Search results

  1. S

    Fistula: Sababu, dalili, athari na tiba

    Asante kwa kunisaidia kujua maana yake ila ni kweli hupata wanawake wafupi?
  2. S

    Fistula: Sababu, dalili, athari na tiba

    Habari wana wa Forum, Kwa upeo wangu fistula ni ugonjwa wa kutokwa na haja ndogo mara kwa mara na kwa kutokujijua kama unatokwa na haja ndogo na mara nyingi huwatokea mama zetu baada ya kujifungua. Sasa wana wa forum nahitaji kujua zaidi maana ya huo ugonjwa na dalili na cause zinazopelekea...
  3. S

    Nahitaji msaada wenu jamani!!

    nashukuru kaka kwa ushauri wako..
  4. S

    Nahitaji msaada wenu jamani!!

    nina umri wa miaka 21 na vinatokea eneo la juu kwenye penis na vimeanza since mwaka jana mwishon
  5. S

    Nahitaji msaada wenu jamani!!

    noup ukizingatia sijawahi kusex na mwanamke
  6. S

    Nahitaji msaada wenu jamani!!

    habari zenu wana jf,nahitaji kujua na kupata ushauri wenu kwani katika sehemu yangu ya siri(uume)imekuwa ikitokwa na vipere vidogodogo jaman sasa nashindwa hata kuelewa nini hasa tatizo ukizingatia hivyo vipere haviwashi wala kuivaaa
Back
Top Bottom