Search results

  1. Wambandwa

    Makonda: Aliyesema ametekwa ameuchafua mkoa wetu, Iringa wakimalizana nae wamlete Dar

    Nasikia eti hata Akwilina aliuawa na waliokuwa wanaandamana (CHADEMA). Upuuzi huu wa kugeuziana kibao unaanza kuota mizizi. Makonda ujue hutakuwa mkuu wa mkoa miaka yote....
  2. Wambandwa

    Arusha: Diwani wa kata ya Osunyai, Elirehema Nnko(CHADEMA) ajiuzulu na kujiunga na CCM

    Taratibu twaelekea kwenye mfumo wa Museveni, Kagame, Nkurunzinza na Kabila!
  3. Wambandwa

    CCM yaanza kujipanga Uchaguzi 2020. Viwanda kwaheri

    CCM wanaongozwa na siasa za mlipuko. Dr. Lwaitama kawaambia kwamba tuliacha kutawaliwa tangu 1961, hivyo baada ya hapo ilibidi tuwe na kiongozi. Think hard, kama Polepole naye anatoa maelekezo kwa watendaji wa serikali, where are we going? Tanzania ya viwanda watatuzidi Rwanda kwa mbaali saaana...
  4. Wambandwa

    CCM inaligawa taifa, Polepole anazunguka nchi nzima anafanya mikutano anatisha watumishi wa umma, wapinzani ni marufuku

    Nape Nnauye, we'll always miss your political tactics, sio huyu kilaza. Ebu mpe tactics za kuvuta watu karibu na chama chenu. Your party is slipping away from people while you watch. Kumbuka ulikokitoa hiki chama.
  5. Wambandwa

    USHAHIDI: Kichwa cha treni kilichoanguka Kigoma ndo kilikuwa bandarini

    Opposition is suppressed here and doomed to be wiped out of the party's register. Unless you're suggesting a warfare. That is the only way out - CCM walishasema hawawezi kuachia nchi kwa kipande cha karatasi.
  6. Wambandwa

    Mwalimu Nyerere aliisuka 'System' ikasukika,tunaishi kwenye kivuli hicho

    Hivi ni kwa nini enzi za mwalimu wanajeshi na polisi wengi walitoka mkoa wa Mara????
  7. Wambandwa

    To be honest, kwa hili Rais ataipeleka nchi kusikojulikana. Sera ya viwanda inayeyuka!

    In Industrial Revolution there's "ENGINEERING SPECIFICATIONS" - not "POLITICAL SPECIFICATIONS".
  8. Wambandwa

    USHAHIDI: Kichwa cha treni kilichoanguka Kigoma ndo kilikuwa bandarini

    Bila ya kuyaanika haya sisi tukayaona, wapinzani tufanyeje? Kila kukicha kupigwa, kufunguliwa kesi za kubambikizwa ili watu wawe waoga. Nina imani kwamba kwa ku expose uozo bila kuuficha wanachi watajua kwamba walivyoambiwa vichwa vya teni havina mwenyewe kulikuwa kunatafutwa kiki ya kisiasa...
  9. Wambandwa

    Askari wa usalama barabarani wakimpiga raia

    African countries are p**t holes, so are its residents under this kind of regimes!
  10. Wambandwa

    Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule 'Profesa J' akamatwa na Polisi baada ya mkutano wa kampeni

    Hiyo ndo serikali ya awamu ya tano bwana - spreading dictatorial wings. How I wish I could return into my young age so that I could squarely deal with these POLICCM.
  11. Wambandwa

    Zanzibar: Marubani wawili wa chuo cha usafiri wa anga wafariki baada ya ndege yao kudondoka uwanja wa ndege wa Karume

    R. I. P young men. Itakuw mmoja alikuwa Instructor na mwingine Pilot Trainee!
  12. Wambandwa

    Ninaikumbuka ile CCM ambayo ukivaa sare zake unazomewa mitaani

    Yeyote anayeshabikia CCM kwa sasa ana mtindikio wa ubongo kama yule nilyemsikia akimsifu rais kuwa kwa miaka miwili tayari tuna ndege mbili! Ziko wapi? Kama unaringia bombadier mbili na KQ watasemaje wenye Boeng 737 (12), Boeing 787 Dreamliner (9), na Embraer ERJ-190 (15), - najua wengi hapa...
  13. Wambandwa

    Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia(CUF) ajivua uanachama na ubunge na kuhamia CCM

    Inanong'onwa kwamba Mtulia kapewa 600m pamoja na kulipiwa madeni yoote aliyokuwa anadaiwa bungeni...... Kinondoni inataka kukabidhiwa kwa Bashite (kwa goli la mkono of course) halafu akisha kuwa mbunge ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya ndani. KUDADADEKI WALLAH TUTAWAKOMA KANDA YA ZIWA THIS TIME!
  14. Wambandwa

    CHADEMA hali si shwari

    Yeyote anayeshabikia CCM sasa hivi ni yule anayenufaika binafsi. Si chama kinachotetea maslahi ya watanzania kwa ujumla. Mbaya zaidi CCM ya sasa inaeneza chuki ns fitins dhidi ya wale wasiokuwa CCM. Kama wewe si CCM unaonekana ni msaliti na mwenyekiti wao ameisha sema msaliti hawezi ku survive...
  15. Wambandwa

    CHADEMA hali si shwari

    CCM inajipambanua kuwa chama kisichopenda rushwa, wakati ni tofauti kabisa na matendo yake. Kinanunua, kina warubuni na mara nyingine kuwatisha kuwafilisi mali zao wapinzanu wasipohama upinzani. Ahadi za kupewa madaraka nje ya upinzani ndo ngao yao kubwa (nafikiri hii ina baraka ya mkubwa wao)...
  16. Wambandwa

    Mbunge wa CHADEMA na wanachama 38 wafungwa kamba za shingo na Polisi baada ya pingu kukosekana

    AliyesababishIa serikali hasara ya mabilioni ya shilingi hadi Bombadier yetu ikakamatwa tumfanyeje? TUNA SOMO TOKA ZIMBABWE
  17. Wambandwa

    Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata Magari takribani 53 yasiyo na mwenyewe, IGP alaumiwa Mikataba ya Lugumi

    Sijui michezo ya kuigiza itaisha lini kwenye mambo serious yanayohusu mstakabali wa uchumi na maendeleo ya taifa letu. JPM alikuwa mmoja wa viongozi wa serikali na mbunge aliyekuwa ankaa bungeni, anajua ni nini kinachoendelea. Kinachofanyika sasa ni kutafuta sifa kwa mijitu mbumbumbu ili...
Back
Top Bottom