Search results

  1. I

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    best sikiliza, wote wanaokujibu majibu kama hayo sio kwamba wamefikiri sana bali hata wao hawajui. of course ukigoogle utakuta versions ambazo zimechanganywa sana na itakuwea kazi kufanya selection. tafuta Advanced learner's dictionary 6th ed. utaona mifumo miwili na hapo utakuwa umepata mwanzo...
  2. I

    Shahidi aliyehongwa milioni 5 awakaanga ccm singida-chadema hawanunuliki

    hiyo ndio Tanzania na wanasheria vihiyo wasiokuwa na uchungu na nchi kama walivyo wadau wa ccm. zama zaja zmbapo tutaanza kuwahukumu waao kabla ya bwana zao. naapa mbele ya mumba nitakuwa shahidi wa hilo.
  3. I

    Kuna umuhimu wa Sophia Simba?

    Kama kuna vitu JK ameshindwa kujigundua ni uteuzi wa mshika bendera wake SOPHIA. Hebu nisaidieni kama kuna hata chembe ya zuri alilowahi kulifanya katika maisha yake. manake kila siku yeye huhamasisha uchafu tu wa wanawake wafanye vurugu dhidi ya waume zao. na je, ameolewa? huyo mumewe...
  4. I

    Kwa mpango huu atasoma mtoto wa mengi na kikwete.

    Suala la waajiriwa kutopata ufadhiri ni kutaka kuendeleza lile wimbi la watoto wa wakulima wa kigoma kutosoma. mfano mimi hapa nmeanza kazi ya ualimu mwaka 2004. mshahara wa mkononi hadi sasa ni sh 200000/= nikajisomeshe chuo kiku, si vichekesho. wakati huo unakumbana na maafisa km Bitwye...
  5. I

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Kwanza niwape salamu wana jamii kwani nlikuwa nje ya dimba. lakini sasa navaa jezi. Mimi ni mwana harakati na mpigania haki hususa za wananchi wakawaida na watumishi wa kada ya chini km walimu. taarifa ya Dr. Mwakyembe haiko wazi kwa watu wa kawaida katumia "bone marrow". lakini hajathibitisha...
Back
Top Bottom