aiseee sasa ndugu si utuwekee hapa pdf aiseee watu turuke nacho bana usitubanie bana kama vipi naomba unirushie hiki kitabu private, maana nimekitafuta ebay naona wanasema hawaship to TZ
Hebu toa rough estimate mfano nyumba ya vyumba vitatu self contained ya kawaida inaweza nicost kiasi gani kwa kila aina ya material na ingekuwa vizuri kama ungetoa na sababu kwanini material moja ni nzuri kuliko nyingine ama ni mazingira yapi kutumia labda material hii au nyingine katika baadhi...
Nina kama wiki Tatu sasa Digital TV haioneshi kitu chochote? Pamoja na ku search na kugeuza antena??
Vipi wengine mmepata hili tatizo pia kwa wale wenye TV zenye built in ving'amuzi ? Je solution yake ni nini??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.