Kwani toka lini wewe majibu yako yakawasaidia wananchi zaidi ya kuuza sura tu ooh nchi 4 ulaya wiki mbili dar?? msaada upi hasa uliowahi utoa kwa wananchi mbaka uweze kusimama na kutamba kiasi hicho ati huna muda?? ila muda wa kuandika pumba fb unao si ndio??
We mzee!! sikumbili hzi FB sijaona pumba zako..vp..baada ya ziara yako kijijini nini kinafata?? mambwepande ulipita??? alafu usione sifa kujipa promo kwa kujianzishia thread..akina zitto na january hawatafuti sifa kwa kutumia social networks kama akili yako inavokutuma..vp lile bonanza la...
ha ha ha, sijui atakua kaandama na mkewe yule asie cheka..?? spati picha ile wameshuka watu wanaanza kurusha mawe haoo haoo kamataaa shikaaa ..sijui bi.tumbusi ana mbio?? mana naskia hiki kizee kina mbio kama ngiri
Mtu mzima kutoa maamuzi yaliotawaliwa na jazba na ushabiki wa kisiasa hata haipendezi..kwa akili yake alichoweka kichwani ni maandamano ya CDM..taka taka kabisa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.