Search results

  1. Bee hive

    Tujitahidi kuwa waangalifu sana huko makazini zama za sasa vijana wamejaa majungu na wivu kushinda wazee

    Hili ni tatizo sehemu nyingi za ajira, vijana ni shidaaaa (wengi wao).
  2. Bee hive

    Kusoma Masters na PhD UDSM ni kutafuta ugonjwa wa moyo

    Itoshe kusema, postgrate edu kwa bongo ina changamoto nyingi mno, kupitiliza
  3. Bee hive

    Swali Gumu: Kwanini kila ninayemsaidia huwa hana shukrani?

    Ipo hivi, ukisaidia tegemea lawama, usiposaidia tegema lawama pia. Ndivyo tulivyo wengi wetu.
  4. Bee hive

    Kuna kitu hakipo sawa NACTE: Wanafunzi wamefeli sana mitihani ya semester

    Sijui ni chuo kipi hicho, ila sababu zinaweza kuwa ni nyingi, lakini kabla ya kulalamika mtandaoni, serikali ya wanafunzi hapo chuoni ilifuatilia kujua tatizo limesabashwa na nini?
  5. Bee hive

    Nahitaji ushauri wenu wakuu nimepata supprementary

    Ndg, pole!, Ushauri wangu ni kwamba kama madai yako yana uhalisia, basi majibu yote unayo mwenyewe. Kwanza unahisi matokeo yako ni halali au sio?. Kama ni halali jipange for supp, kama unahisi si halali, fuatilia zaidi (sometimes makosa hutokea). Pili nafikir vyuoni huwa kuna washauri wa...
  6. Bee hive

    Dar Lux Arusha ni kweli basi zilizopo mpaka Jumatatu ni za 40,000? Hamko serious na kazi

    Mkuu, buses zipo nyingi tu mbona. Kamata BM au extra luxury coach kwa mwendi safi na raha ndani. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Bee hive

    Umewahi kupata mkasa gani barabarani?

    Barabarani kuna visa vingi mno ambayo driver yoyote yule ama kwa kuwa makini au kutokuwa makini hukutana navyo. Itoshe kusema kwamba vingi humuimarisha driver with time.
  8. Bee hive

    Ushauri juu ya steam iron please

    Habari wanajamii!, naomba kufahamishwa kwa wenye uelewa, wakati wa kutafuta ili kununua a steam iron, ni aina gani nzuri hapa bkngo na ni vitu gani vya kuzingatia kabla. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Bee hive

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    R.I.P kaka!! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Bee hive

    Mke wa kaka hataki kunifulia

    I guess unataka kuona mapuvu yetu tu hapa. Kweli ulikaa chini ukaona ni muafaka kuleta huo uzi wako hapo?, shame on you!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Bee hive

    Kusoma Masters Open University of Tanzania

    Naomba kupingana nawe, OUT inakufanya usome kuelewa mwenyewe wala si kutafuniwa. Na self discipline na proper time management ndio nguzo kuu. Kwa unayetaka kusoma MPM au course nyingine yoyote, karibu sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Bee hive

    Sehemu nzuri Karatu nayoweza kupata malazi mazuri

    Ni kweli ndg, nilisha wahi fikia hapo park bridge resort ni pazuri. Asante kwa usahauri, ntaifanyia kazi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Bee hive

    Sehemu nzuri Karatu nayoweza kupata malazi mazuri

    Nashukuru, ntafanya hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Bee hive

    Sehemu nzuri Karatu nayoweza kupata malazi mazuri

    Ukifanya hivyo unapata za bei ya juu mkuu, mi nahitaji sehemu isiyozidi 40k Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Bee hive

    Sehemu nzuri Karatu nayoweza kupata malazi mazuri

    Habari wana jamii!, naomba msaada kujua wapi ni sehemu nzuri kufikia karatu (guest house) ambako ntaweza ku park na gari, bei isizidi 40k. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Bee hive

    Askari wa usalama barabarani

    Kila kosa lina adhabu ndg, nilipo andika kila mtu ana changamoto, ni kwamba wakati mwingine kwa uzoefu unaona kabisa driver katenda kosa bila kukusudia (sababu zinaweza kuwa nyingi), hivyo elimu hufaa zaidi badala ya adhabu. NB, siwafundishi kazi. Ni ushauri tu.
  17. Bee hive

    Askari wa usalama barabarani

    Kwanza niwapongeze kwa kanzi yenu nzito na ngumu ya kuhakikisha watumiaji wa njia na barabara wanakuwa katika hali salama. Pamoja na pongezi hizo, niombe tu, kabla ya kutoa adhabu kwa mtumiaji wa barabara (mwenye chombo cha moto) kama ametenda kosa ama kwa kujua au kuto jua, busara itumike...
  18. Bee hive

    Check engine light

    Thanks Chilubi!, hiyo sign iliwaka baada ya kubadilisha hiyo sensor, ngoja nije nitafute scanner ni chunguze tu
  19. Bee hive

    Check engine light

    Habari wanajamii!, Naomba ushauri nini nifanye kutatua tatizo kwenye gari (nissan x trail). Nilibadilisha crankshaft position sensor recently, ila baada ya hilo zoezi, check engine light ipo on always gari likiwa on. Nifanye nini kutatua tatizo?.
  20. Bee hive

    Hivi nani aliweza kuacha pombe kabisa?

    Jambo la kwanza kujua ni kwamba hakuna linaloshindikana chini ya jua. Ni dhamira yako tu ndio inaweza kukutoa huko. Huwezi kuacha ghafla, jiwekee mpango mkakati, slowly utafanikiwa. Usisukumwe kuacha, acha mwenyewe utafanikiwa.
Back
Top Bottom