Search results

  1. mathematics

    Sheria mpya za TCRA : Vipindi vya mapenzi kama Ala za Roho na Chombeza Time kuanza saa 6 usiku

    Inamaana hadi saa 4 usiku kuna watoto wanakua hawajalala...?
  2. mathematics

    Mtandao upi una vifurushi nafuu Tanzania

    Halotel ndio bei rahis vifurush vyake ila speed kobe akasome...
  3. mathematics

    Natafuta paka: Panya wananitesa sana, mimi niko Dar es Salaam

    Kwanza jiulize kwanini panya wapo ndani mwako? Nyumba ina matundu, hivyo wanatokea nje? Nyumba ni chafu na haina mpangilio wanaishi na kujiificha humo ndani? Ukipata jibu tafuta suluhisho la kudumu.
  4. mathematics

    The Rothschild Khazarian Mafia: Khazarian Kingpins who must be destroyed if the word needs peace and order

    The chosen ones my foot. Amwrica is already hijacked and kinapped, no one can save the world. Any leaders who come to differ with these parasites and come with blah America patriotisim will never get chance!
  5. mathematics

    Wazo langu mbadala: Kama ada zinalipwa vyuoni, kwanini ada zisilipwe pia kwa kampuni na taasisi binafsi ili wahitimu wapate mafunzo ya kazi?

    Wazo la kijinga. Serikali kama mzazi ana mipaka yake ya kukulea na kukusomesha, kusomeshwa kwa kupewa mkopo na serikali hasi digrii inatosha.
  6. mathematics

    Kwanini USA ilishindwa Vietnam lakini imefanikiwa Vita za Mashariki ya Kati kama Iraq, Syria, Afghanistan na Saudia?

    Marekani hakushindwa Vita ya Vietnam aliamua kuondoa majeshi baada ya kuona inamtia gharama sana, na wanajeshi wengi wanakufa, ingemgharimu bajeti kibwa zaidi na wanajeshi wengine kufa. Wananchi nyumbani USA wakapaza sauti, bunge likaamua liachane na hiyo vita wanajeshi warudi nyumbani!
  7. mathematics

    Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

    Tsh Million 20 ni sawa na US dollar 9,000... Kwa mbele huo ni mshahara wa nurse.
  8. mathematics

    Kutembea na Mpezi wa jirani unapoishi, ni sawa na Gereza la Mapenzi

    Mke wa jirani... Mpenzi wa jirani... Watu mna mioyo na mna digrii za kuishi lwa wasiwasi...
  9. mathematics

    The reasons why Fat ladies are Better wives than Slim ladies

    Lazima utakua kibonge au una demu kibonge, oa tu mkuu usiangalie ubonge au wembamba angalia moyo na akili zake.
  10. mathematics

    Hizi ndizo sababu kuu za mafuriko ya watia nia CCM

    Waweke kigezo cha ubunge iwe shahada ili kupunguza mafuriko...
  11. mathematics

    Hakuna kinachoshindikana chini ya jua (huu msemo ni uwongo)

    Hahaha jamaa anaamini ndoto zake ndio maana kasema hivyo... Mpe muda halafu ndio uje useme huo msemo ni uongo!
  12. mathematics

    Ombi: Serikali ya Tanzania ipeleke agenda African Union (AU) ya kuwakatia eneo la makazi waafrika waliochukuliwa utumwani ili warejee nyumbani

    Hatuwahitaji wabaki hukohuko, pamoja na kuwa wanabaguliwa wale black American huwajui walivyo dharau na ngebe! Je unafikir pia huku ni salama, ni wangapi wameuliwa na Polisi hapa Tizii au sababu ni black ameua black mwenzake? Pia hao black Americans wanauana sana wenyewe kwa wenyewe kuliko...
  13. mathematics

    Kati ya kiarabu, kiingereza na kihispaniola ni lugha ipi ina wazungumzaji wengi duniani?

    Kama lugha ya kwanza ni Spanish.... Kama lugha ya pili ni English! Sijui hata kama umenielewa.
  14. mathematics

    Kisiwa cha Kome Mkoani Mwanza chateketea kwa moto usiku wa leo

    Kisiwa chote kimeungua?? Yaani kama gharika hivi ndio unachomaanisha?!
  15. mathematics

    Kuvuka million kama Akiba ni changamoto sana

    Ukijielewa na ukipata majukumu utaacha endelea tu kubet mkuu uwe milionea
Back
Top Bottom