Search results

  1. N

    Majina ya graduates waliochaguliwa kujiunga na Polisi mwaka 2012

    na. Jina simu jinsi 1 abdilah nkida khatibu 718698072 me 2 abdulrazack ahmed stambuli 715025787 me 3 abubakari a. Said 773080110 me 4 ahamad y. Kayagi 717042874 me 5 ahmad ally mtenguzi 682008686 me 6 airin m. Gerad 714281687 ke 7 akelo d. Odhiambo 787343074 me 8 albert gilbert 762363844 me 9...
  2. N

    Natafuta environmental ngo's or agency tushirikiane ktk environmental issues

    Kama uko hapa Dodoma, mheshimiwa karibu sana DONET. Ni taasisi makini sana ambayo in uzoefu wa muda mrefu na yenye wataalam waliobobea na wenye umakini wa hali ya juu. DONET ni asasi inayojihusisha na mazingira pamoja na mambo mengne mtambuko. Hivyo fanya hima ili na uweze kufanya kazi zako kwa...
  3. N

    Makinda ampinga Zitto hoja ya Kumuondoa Waziri Mkuu

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida spika makinda ameilinda serikali ya magamba kwa kutupilia mbali hoja ya Zito Kabwe na amesema haina mashiko na imepitwa na wakati kikanuni kwani bunge linatarajiwa kuvunjwa kabla ya siku Kumi na nne.
  4. N

    Wanawake kukaa uchi chanzo cha ukosefu wa nguvu za kiume.

    Ni kweli kamanda, huko kwa Mswati mbona wanawake wako Uchi wa Mnyama,tena mabinti zake wako uchi pia na wala hawako na tatizo lolote. Naambiwa hata Mfalme mwenyewe anaoa wake wengi. Pengine wana jf tusiruhusu mawazo mepesi kutawala na kuhitimisha hivyo. Hebu turuhusu akili yetu kufanya kazi ya...
  5. N

    Chadema karibuni jimbo la bariadi magharibi kwa chenge(mzee wa simiyu)

    Kupotosha Kuwa Bariadi ni Maskini ni Dhambi kubwa, Ina utajiri wa Kupindukia na wala haitegemei vyanzo vya muda kama Madini ambayo yana ukomo. Na wala watu wa Bariadi si rahisi kama mnavyofikifiria, Natambua kuwa Bariadi ni kitovu cha Mageuzi na ni wilaya chache ambazo zilipokea mageuzi katika...
  6. N

    Chadema karibuni jimbo la bariadi magharibi kwa chenge(mzee wa simiyu)

    Nimezaliwa Bariadi na naifahamu sana Bariadi na nimeshiriki sana katika harakati mbalimbali za kujenga CDM. Chadema walifanya makosa makubwa kumchagua Kijana wa Udom ambaye hakuwa na Mvuto na uzoefu katika siasa. Bw. Makono Ezekia ambaye hata Kampeini hakupiga.
  7. N

    Chadema karibuni jimbo la bariadi magharibi kwa chenge(mzee wa simiyu)

    Nafurahia sana jinsi chama changu kinavyokua hasa katika kipindi hiki cha Mageuzi ya dhati yanayoratibiwa na CDM, wito wangu ni kuwa pamoja na mafanikiwa makubwa ya CDM katika Maeneo mengi, bado chama hiki pendwa na mvuto hakijaweka mizizi imara katika majimbo mawili ya Bariadi ambako ndiko...
  8. N

    Mjue Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Kikwete

    Anakata uteme kama graduate bwana!!!! Huko ni kuaibisha Dr yake
  9. N

    Matokeo ya chaguzi za udiwani

    Vipi KIGAMBONI? Nataka kujua kama CDM wameshinda au VIPI?
  10. N

    Chadema yavuna zaidi ya shilingi milion 150 katika vuguvugu la mabadiliko ''m4c''

    CHANZO: Tanzania Daima, Bidiiforum, Jamii forum, Mwananchi Jumapili, CHADEMA blogspot.com sijui unataka source gani tena. Nadhani hata ukiambiwa useme Kijani wakati unaona ni Red utasema?
  11. N

    Chadema yavuna zaidi ya shilingi milion 150 katika vuguvugu la mabadiliko ''m4c''

    Kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kurejesha chama katika mikononi mwa Wananchi na kutekeleza dhana ya Sauti ya Umma, CDM kama chama kikuu cha Upinzani na chenye Ushawishi Mkubwa ndani na nje ya Nchi kimefanya Kufuru na kuweza kuasisi mpango kabambe ambao umeshaigwa tayari na mahasimu wa kisiasa CCM...
  12. N

    Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

    Mohammed Dewji ni kada wa CCM na alikuwa anatoa kwa chama tawala na hivyo hakuna kitu ambacho angehofia katika maslahi ya biashara zake zaidi ya kupata neema. Na kama hiyo haitoshi wote tunafahamu biashara za MO na uhusiano wake CCM. Hivyo kulinganisha sadaka ya Dewji na Ndesa ni sawa na...
  13. N

    Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

    Kwa kile kilichojitokeza wazi na dhahiri kuwa CDM ni moto wa kuotea mbali ni kile kilichorushwa LIVE kupitia StarTV. Na katika kuweka mambo sawa na kuonyesha kuwa haogopi na kusombwa na hisia kuwa Ukiwa mfanyabiashara ni hatari kusaidia CDM na vyama vya Upinzani, Mhe Ndesa ''Pesa'' kama...
  14. N

    Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

    Mhe. Hamisi Kigwangala, pengine unataka kulewa sifa hadi kuchafua hadhi yako. Bado hujafikia hatua kubwa kiasi hicho nawe tukuweke na kukufananisha na magwiji na wanasiasa maarufu hapa Tanzania. Na kama ni umri wa mtoto, basi umri wako ni kama mtoto anayetambaa. Ushauri wa bure ni kuwa kaa...
  15. N

    Professor Rwekaza Mkandala na Uongozi mbovu University of Dar es Salaam

    Pole sana kamanda kwa kuthubutu na kusema yaliyo moyoni na hakika woga si nidhamu. Ujasiri ni uajibikaji na kujali taifa lako. Mamlaka husika ziwajibike kwa maboresho zaidi vingine ni uzembe wa kupindukia
  16. N

    Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

    Kila nikiwaza sipati picha halisi ya juu ya kile ambacho kimeitwa''kuongea na wazee wa Dar es Salaam''. Katika hili sina tatizo na kuongea na wazee wa Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza,Shinyanga, Arusha n.k kwa vile ni kama kutakuwa na utaratibu wa wazi na wenye misingi isiyolenga ubaguzi wa aina...
  17. N

    Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

    It's good analysis dogo. Make sure that u make what u trust
  18. N

    Prof. Lipumba achana na siasa ulitumikie taifa kwa uzalendo

    Ni kweli hata milele naendelea kumuenzi Lipumba
  19. N

    Prof. Lipumba achana na siasa ulitumikie taifa kwa uzalendo

    Najitokeza kwa mara ya kwanza kumuomba na kumshauri mwenyekiti CUF Taifa mheshimiwa Profesa Lipumba kuachana na siasa ili kutenga muda wa kutosha na kulitumikia taifa kwa Uzalendo na umahiri mkubwa. Binafsi namheshimu sana na kumkubali msomi huyu. CV ya huyu jamaa imesheheni vilivyo na haitiliwi...
  20. N

    CCM Arumeru wanahonga pesa watu waende mkutanoni

    Kueni na uhakika na kile mnachosema ili watu wawaamini makamanda kwa vile hauna haki ya kuzungumza kama hauna ushahidi
Back
Top Bottom