Search results

  1. Mr.Waukweli

    The next Tanzania president 2025 should be Kassim Majaliwa

    Mind you he's of the same age with JPM
  2. Mr.Waukweli

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    Wewe usiyejua mpira samata kashatupia moja vs beskitas
  3. Mr.Waukweli

    Samatta Vs Beşiktaş

    Afu kuna mjinga mmoja anasema eti samata hajui mpira ana bahati, alinikera sana huyu jamaa yan ni vizuri aombe msamaha
  4. Mr.Waukweli

    Samatta Vs Beşiktaş

    Tayari kashatupia goli moja,
  5. Mr.Waukweli

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    Hili ni tatizo la kuanza kuangalia mpira ukubwani, kiwango cha samatta kinatisha kaka na ninakuhakikishia muda si mrefu utasikia ameenda premier league Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  6. Mr.Waukweli

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    Kaka kwenye mpira bahati nayo muhimu, kama unacheza vzr halafu huna bahati sidhan kama mashabiki watakuelewa
  7. Mr.Waukweli

    Hivi ni kipi kitatokea endapo Simba hatokuwa bingwa mwaka huu na kisha Yanga awe bingwa tena!

    Manara ataahamia yanga kuunga mkono juhudi za mzee akilimal
  8. Mr.Waukweli

    Wahenga mpooooo

    Dah ni fukufuku. Wanaitwa Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  9. Mr.Waukweli

    Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

    Sory not NSSF NI NHC
  10. Mr.Waukweli

    Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

    Tatizo wabongo hamueleweka NSSF wanauza nyumba za vyumba viwili na sebule kwa ml 58,000,000= n.mnalalamika eti bei kubwa sana, sasa mmeletewa nyumba za mil32 mnasema hakuna nyumba ya gharama iyo, sasa mnataka nyumba ya sh ngapi?
  11. Mr.Waukweli

    Familia ya Gwajima yaja juu kwa udanganyifu wa Askofu Gwajima

    kwahiyo mambo ya familia yanaletwa hapa ili iweje
  12. Mr.Waukweli

    Haki ya Mungu UKAWA hamtoki na jimbo mkoani kwangu

    yani hii aibu inaonyesha ninyi masisiem mmeshagawana mpaka mikoa, maana magufuli anasema tanzania ya magufuli naww unasema shinyanga ni mkoa wako. Oct 25 lazima tufanye ukombozi
  13. Mr.Waukweli

    Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

    walishabadilika kitambo umebaki ww tu
  14. Mr.Waukweli

    Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

    wadau nmesikia anasema alikopeshwa milion 3, alikopeshwa na nani? Cjamsikia vzr
  15. Mr.Waukweli

    Lwakatare mgonjwa, alazwa Bukoba Mjini

    kwani kulazwa ni ajabu?
  16. Mr.Waukweli

    Baadhi ya wabunge wa UKAWA wagoma kuambatana na Lowassa

    tunaomba utaje majina ya hao wabunge ili tukupe maelezo
  17. Mr.Waukweli

    Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) RATIBA YA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2015 tarehe mkoa wilaya muda maelezo 29/8/2015 dar es salaam wilaya zote saa 1.00 asubuhi hadi 12.00 jioni uzinduzi wa kampeni kitaifa iringa 30/08/2015 mufindi saa 3.00 hadi saa 4.30 asubuhi...
  18. Mr.Waukweli

    Kwa habari zilizonifikia, nyeti na zilizotoka jikoni kwao muda si mrefu ni kwamba.....

    kaka ngoja nikutumie ratiba ya chadema afu uniambie ni lini wamebadili ratiba yao ya kampeni
  19. Mr.Waukweli

    Mgombea urais na elimu yenye mashaka

    sadam ni raisi wa nchi gani? Naomba jibu Maana mwenye phd kakosa
Back
Top Bottom