Search results

  1. J

    BOOM LA LOAN BOARD St AUGUSTINE CHEQUE IMEWEKWA FIXED ACCOUNT.

    Akili za mwenzako ongezea na zako we kibonge cha pr, toka lini urais wa sautso nao ukawa utawala hadi useme mataba anatutawala, wakati kila siku tunamtuma chai, tunapokosoa na kueleza ukweli siyo kwamba tunahitaji maslahi binafsi kwani wengine hii ndio semester yetu ya mwisho hapa chuoni, but...
  2. J

    BOOM LA LOAN BOARD St AUGUSTINE CHEQUE IMEWEKWA FIXED ACCOUNT.

    Inavyoelekea wewe huzijui haki zako, yaani msomi mzima unadhubutu kusema ''acha watunyonye, wakijisikia watatupa hela zetu'' hizo ni fikra mgando, na kwa taarifa yako tupo kwenye hatua za mwisho za kuuanzisha mgomo wenyewe na wewe na waoga wenzako msipogoma kwa hiari yenu kwa maslahi mapana ya...
  3. J

    BOOM LA LOAN BOARD St AUGUSTINE CHEQUE IMEWEKWA FIXED ACCOUNT.

    Ni kweli na hakika ya kuwa wewe (KULUNALILA) ndiye MATABA mwenyewe, ni kweli na hakika kuwa hoja za wadau zimekugusa, ni kweli na hakika umejitaidi kujitetea japo kwa kujibu MASWALI MAZITO kwa HOJA NYEPESI, ni kweli na hakika aliyeshiba hamjui mwenye njaa ndio maana wewe kwa kuwa umeshashiba...
  4. J

    BOOM LA LOAN BOARD St AUGUSTINE CHEQUE IMEWEKWA FIXED ACCOUNT.

    Acha uoga wa kufukuzwa wewe, uoga wenu ndio matatizo yenu, haki hupiaganiwa, right never come from the sky, huvyo vitisho vya kufukuzwa individually ni mbinu tu ya kuwatisha waoga kama wewe kwa kutumia divide and rule policy kama wakoloni. Mzee acha uoga
  5. J

    BOOM LA LOAN BOARD St AUGUSTINE CHEQUE IMEWEKWA FIXED ACCOUNT.

    Matatizo makubwa ya SAUT, ni kwamba Rais huwa anachaguliwa na uongozi wa chuo na siyo wanafunzi, Kwani kamati nyingi za uchaguzi huundwa kwa lengo lengo la kupanga wagombea ambao uongozi wa chuo unawataka, na hata rais wa sasa Mataba na waziri mkuu wake wote hawapati mkopo so hawawezi kutetea...
Back
Top Bottom