Search results

  1. K

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Bado mgombea wa ACT Arusha mjini na kampen meneja wa chadema kanda za juu kusini waliopataga ajali akiwa na mgombea ubunge kama sijakosea ni wa songea huko.Mungu awape pumziko na mwanga wamilele awangazie
  2. K

    Mada moto live on Channel Ten: Yaliyojiri mwisho wa wiki kuelekea uchaguzi mkuu

    Huyu jamaa ameharibu kipindi pumba tupu sijui kwanini jana hajaalikwa jangwani.Polepole aibu yako
  3. K

    Mada moto live on Channel Ten: Yaliyojiri mwisho wa wiki kuelekea uchaguzi mkuu

    Huyu polepole kadiri siku zinakwenda anadhihirisha ninani yani hata akizungumziacho hakijui.Namshushia thamani kila leo.Huwezi nilazimisha itikadi zako ziwe ngango.sidhani kama nitakaa nikusikilize
  4. K

    VITUO VYA Tv vyanunuliwa dhidi ya LOWASA

    Hapo umenena.Mimi mwenyewe nimeshangaa Chanel ten ,TV one sijaona habari za ukawa.
  5. K

    Kinana awaita Makapi wote waliochujwa na CCM kwenye Uchaguzi wa ndani

    Mlisha peleka gari service name kumwaga oil chafu.Haina kazi tena kwa upande wako ndiyo maana umeibadili na kuitupa mpita njia kapita kaiona na kuona inamfaa kaichukua yanini kuendelea kuimbuka na kuililia?Ina kazi gani tena kwa upande wako? Au nichuki na chinga aliyeichukua au ni wivu? Au ni...
  6. K

    Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

    Sijawahi kuumizwa na mwanasiasa kama safari Hii ya Dr Slaa .Amenifanya nijutie kuwa mfuasi wa siasa hasa siasa ya upinzani
  7. K

    Mwenyekiti wa CCM

    Kwa mojibu wa katiba ya CCM raisi wa nchi ndiyo mwenyekiti wa CCM taifa.Tuumize kichwa kidogo je! Ikitokea mh Magofuli akaukosa uraisi mwenyekiti atabakia yuleyule au atakuwa magofuli?
  8. K

    Tatizo la maji kwa maeneo ya Ubungo na Kimara

    Tatizo la maji kwa maeneo haya na mengine kwa jimbo la ubungo tatizo ni siasa/jimbo la upunzani au nini? Nizaidi ya miaka 2 sasa tunakaa mpaka miezi miwili bila ya maji. Waziri husika ofisi zako zipo Ubongo unalifahamu hilo? Mh mbunge John Mnyika mbona huitishi maandamano kuelekea kwa waziri wa...
  9. K

    Majimbo yanayotawaliwa na CHADEMA yazidi kudhoofika kiuchumi kutokana na siasa chafu...

    Nikweli kabisa mkuu. Majimbo yote ya CCM yapo juu umeme ,maji ,barabara ,shule na Hosp vyote safi endeleeni na CCM yenu na maendeleo yenu.Sisi tutabakia na mdororo wetu na CDM yetu
  10. K

    CHADEMA Yatelekeza Mgombea wa Udiwani kata ya Mkwiti

    penye nia penyeza rupia.Wenyewe hamtaki kubadilika na hakuna dalili za mabadiliko.zilisha fanyika kampeni kubwa kuliko hata zilizowahi kutokea Arusha.tulisha waonyesha njia mkitaka badilika msipotaka tunasonga mbele.
  11. K

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr Willibrod Peter Slaa.Anastahili na anasifa zote zakuwa Raisi wa watanzania.
  12. K

    Swali la Uchokozi: Unafikiri kwanini NEC Wamekubali Kuboresha Daftari la Wapiga Kura Sasa?

    Tunapoa ona/ au kuletwa mada zenye maslahi ya kitaifa tujaribua kutumia akili na sii makama. Kama huna lakuchangia acha sii lazima kuchangia. Punda haendi bila vibiko wamekubali kuboresha hii ni baada ya M4C OPD .serekali yetu sii yakufanya kazi yenyewe kwa mojibu wa katiba bali ni ya...
  13. K

    Mboni Show hongera

    Nimeangalia kipindi cha mboni show siku ya leo jmos tar 18.1.14 hakika kilikuwa kizuri na nimekipenda wageni waaliku walijitahidi kuzungumzia mengi sana.Waalikwa ni George Masatu Dua Saidi na CBE big up mmenikumbushia enzi za uchezaji wenu mkiwa na akina Mwameja, anko Tom, Athuman...
  14. K

    Waraka wangu kwa viongozi, wanachama na wapenzi watukufu wa CHADEMA

    Samahani naomba kukusahisha japo kidogo hakuna kundi la Mbowe ndani ya CDM bali kuna kundi la Zitto kumekuwa na kundi la Zitto sababu anapingana na viongozi wake wa kitaifa na pili anapingana na katiba ya chama hilo kundi unaloliita la Mbowe sii kundi bali ni wanachama wa Cdm,hata leo hii...
  15. K

    Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    Habari kubwa kuliko zote kwa mwaka 2013 ni kifo cha Mandela.sababu kiligusa takribani media zote duniani na mitandao tote ya kijamii. Vile vile nitukio lililo wakutanisha maraisi wengi waliopo madarakani na walio staafu, Pia wasani na watu maarufu . Kama unaweza kuwa msiba wa kwanza...
  16. K

    PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

    Angekuwa mtiifu na msikivi angelifika mbali sana na kuweka historia yake mpya .Ila kutokana na tamaa ,usaliti na kutokupenda kutawaliwa ataishia huku huku alipo.
  17. K

    Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    wanajilaani wenyewe wa kifikiri wanaikomoa CDM.Tunasonga mwele tuu
  18. K

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

    Hayo masalia yatoke tuu tubakie na ngano.wewe ukisha ona hutufai au huwezi kuenenda na kasi yetu kaa pembeni.Tumepambana na vyama vingi,vilivyopo madarakani na dola pia na tukashinda sembuse ww mwenyekiti magamba usiye na cheo?kuupata uhuru au kutoa chama chama tawala madarakani sii lelema...
  19. K

    Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

    Yatasemwa mengi ila ndiyo wanawakomaza na kuwaandaa kisaikolojia kuchukua nchi.
  20. K

    Hakuna anayeweza kuizima nyota ya Zitto, ila Mungu pekee

    Kama walimkaribisha na kumpokea kwa mikono miwili Mwampamba basi na kwa Zito wafanye hivyo.Ni mwana siasa msomi ,na mzoefu na mwenye uwezo wa kushawishi.ila anapenda kuonekana ni maarufu zaidi kuliko chama chake pili anapenda zaidi kutawala kuliko kutawaliwa.
Back
Top Bottom