Search results

  1. Mr.genius

    App nzuri ya biblia

    Mimi natumia inaitwa "You version" nzuri sana moja ya advantage yake nachoipendea ni uwezo wake wa ku switch to other bible version yaani unaweza ukasoma KJV ukaenda swahili union, ukaenda contemporary English Version yaani ni wewe tu!
  2. Mr.genius

    Kwanini Mawazo ya biashara kwa sisi Watanzania hufanana sana. Ni uvivu wa kufikiri?

    Nadhani ishu ni ubunifu hapa na kujiongeza a little bit (kama mtaani wanavyosema). Biashara hizi hizi kama tukiwa na jicho la kuona kitu cha pekee (kua mbunifu) basi tutatoboa.
  3. Mr.genius

    Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Basi kama mambo ni hivi, mtoa mada hoja yake inamashiko sana mamlaka wapokee wazo hili.
  4. Mr.genius

    Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    Kwa attitude hii, I guarantee you utafanikiwa lazima!
  5. Mr.genius

    INAUZWA Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa

    Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa. Vifaa vilivyopo ni Drayer za kukausha 2, Drayer ya mkono 1, Drayer la stima 1, kioo kikubwa kimoja, rolas na tray ya rolas. Bei Tsh. Laki tano (500,000/=) vinauzwa vyote kwa pamoja. (As a package) Vifaa vipo Morogoro mjini. Kwa mawasiliano zaidi 0688476770.
  6. Mr.genius

    Biashara ya mafuta ya alizeti

    Wateja wa Tz ni price driven type of customers yaan tunaaangalia bei ktk kufanya maamuzi ya manunuz kuliko hata ubora saa nyinge. Cha msingi mafuta yawe ktk ubora unaotakiwa na bei nzr vingne ni 'mbwembwe' unless unataka kuji brand kwny soko.
  7. Mr.genius

    Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Naona km watu wa VETA, wanapishana na gari la mshahara hapa demand yoye hii ya machine?
  8. Mr.genius

    Watu milioni 60 kinachotushinda ku-solve tatizo la mafuta ya kula ni nini?

    20 acres utaweza kupalilia zote mkuu? [emoji2]
  9. Mr.genius

    Tujadili uhalisia wa kilimo biashara cha sasa na kilimo afya

    Mawazo mbadala, kwan hatuwez kulima kibiashara na still tukatunza afya zetu na afya ya udongo? Au mkuu una neno tu na slogan ya 'kilimo biashara' [emoji28]
  10. Mr.genius

    Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Kwani kikawaida ilitakiwa itoe kiasi gani?
  11. Mr.genius

    Wataalamu wa photoshop na digital painting msaada wenu tafadhali.

    Kwa kuongezea, even without drawing tablet hizi painting znafanyika. ckuiz mobile gfx designing industry inakua sn. Akiwa na simu km za Samsung note series yoyote ile anaweza kutoa kitu km hiki sabab aina hz za cm znakuja na ka pen, km ka stick flan hv kwa kufanya drawings km hz. Na software...
  12. Mr.genius

    Wataalamu wa photoshop na digital painting msaada wenu tafadhali.

    Mkuu, ungekua makini tayar ungekua ushaelewa mana nmetaja hapo juu aina hyo ya painting inaitwa smudge painting. So just ingia yutube type hiyo key word tutorials ziko nying sn ushindwe wewe tu na aina ya software yako unayotumia. Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
  13. Mr.genius

    Kwanini wazungu wanakua/wanapata maendeleo wakiwa wadogo?

    "Mlee to to ktk njia impasayo nae hataiacha hata atakapokua mzee" the bible says
  14. Mr.genius

    Wataalamu wa photoshop na digital painting msaada wenu tafadhali.

    Mpaka nmecheka, hii mbona ni simple sn, hii picha cjui cartoon kwanza imetengenezwa kwa app ya cm na aina hii za cartoon znaitwa smudge painting ni aina flan hv za painting ambazo mi hua naziita sio full cartoon. Yaan znatrick flan hv ambazo mchoraji huangaiki sn kuzichora. Yaan unatumia rangi...
  15. Mr.genius

    Kuna aliyewahi kutumia software ya Blender?

    Kitu kngne uangalie je, computer yako ina uwezo unaolingana na specifications za software inavyotaka??
  16. Mr.genius

    Kwanini wazungu wanakua/wanapata maendeleo wakiwa wadogo?

    Aisee..! [emoji23] Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
  17. Mr.genius

    MSAADA: Maombi yangu yashapokelewa au bado?

    Mtendaj kata hapa anaingiaje ss? Wakat maombi yanatumwa kwa system? Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
  18. Mr.genius

    Wataalam wa sanaa ya uchoraji

    Wachoraji wa 'kawaida' au wanaotumia software? Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom