Search results

  1. K

    Majina ya wavulana waliochaguliwa kidato cha tano

    Jamani nisaidieni hawa watu lilian sebastian bilishanga na isaac madeleka
  2. K

    Ingekuwa wewe ungemsaidia yupi kati ya hawaaaa???

    Upo beach unaogelea ikatokea watu wawili wanahitaji uwaokoe kutoka ndani ya maji ila kati ya hao mmoja unampenda ila yeye hakupend na mwingine anakupenda ila ww haumpend je? Yupi ungeanza nae hapo?
  3. K

    Your favorites childhood hapa tuone kama ulikuwa mjanja

    Duh! Lady doct nomaa ila hujanifikia bado mm nilikuwa nikila msosi kwa jiran nikimaliza na nawa nafatia na udongo kwa kujifuta ili wajue mdomo umepauka
  4. K

    Your favorites childhood hapa tuone kama ulikuwa mjanja

    Ah! Watu noma walikuwa wanaiba lakn hawasemi?
  5. K

    Your favorites childhood hapa tuone kama ulikuwa mjanja

    Koment your favorite childhood tuone kama ulikuwa mjanja
  6. K

    KATAVI,MBEYA,ARUSHA.karibuni tuongee

    Jaman namaanisha watu wa Lema,pinda,na sugu
  7. K

    Natafuta rafiki wa kike

    Jaman nimeuliza chanzo chake nn na co maana yake maana mh! Ebu jaribu
  8. K

    KATAVI,MBEYA,ARUSHA.karibuni tuongee

    Mbona hamji tambulish wapi mnatoka?
  9. K

    KATAVI,MBEYA,ARUSHA.karibuni tuongee

    Halooo! Ar u ok!
  10. K

    Natafuta rafiki wa kike

    Ww hakuna kitu hapo chanzo n furaha au unasemaje
  11. K

    Natafuta rafiki wa kike

    Jamani ebu nisaidien nn chanzo cha "Love"
  12. K

    Natafuta rafiki wa kike

    Noma maana yake vibaya,balaa,inashangaza
  13. K

    Natafuta rafiki wa kike

    No money? Mh! Lugha ngumu
  14. K

    Natafuta rafiki wa kike

    Haya jamani kila ligi inayokuja tufanye mmeshnda bhaaaaaaaa .maana watu ni wabishi kama ngoz ya ------ kila siku inakaliwa wala hata haichubuki
  15. K

    Natafuta rafiki wa kike

    Mh! Iyo noma@watu8
  16. K

    Natafuta rafiki wa kike

    Jamani mawazo ya mtu ya heshimiwe nitaomba muongozo sasa ivi?
  17. K

    Nishitue ucheke!

    Sikia ii my girlfriend told me that if i wil buy fo her a bad gift she wil burn it my self i decided to buy for her a candle...
Back
Top Bottom