbaya ya udokozi hata yasiyofaa !!!!
  15. tetere

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Who Cares???????????????????????????????????
  16. tetere

    Lowassa is 'Dead' Politically

    I thought I went to school. I started doubt everything after I read your post!
  17. tetere

    Prof. Mark Mwandosya: Mchakato wa kumpata mgombea urais CCM uligubikwa na utata

    Mark Mwandosya yuko Usalama wa Taifa miaka mingi - ninaamini kwamba alipaswa kujua kilichoendelea au anapaswa kujua kinachoendelea. Sijajua kwamba lengo lake ni nini, anataka kusemaje?? Anataka sisi tufanyeje?? Baada ya kusema hayo, anataka tufanye nini???
  18. tetere

    Lowassa is 'Dead' Politically

    So, what is your point???
  19. tetere

    Dr. Slaa: Lowassa alijieleza kwetu tukamuelewa, pia wapo wengine wanakuja

    Kuna watu wanapenda kujipandisha chat kwa mgongo wa mageuzi yanayoendelea. Yaani kila mtu atadai anamfahamu Dr Slaa, hata wengine wataanza kusema wao ni Wamasai wanatoka kwa Lowassa. Yaani kuna wamasai wanadai wataacha kazi ya Ulinzi eti wakaombe kazi Ikulu!!!!!!!!!!!!!!!! Duh!!!!
  20. tetere

    Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Yaani rais mzuri lazima awe mjomba wako?? Rais akiwa Dr Slaa mnasema mzee/babu Rais akiwa Mbowe mnasema mchaga/DJ Akiwa Lowassa ndio kabisaaaaaaa mnataka kutapika!!! Sasa nyie wana CCM mbona mnakuwa kama misukule ????
Back
Top Bottom