Search results

  1. K

    Kati ya Wanaume na Wanawake nani mabingwa wa kuharibia wenzao maisha?

    Ukikutana na mwanamke akakamata akili yako kisawasawa, Kwa kutumia mbinu za kiafrika, urudi huku utoe taarifa. Itakuwa huwajui wanawake vizuri - you are too junior.
  2. K

    Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

    Jichanganye! Uje kusimulia Moto. Kuna binti jirani alizaliwa nao, anautetemesha mtaa. Ana kama 20's hivi; watu kibao wameunguzwa nae.
  3. K

    Madai haya juu ya wa 2000 yana ukweli wowote?

    Kumbe nimezeeka ee! Duh! Vijana wa Nkapa wamekomaa na hawaoni hatari yoyote. Kijana anatimua marathoni dhidi ya ' wazazi wake' huku anajitapa
  4. K

    Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

    Ni matokeo ya vijana kuondoka mikononi mwa mazazi ukiwa bado hawajaiva vizuri, huwezi kukuta kijana aliyelelewa na kupewa maadili na usimamizi nzuri anatete upuuzi. Vijana wa 2000 ndio shida zaidi, wengi wao wamezaliwa nje ya ndoa, wazazi wamevurugana au ni matokeo ya nyege wala si mipango ya...
  5. K

    Nyanya imekuwa bidhaa adimu Tanzania sababu ni waarabu kununua mashambani na kusafirisha nje

    Unaweza kuta mlalamikaji yupo Kinondoni, kwa Manyanya; hajui wala hataki kujua mvua ikivyogaragaza nyanya mashambani
  6. K

    Nahitaji Masada

    Waliosoma 'between lines' wameelewa, labda mtu awe VII B. Pole sana asee! Kila mtu ni mdhambi na yupo hatarini kuanguka zaidi kwa3kutolitii neno. Sijui imani yako, ila nilitamani upate huduma ya kiroho kwa padre mmoja kiboko ya giza. Kama itakupendeza, nitafute PM naweza kupa A, B, C za...
  7. K

    Nini kifanyike mgogoro wa Bajaj na daladala?

    Njiro kwa madoni, wanaochelewa mjini wana usafiri bonafsi - hata hizo banaj alfajiri sana hazipo. Acha iwe hivi hivi, mtu akiona barabara haitoshi akimbilie pori. Serikali ipambane na mambo yenye hadhi yake - sukari, umeme, ...
  8. K

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Nipo makini kufuatiliwa majizano ya wote. Endeleeni kufunguka. Nitasema neno hali na muda vitakaporuhusu.
  9. K

    Mke akizaa nje ya ndoa na akakiri usimfukuze, chunguza sababu na uikabili

    Ni uduwanzi wa kiwango cha daraja la kwanza! Yaani mihudimie mimba, matibabu, Elimu, msingi wa maisha ili hali si damu yangu, je mimi nimeanzisha NGO's? Mbaya zaidi mizimu ya kwao ikilianzisha, nalazimika nitoe gharama ili 'malaya' mama yake ampeleke mzinzi mwenzake. Hata mwanamke hayupo tayari...
  10. K

    Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

    Inakppa 3 unalopa 8, dah! Tenakopo wa niashara. Unauza nini maana na sisi tuzamie hivohivo
  11. K

    Misemo ya kichaga!

    Kichaka kya wandu wo kasa!
  12. K

    Maji salama ya kunywa, Tunafunga na kuuza water purifier kwa bei nzuri

    Nimepitia hiyo Insha sijaona bei, nchi mashine ilipozalishwa, gharama za kufunga, n.k Hivyo naona kama makelele tu
  13. K

    Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

    Hapo kwa wanawake, tafakari mara mbilimbili. Kilimo cha bustani si lelemama, nimejaribu nyanya
  14. K

    Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

    Natamani kupata kijana mmoja nikomae naye kihome home (kulima mbogamboga na kufuga ng'ombe wa maziwa)
  15. K

    UKIMWI upo ndugu zangu

    Huyo hana UKIMWI bali ana virusi vya UKIMWI. Akiendelea kulia atapata UKIMWI. Mshara wa dhambi ni mauti
  16. K

    Hali ya upatikanaji wa sukari ikoje mahali ulipo?

    Ipo kwa aliye tayari kulipa 4,500 @kg
  17. K

    Wakatoliki boresheni Ibada zenu

    Je una mipango wa kugombea udiwani ndg?
  18. K

    Msaada kilimo cha nyanya

    Wadau toeni mwongozo kama akitumia Spidex inaweza okoa jahazi
Back
Top Bottom