Search results

  1. K

    Ni heshima na utaratibu kwa mchumba wa kiongozi kufanya hivi?

    Ukijifanya mtakatifu kufanya kazi ya kanisa utaumia!
  2. K

    Yapo ya kusahau lakini sio hili!

    Duh! Ndio maana Mungu anatuadhibu.
  3. K

    TBC mtaacha lini siasa? Eti wadai watu wa Arusha wanahisi ni waasi Congo

    na bado ndugu yangu! kama ndani ya nchi kuna kambi ya al-queda unategemea nn? tuombe tu Mungu!
  4. K

    Huu ndo usafiri wa Meya wa Moshi..

    Kweli, ni vizuri na ni hatari pia!
  5. K

    Kuna upungufu wa Polisi 48,011 Tanzania

    Bora hata wasiongezwe kwa sababu 1. Serikali itawalipa nini kama hao tu waliopo inashindwa kukidhi mahitaj yao. 2. Watatumaliza bure maana siku hiz wanaua raia.
  6. K

    Mkutano wa Kinana huko Ulanga wadoda!

    Mboga kama lihoho, lichulu, limwidu, lidadangala na nyingine kibao! Chezea moro weye!
  7. K

    Kikwete umejisikiaje Dr. Ulimboka alivokukatalia kwenda kumuona?

    itafika kipindi hata ile ya babu seya itapewa tena promo maana kipindi kile wananchi walikuwa bado waoga! shem on u baba ritz1....!
  8. K

    Mmmh wanaume mtatuua mwaka huu katika mapenz

    kwani tatizo liko wapi? wewe si ndugu yake...! kwa hiyo hajakosea kukusev kama rafik yake!
  9. K

    Lema kuwataja waliomteka Dk. Ulimboka leo Ilala Bungoni

    Ee Mungu tuokoe sisi Watanzania....
  10. K

    Hili la TCU kulipisha Tsh 30,000/= kuomba nafasi ya kujiunga na vyuo vikuu limekaaje?

    bora TCU, hiyo bodi ya*mikopo ndo balaa. inaagiza wanafunzi wafanye applivation wakati matokeo ya kidato cha 6 hayajatoka. unalipa 30,000 na matokeo yakitoka ukawa umefeli ndo basi tena hela yako itakuwa imeliwa! na mbaya zaid idadi ya wanafunzi wanaofeli ni kubwa kuliko wale wanaofaulu
  11. K

    Tbc1 wakata matangazo bungeni, wanarusha mazishi ya kanumba live

    duh nadhan jina lako tu linatosha kuonesha ww ni mtu wa aina gan...! waliwa atiii....!
  12. K

    Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

    kilichotokea ni kitu cha kawaida ambacho kinaweza kumtokea mtu yeyote....! ila nadhan hii itakuwa fundisho kwa wale mabinti na watoto wa kiume wanaokimbilia mambo ambayo yamewazid umri! niliwahi kumuona mara kwa mara katika vipind vya tv, sio siri alikuwa anaonekana hajitambui kabisa! nadhan...
  13. K

    Bingu Mutharika afariki rasmi

    amemaliza safari yake huyo, hakuna cha ajabu hapo! r.i.p in peace bazazi mkubwa!
  14. K

    anayejua flashcode ya NOKIA 6120 CLASSIC anisaidie.

    naombeni msaada jamani!
  15. K

    Kauli inayomgharimu Hadji Mponda dhidi ya Madaktari

    sasa kama madaktari hawamhusu hapo wizarani anafanya nin, si aondoke akawahudumie wanaomhusu....? inasikitisha kuona kiongozi mkubwa kama huyo anasema maneno kama hayo.
  16. K

    post za form 5 zitatoka lin?

    Au Kantalamba....! huyu jamaa ananonekana ana kihamu sana! Au ndo alitaka tumuulize na matokeo yake ili atwambie kuwa kapiga div 1.!!!!
  17. K

    Mama Joyce Ndalichako:

    ndio maana hata mikataba kati ya serikali na wawekezaji mnafichwa kwa sababu ya huo usiri unaoutaka! hivi kwa mfano mtoto wa jk angepata div1 ungemuomba Ndalichako atoe matokeo kwa namba ili watu wasiwe wanaona div1 za watu? siku nyingine utasema hata shule ziandikwe kwa namba tu ili kuficha...
Back
Top Bottom