Search results

  1. N

    House4Sale Nyumba inauzwa Dar es Salaam

    Nyumba ipo Dar es salaam, Kigamboni, Mvumoni Km 16 kutoka Ferry kufuata barabara iendayo Gezaulole. Kiwanja kina hati ya miliki ya miaka 33 na kina sqm 811. Nyumba ina vyumba vinne vya kulala na car park. Ina umeme, maji ya kisima chenye pampu ya umeme na tanki la maji. Pia, ina uzio wa ukuta...
  2. N

    WARNING: Kariakoo na iPhone Date bug

    Ni Kama wiki 2 zinakaribia tangu igundulike kuwepo kwa "bug" katika iOS ambayo hupelekea iPhone kushindwa kuwaka iwapo tarehe katika simu itasetiwa kuwa Mei 1970 kurudi nyuma. Unaweza kusoma zaidi kwenye mtandao kuhusu hii bug. Jana katika pitapita zangu maduka ya kariakoo niliingia kwenye...
  3. N

    Kamusi: ESE Dictionary 1.3 UPDATE mchango wako ni muhimu

    Hili ni toleo jipya la hii kamusi ya Kingereza-Kiswahili-Kingereza. Unaweza kufatilia thread ya mwanzo hapa: https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/575043-introducing-ese-dictionary-%96-%93kamusi%94.html Katika toleo hili nimeongeza features zilizoombwa na wadau mbalimbali...
  4. N

    Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

    EDIT TOLEO JIPYA LIMETOKA TAFADHALI FATILIA HAPA: https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/674861-kamusi-ese-dictionary-1-3-update-mchango-wako-ni-muhimu.html#post9805978 ****************************************************************** ESE (English-Swahili-English)...
  5. N

    Nyuzi kali za muhimu JF Tech 2013

    Wadau wote wa jukwa hili mtusaidie kuweka hapa nyuzi za muhimu zilizotokea kwenye jukwa hili kwa mwaka 2013. Najua kuna ambazo zipo Sticky ila hizo tumezizoea na zinaboa. Tafadhali tumia uzi huu kwa manufaa ya wengine kwa kuweka hapa thread unayoona ilikuwa inafaa kuwa sticky lakini haikupata...
  6. N

    Jinsi ya Kutuma E-Mail yenye Executable files kwa GMail

    Habari zenu wana-tech. Kwa wale mnaopata shida ya kutuma E-Mail zenye attachement ambazo zina files kama .exe na .bat leo napenda tupeane ka ujuzi kidogo hapa. Kwa kawaida GMail hairuhusu watumiaji wake kutuma email ambazo viambatanisho vyake vina mafaili ya programu kama vile .exe na .bat...
  7. N

    Microsoft SQL Server 2008 - Kilimanjaro

    Nilikuwa napitiapitia data za SQL Server nikakuta kuna vitu viwili Release Name na Codename Microsoft SQL Server - Wikipedia, the free encyclopedia Kumbe hii version 10.5 codename yake ni Kilimanjaro labda version 15 inaweza kuwa ​Serengeti
  8. N

    Windows 8 GIF Progress bar Inahitajika

    Nahitaji GIF progress bar kama inayotumika kwenye Windows 8 * Iwe inaenda kama ile ya Windows (yani jinsi dot zinavyoachana na kukimbilia nyingine) * Animation speed iwe ya kawaida * Background iwe transparent na * Dots ziwepo katika rangi mbalimbali (nyeusi, nyeupe, blue, red etc) Naomba...
  9. N

    New Huawei Mobile Partiner

    Bila shaka hili ndo toleo latest 23.001.07.29.910 kwa modem za Huawei kwa wale ambao hamjaipata hii. Mimi nime-upgrade kwenye Huawei E303 pia nmereplace ile ya mwanzo iliyo kwenye modem na kuweka hii mpya so nimefanya firmware update kabisa kupata uhakika hata nikiinstall kwenye PC nyingine bado...
  10. N

    skype chat history

    hivi kuna njia yoyote ya kupata conversation ya skype. nlitia OS upya kwa hii PC sasa ile chat imepotea na mechanism ya windows 7 ilikuwa ile chat inatunzwa kwenye temporary directory ndani ya .db Database file %appdata%\Skype\ hii temp directory haipo kwenye windows 8 skype app lakini nna ile...
  11. N

    Digsby "All in 1" IM, Email & Social Networks

    Digsby ni app nzuri sana ya pc inakuruhusu kuconnect account zako za email, IM(Instant Messaging) na social networks kwa pamoja. E-Mail: hapa utapata notification ya email muda inapoingia(lakini sio spam ni Inbox tu) pia utaweza kuchat na watu wako instantly kama wapo online IM: hapa...
  12. N

    Introducing A|CSEE Professional –“A Spreadsheet”

    Leo nna furaha sana ku-release hii software ambayo nimeifanyia kazi kwa muda mrefu sasa. A|CSEE Professional ni toleo namba 3.0 ila hii ni Professional Edition kwani ina features nyingi sana zaidi ya 30 ambazo hazikuwepo kabisa katika matoleo ya nyuma. A|CSEE Professional ni program ya...
  13. N

    Jinsi ya kuandaa Server Binafsi Kwaajili ya Website & Email

    Jamani nimehangaika na free hosting mpaka nimechoka sasa nna mpango wa kuandaa server yangu ambayo itakuwa inarun 24/7. Naomba wataalamu mtiririke hapa mahitaji yooote yatakayoweza kufanikisha azma hii na configuration zote kwa ujumla. Mpaka sasa nna desktop computer ambayo nataka niibadilishe...
  14. N

    Jina langu haliendani na namba yangu - MPESA

    Kipindi Vodacom wameleta haka ka system ka kuona jina la unaemtumia pesa/muda wa maongezi kabla ya kutuma kwa kutumia MPesa nilifurahi manake nilijua ingepunguza matatizo ya kutuma pesa kwa watu ambao hawahusiki. Kinyume na matarajio yangu nashangaa nikiwa najitumia muda wa maongezi kupitia...
  15. N

    VLC na icon ya Christmas

    Nimegundua kuwa vlc imekuwa coded kubadili icon na kuwa imevalishwa kofia ya krismas katika msimu huu wa x-mas na mwaka mpya... mfano kwenye about box inaonekana hivi. sasa mi naona hii inaleta ka-uzibeuzibe kwa wale ambao hawaamini hii habari ya x-mas kimsingi hii sijaona maana ya kuweka...
  16. N

    Windows 8 na betrii za laptop

    Ni kama mwezi umepita kuna rafiki yangu anunue laptop mpya K.Koo ikiwa na Windows 7 na hali ya betrii yake ilikuwa ni nzuri tuu kwani ilifikisha karibu masaa manne(4) kama ikiwa unplugged. Hiyo laptop sasa ina Windows 8 lakini uki-unplug kutoka kwenye umeme maximum inaweza kuvumilia kwa saa 1...
  17. N

    Tuweke TAGs kabla hatujasubmit post

    jamani tags hizi ni sa muhimu sana kwani zinasaidia unaposearch kwenye search engine mbalimbali. ni vizuri tunapokuwa tunapost humu basi tusisahau kuweka tags ili kurahisisha utafutaji wa post. JF inaruhusu mpaka tags 5 ambazo zinatosha kabisa.....ni matumaini yangu kwa siku zijazo JF itarusu...
  18. N

    Email Tray (my best alternative to Outlook)

    Inaitwa EmailTray Wadau hii software nimeipenda sana imenifanya niondokane na masaibu ya MS Outlook. Ina features nyingi sana. Inanipa notification nnapopata email mpya Unaweza ku set multiple accounts (mimi nimeset email a/c kama nne hivi) Unawe ku-import contact kutoka FB Inaziarrange email...
  19. N

    iPhone 3G Haiwaki wala Kucharge

    Jamani hii simu haiwaki kabisa yani ukiwasha inaonesha tu mwanga afu inazima ukiweka charger haisomi kabisa, Naombeni msaada wenu ila msije na msaada kama nliopata kwenye hii video kwenye pitapita za kutafuta solution
  20. N

    njia ipi nzuri ku-charge simu na laptop

    ipi ni njia sahihi ya ku-charge simu? yaani inatakiwa u-charge ukiwa umeizima au umeiwasha? na kwenye laptop ni wakati gani inatakiwa kuwa kwenye moto? ni mpaka iishe kabisa au muda wote?
Back
Top Bottom