Search results

  1. B

    Ni jinsi gani ya kumfanya mwanamke apate raha/afike kileleni pasipo kujamiiana?

    Uko kitandani na mke wako, leo hamtaki kukutana kimwili lakn unapenda mkeo afurahie uwepo wako kitandani. Njia gani itumike?
  2. B

    Msaada kuhusu kumsafirisha mgonjwa

    Naomba wanajf mnisaidie juu ya haya. 1. je mgonjwa anayetibiwa kwenye hospitali za wilaya mfano ngara akipewa referal aende bugando ni lazima aende na nurse? 2. naomba kujua kwa kutumia land cruiser, kutoka biharamlo saa 2 asbh kwenda mza mjini unafika saa ngapi na je unaweza kugeuza na kufika...
  3. B

    Naomba msaada kuhusu hedhi.

    Asante sana ndugu zangu kwa elimu nzuri sana. Mbarikiwe sana.
  4. B

    Naomba msaada kuhusu hedhi.

    Thank u very much. U are so great.
  5. B

    Naomba msaada kuhusu hedhi.

    Asante sana ndugu kwa shule yako nzuri. Kwa hyo una maana kuwa kwa mwezi unaofuata hataingia tarehe 08 kama mwezi huu bali ataanza kati ya tar 05 na 06?
  6. B

    Naomba msaada kuhusu hedhi.

    Asante mpendwa, lakn sijaelewa vizuri, mbona umetofautiana sana na jamaa mwingine humu ndani?
  7. B

    Naomba msaada kuhusu hedhi.

    Asante kwa majibu mazuri sana, yeye ni siku 28, lakn naomba kujua je kama ameanza tar 08 tunahesabu tarehe 08 kuwa siku ya kwanza au tunachukua mtindo wa masaa 24 kwamba kama ni tar 08 saa 2asb basi siku ya kwanza inahesabika kukamilika ifikapo tar 09 saa 2 asbh au tar 09 ni siku ya pili?
  8. B

    Naomba msaada kuhusu hedhi.

    Habr za usiku wapendwa. Naomba kufahamu siku salama kwa msichana ambaye ameingia hedhi tarehe 08.
  9. B

    Msaada juu ya uke wa mke wangu

    It's opinion! Thank u very much.
  10. B

    Msaada juu ya uke wa mke wangu

    Asante sana wadau kwa ushauri wenu na maoni yenu kwa ujumla.
  11. B

    Manesi wa kike na ndoa zao zilivyo hatarini!

    Asante kwa kuweka ukweli unaoujua. Lakn naomba nikuulize, vp lakini, unakubaliana na mm kuwa hawaolewi na walioolewa hawadumu kwenye ndoa zao? Naomba experience yako.
  12. B

    Manesi wa kike na ndoa zao zilivyo hatarini!

    Kwa hyo na maisha yao ya mahusiano ni ya wito?
  13. B

    Manesi wa kike na ndoa zao zilivyo hatarini!

    Tuendelee kutafuta sababu make hata mm nataka kujua ni kwa nn.
  14. B

    Manesi wa kike na ndoa zao zilivyo hatarini!

    Naomba wadau tujadili haya mambo mawili juu ya madada/mama zetu wa kada ya unesi. 1. Ni kwa nini familia nyingi sana ambazo mama ni nesi walishatengana na waume zao? (kutokana na uchunguzi mdogo kwa familia ninazozifahamu na hata taarifa kutoka kwa watu wa karibu na familia kama hizo) 2. Kwa...
  15. B

    Msaada juu ya uke wa mke wangu

    Sina majibu mkuu. nauliza kujua comperative advantages for making the best choice.
  16. B

    Msaada juu ya uke wa mke wangu

    Hujanitukana mkuu, make hayo ni mawazo yako.
  17. B

    Msaada juu ya uke wa mke wangu

    Wala hatumii vidongo vyovyote.
  18. B

    Msaada juu ya uke wa mke wangu

    Thank you. But why olive oil not ky jelly?
  19. B

    Msaada juu ya uke wa mke wangu

    Asanteni sana wapendwa. Naomba kuuliza kidogo, kati ya KY JELLY NA OLIVE OIL yapi bora zaidi kwa suala langu? Na je hayo mazuri yanapatikana wapi kwenye maduka ya vipodozi au maduka ya madawa?
Back
Top Bottom