Search results

  1. A

    Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

    We should not support waasi, kagame has done a lot to Rwanda
  2. A

    Majengo ya wizara nyingi Dar ni kama magofu

    Na wasiyakarabati kabisa ili wote wahamie Dodoma. Unataka yakarabatiwe kwa matumizi yepi?.
  3. A

    Watanzania mbona hamjahoji uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa?

    Wewe ni fisadi unatuondoa kwenye ajenda. Tumalizi la madini afu utatuletea la kwako
  4. A

    Kutokuimbwa wimbo wa Afrika Mashariki kwenye hafla ya Rais kupokea ripoti ya madini

    Ndo hoja tuijadili badala ya wizi wa madini yetu?. Tuache ujinga
  5. A

    Je, Mbowe ana msimamo gani kuhusu ukaguzi wa vyeti vya wanasiasa?

    Awe mbowe au mtu yeyote awe anajua kusoma na kuandika au kwa vyovyote vile. Kinachotakiwa awe na cheti halali kwa elimu yake
  6. A

    Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Ahsante jpm tunakuombea maisha marefu na mungu akuepushe na wabaya safisha kabisa majizi
  7. A

    CHADEMA kwa hili tumepungukiwa uadilifu! Na tujifunze toka kwa Rais Kikwete

    Kwa mtu mwenye akili timamu na anayefuatilia siasa za Tanzania kwa makini hatasita kusema ZZK alikuwa ni mchawi ndani ya CHADEMA viongozi wa juu wana mapungufu yao na Zitto ni sehemu ya huo uongozi, siku zote mwogope mtu wa karibu nawe hata kama ni mkeo anayetumia udhaifu wako kukuangamiza...
  8. A

    Tuachieni Nyerere Wetu

    Mambo ya ajabu haya karume ni mwasisi wa Taifa gani? ana tofauti gani na mkuu wa mkoa katika nchi ya Tanzania? mbona hata wazanzibar hawamwiti baba wa Taifa kwa taarifa yako Karume hata Uganda hajulikani acha siasa za kijinga halafu Nyerere anaenziwa kwa misingi aliyoisimamia Karume unaweza...
  9. A

    Sihusiki na barua ya wazi kwa katibu mkuu dr. Slaa kutoka Chunya

    Mwakibinga huyu ni yupi na yuko wapi? Ni yule wa social aliyefukuzwa?
  10. A

    CHADEMA jiangaliane mara mbili

    Toa ufafanuzi majibu gani?
  11. A

    Juma Nkamia ni mnafiki

    Haya aliyoongea mheshimiwa Nkamia ni aibu kubwa kwake yeye na familia yake kumbe yote anayoongea ni kwa sababu ya njaa tumchukulie kama mjinga na tuachane naye kuendelea kujadili upumbavu wake ni kupoteza muda hata naibu spika kanichosha alivyomsifu badala ya kumponda
  12. A

    Tundu Lissu: CUF ni chama cha Zanzibar!

    Cuf ni ya zanzibar na bara kidogo mtu mjinga asiyeelimika vizr kila mada atatumbukiza udini wake badala ya hoja kumbuka zanzibar na Tanganyika siyo dini ni nchi tena zisizo na dini na wala usituaminishe eti zanzibar ni nchi ya kiislamu someni ukuze ubongo wako kwani inaonyesha wewe ni --------...
  13. A

    CCM yamvua uanachama Mwakilishi wa Kiembesamaki, Mansoor Yussuf Himid

    Halmashauri kuu yaChama cha mapinduzi CCM imemvua uanachama mwakilishi kutoka zanzibar (kiembe samaki) Mansoor yusuf Himid
  14. A

    Utaratibu mpya kwa wanaotaka kujiunga na MASTER DEGREE UDSM

    Hayo ya mtu kuongea na lecturer hata UD yapo labda hujasoma pale na longolongo ni kibao bongo ni ileile
  15. A

    Katiba mpya ni ya vyama au wananchi?

    Hivi misimamo ya CCM na Chadema kwenye mchakato wa katiba ni halali? siongelei usiriki ninachoongelea ni kampeni za kuwaelekeza wananchi nini cha kufanya na nini kinatakiwa kwa mtindo huu tutapata katiba mpya?
  16. A

    Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM

    Ahsante kwa kuhamia CCM ni haki yako ila Maumbeya na chuki za kidini ulizotuletea nazilaani unataka utuambie umeenda CCM kwa sababu kikwete ni Muislamu wakati kikwete ni raisi wa Tanzania Acha upumbavu wewe ni mtu mzima tanzania nia ya WaTanzania siyo ya waislamu wala Wakristo au unataka...
  17. A

    Huduma za serikali zapelekwa mbali na wananchi

    Kwa muda mrefu katika nci yetu tumeshuhudia maeneo mapya ya kiutawala yakiundwa ikiwemo uundaji wa mikoa mipya, Wilaya mpya n.k. kwa lengo la kurahisisha uduma za kijamii (huduma kuwa karibu na wananchi). Pengine kwa kuwa mikoa mingi iliyoanzishwa Jiografia yake sikuwa naifahamu pengine ndiyo...
Back
Top Bottom