Search results

  1. M

    Vikosi vya NATO vinafanya zoezi kubwa zaidi la ulinzi wa anga kukabiliana na kitisho cha Urusi

    Kama wanavyo umia Walibya leo, wanavyo umia Syria, Iraq na Iran leo; au wazungu tu ndio huaga watu, watu wa race nyingine kwa definition yako sio watu, is that what you mean? Ngoja niende mbali zaidi, unafahamu wakati wa UBAGUZI wa rangi kule Africa kusini, weusi wenzetu wameteswa HASA na...
  2. M

    Vikosi vya NATO vinafanya zoezi kubwa zaidi la ulinzi wa anga kukabiliana na kitisho cha Urusi

    Du, so what is or who was USSR then? HQ yake ilikua mji gani mkuu!?
  3. M

    Vikosi vya NATO vinafanya zoezi kubwa zaidi la ulinzi wa anga kukabiliana na kitisho cha Urusi

    Hakuna sehemu nimesema USA ni boya, nimesema todate, tumemjua nani mbabe wa hi dunia. Fulani kua mbabe zaidi ya mwingine haina maana huyo anae zidiwa ni BOYA.
  4. M

    Ufaransa ilijitoa NATO kwa amani, Urusi anashambulia nchi zinazotaka kujiunga

    Historia ni SOMO jepesi sana jamani, hutumii akili yeyote kulisoma, yaani unajisomea tu bila hata msaada wa mwalimu. Nakumbuka nikiwa O level, nilikua nahudhuria darasani form 1 na form 2 tu baasi, form 3 sijawahi kuingia darasana kumsikiliza mwalimu, again form 4 sidhani kama nilizidisha zaidi...
  5. M

    Vikosi vya NATO vinafanya zoezi kubwa zaidi la ulinzi wa anga kukabiliana na kitisho cha Urusi

    Umeelewa alicho andika? Kasema NATO iliundwa makhusu kujihami na Russia; hilo ndio lilikua lengo No 1, yanayo fuata sasa hvi ni ziada tu
  6. M

    Vikosi vya NATO vinafanya zoezi kubwa zaidi la ulinzi wa anga kukabiliana na kitisho cha Urusi

    Tangu nimeanza kujitambua, USA hajawahi kupigana na nchi yeyote duniani halafu hiyo vita AKASHINDA; hakuna; alipeleka majeshi yake Vietnam alipigwa vizuri tu na ikabaki kama kashfa kwake todate, majeshi yake pia yaliwahi kupigwa vizuri tu hapa hapa Arica, SOMALIA (though ile haikua VITA ). Iraq...
  7. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Nakushauri usiende kichwa kichwa kuwekeza kwenye hiyo biashara; kakae kwa muda kidogo ujiridhishe, ikibiti tafuta hata vibarua kwao ili upate experience, ukienda na fedha zako kuwekeza haraka haraka utapigwa ushangae. Ushauri hu ni kwa wale tu wanao taka kwenda kufanya biashara ya DHAHABU huko...
  8. M

    Tujuzane yanayojiri Mahakama Kuu Kesi ya Halima Mdee na wenzake vs CHADEMA

    Mkuu, samahani hu ni mwandiko wako au secretary wako!? Haya sio maandishi ya mwana sheria
  9. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Achna na kitu inaitwa DHAHABU kaka, dhahabu inawapa jeuri sana ile watu
  10. M

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Nikionaga mwanamke anaijua vizuri manyo namuheshimu sana; anyway so we Mnyamwezi bado upo mkoani Tanga!? Sorry kwa kuchangia UZI wa zamani
  11. M

    Sio sisi pekee tunaoshindwa kuwaelewa, kumbe hata wao hawajui wanataka nini

    Man buznes mwanaume wa kwanza kumkataa mwanamke aliyemtamani na hajamla
  12. M

    Ikulu mpya lakini bado ina muonekano ule ule wa zamani

    Wabongo tumejijengea TABIA ya kulalamika na kukosoa kila kitu, halafu wakosoaji wengi wala hawajagi na solution; we need to change this kind of behavior
  13. M

    Mwaliko wa Harry kwenda kwa familia ya William wapotezewa

    Nadhani huyo uliye quote hajaoa bado
  14. M

    Why do I love Russia

    Kuna ushahidi wowote unao onesha kwamba Urusi ililazimisha nchi yeyote kuufuata UJAMAA!? Nijuavyo, tulifuata UJAMAA kwasababu ya historia yetu wenyewe; tusimsingizie mtu kwa matatizo yetu; hatukushishikiwa bunduki kama tunavyo shikiwa sasa hivi. Imagine leo tunaambiwa turuhusu SERA za ushoga...
  15. M

    US yazionya nchi za Afrika kutonunua nafaka kutoka Urusi

    Enzi za ubaguzi wa RANGI kule SA nchi nyingi za Kiafrica (sio zote ) ziliiwekeaga vikwazo South Africa, wao USA na mataifa mengine makubwa ndio kwaanza waliendelea kuwapa hadi teknolojia ya neucler plus kuwekeza zaidi kwenye biashara ya migodi! Why always they want us to be the enemy of their...
  16. M

    Kabla haijaitwa Bahari ya Hindi, watu wa Afrika Mashariki waliitaje?

    Ndio jamaa kauliza, wenyeji wa mikoa ya pwani hasa Wazalamo na Wakwere walikua wanaitaje? Ingawa bado napata wasiwasi kuhusu asili ya hilo neno kwamba ni Uarabuni; remember baadhi ya maneno yanafanana though lugha ni tofauti so ni ngumu sana kujua nani alianza
  17. M

    Somo kutoka Urusi: Ili Taifa lipate mafanikio lazima kuwe na "consistency" kwa viongozi wa wandamizi na nguli

    Nadhani tuna source tofauti tofauti sana za inform; ninacho kijua mimi ni kwamba hata USA na baraza lao wanajiuliza kwanini jamaa haichukui Kiev? Kwanini pia hapigi reli, vyanzo vya umeme? Kaviacha tu why? Kwanini hapigi hata jengo la bunge ilihali halina ulinzi kiviile? Why? hayo ni maswali...
  18. M

    Kabla haijaitwa Bahari ya Hindi, watu wa Afrika Mashariki waliitaje?

    Kama nimekuelewa vizuri ni kwamba sisi hatukua na JINA!? Is that what you mean?
  19. M

    Somo kutoka Urusi: Ili Taifa lipate mafanikio lazima kuwe na "consistency" kwa viongozi wa wandamizi na nguli

    KAbla ya hi vita uliwahi kujua sarafu ya Urusi inaitwaje? Anyway, kila mtu na fikra zake; i think nchi kama India sasa hivi zinatajirika sana kupitia hu mgogoro, mafuta ya Urusi mengi yanauzwa India kwa bei rahisi halafu India ana process then tunakuja kuuziwa sisi; hebu pia prot graph ya...
  20. M

    Kwa hotuba hii ya Waziri Masauni, ni dhahiri nchi haikuwa na amani

    Mrembo, ni kama hapa umemsingizia vile; unakumbuka siku Tundu anapigwa risasi "msema kweli" alisemaje kuhusu waliokua wakimpinga kuhusu mambo ya madini? Hayakupita hata masaa 6 Tundu akawashwa so ni kweli "msema kweli" alikua anasema ukweli
Back
Top Bottom