Search results

  1. Jemedari Kalundi

    jamani unaangalia vip matokeo ya darasa la saba..?

    Haya mabo ya hajabu sana , Dar Chafu, Ujenzi Holela pia matokeo mnashindwaje kuweka hewani wakati wasomi wote mpo hapa, nyenzo zote mnazo, hata kila halmashauri, Ilala, Temeke na Kinondoni warushe, kwanza wamesema wamesahihishwa kwa computer hivyo matokeo yapo digital, ni jambo la ICT dept ya...
  2. Jemedari Kalundi

    Hotel ya Sea Cliff inawaka moto sasa hivi

    Jamani habari hapana kulikuwa na moto karibu na hotel ya SeaCliff na hakuna madhara yoyote yaliyotokea nimeongea nao sasa hivi Jemedari:
  3. Jemedari Kalundi

    Kibonde ungekaa tumboni mwa mamayetu dk 2 zaidi angepata kifafa cha mimba kwa kweli

    Hivi mtoa hoja atuambie kama wazazi wake bado hai au bahati mbaya, pili kama mzazi wa watoto, idadi na umri wao, kwa hurka hii hatufai, hapa inaonyesha kwamba Ndugu KIBONDE IQ kubwa zaidi yake, kwa kuwa mada yake hapa tu haina mantiki yoyote kwa kuwatusi KINAMAMA
  4. Jemedari Kalundi

    Rambirambi ya wahanga wa meli

    Msiba mkubwa wa taifa letu, hawa wameacha wajane na yatima, je formular gani inatumika katika serikari kutoa rambirambi maana tumeshuhudia mamilioni yakitolewa kama rambirambi rasmi, utaratibu ni ipi mpaka sasa
  5. Jemedari Kalundi

    Ni mv skagit na sio sea gull imepinduka na haijazama bado iko inaelea

    Mie nafikiria sasa ipitishwe sheria ingawa "mama hana muda huo" Wachina wanaweza kabisa kutengeneza suruali za boya (Vacuum) ili kila abiria apewe anaponunua tiketi apewe na aingie kaiva, inawezekana, maana kusafiri majini sasa inakuwa kama unaenda vitani lazima uwe equiped
  6. Jemedari Kalundi

    Jinsi ya kutengeneza Logo ya kampuni au shirika

    Hello habari, toa specifications ya Kampuni yako ina deal na shughuli gani? kama una corporate colours na vision yako. email jkalundi@gmail.com Am graphic Designer
  7. Jemedari Kalundi

    Bunge limeahirishwa kutoka na ajali ya Mv Skagit

    Haya mapya huku watu wamepagawa kuwa kunameli inazama hapo kivukoni kuna mwana JF ana habari kamili?
  8. Jemedari Kalundi

    MWL wa Math na Physics

    WEE acha hizo na elimu ya kupandikizwa, "unakaa ndani ya mduara balaa", ulizaliwa bogasi, sasa walimu ndio wamekufikisha hapo ulipo leo unabofya, unafikiria kufunga vidonda ndio professional tu, ni sehemu ndogo tu kati ya mambo mengi ya kufanya hapa duniani, HAY BASI aliye gundua mobile phone...
  9. Jemedari Kalundi

    Bweni Moro sec linaungua sasahivi

    We acha tu, nani mwenye akiri ya kufikiria kuweka Bima kwa bweni nji hii, Train yenyewe ambayo risk % ni kubwa na watu wakufa na fidia ya laki 500,000 baba wa watoto, alafu hao hao wanatoa over 10 mil kwa individual, kama si uchakachuaji katika documents wanatumia formular gani, mwenye nayo...
  10. Jemedari Kalundi

    Freelencer graphic designer needed urgently.

    Habari Wakuu Am Freelancer Graphics Designer Mkali wa kutosha katika Illustrator, Photoshop & indesign-ADOBE CS anza na Magazine pagelayout, banners, posters, promotional adv au taja mwenyewe UTAPENDA TU! Jemedari kalundi 0714 119988
  11. Jemedari Kalundi

    Freelancer Graphics Designer

    Habari Wakuu Am Freelancer Graphics Designer Mkali wa kutosha katika Illustrator, Photoshop & indesign-ADOBE CS anza na Magazine pagelayout, banners, posters, promotional adv au taja mwenyewe UTAPENDA TU! my free hand computer artwork 0714119988 au 0758111123
  12. Jemedari Kalundi

    Blocking facebook Tanzania

    Heloo Vipi mbona unakuwa si mkweli na nafsi yako, kifo ni sawa na kuzaliwa, tatizo ni jinsi kifo kinavyokupata, natural death inashida gani? na alipoweka "like" pengine anashukuru kwa taalifa ambayo ni muhimu au akiweka "Unlike" si hatakuwa anamaanisha hataki hata hiyo taarifa tu? fikiria...
  13. Jemedari Kalundi

    Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

    HayaJamani wan JF mambo yanakuwa hivi? maneno makali, je ungekuwa wewe mbunge ungecheza, ungegoma, ungepinga au ungekuwa wapi wakati mechi inaanza na ulikuwa umepangwa baki namba 5
  14. Jemedari Kalundi

    Natafuta nyumba ya kupanga

    Tangaza dau lako minimum ili tukupe contacts
  15. Jemedari Kalundi

    nyumba ulongoni

    Haya Taarifa ndio hiyo wadau :A S-baby:
  16. Jemedari Kalundi

    Nyumba Inauzwa ulongoni via Kinyerezi

    Nyumba Inauzwa ulongoni via Kinyerezi Nyumba Inauzwa ipo: Ulongoni - Kinyerezi, Sifa: Master bed room,three family rooms, Kitchen,tap water, Tanesco wired, Direct access to main road, store and public toilet, sitting room and dinning room. wide parking and wall fence foundation,Gymsum...
  17. Jemedari Kalundi

    nyumba ulongoni

    Nyumba inauzwa ipo ulungoni bei 75,000,000 Tsh namba mnazo
  18. Jemedari Kalundi

    Niko huku msitu wa magwepande

    kweni kimeshapata usajiri hiki Chama Cha Mabwepande
  19. Jemedari Kalundi

    Freelancer Graphics Designer

    Freelancer Graphics Designer online in"Page Layout, Publishing, Illustrations & Adverts" na mzuri katika Adobe photoshop, Adobe illustrator ,Adobe indesign na Coral Draw, na uzoefu wa miaka ya kutosha, Wenye mahitaji hayo tuungane mkono. Please contact: jkalundi@yahoo.com 0714119988 na...
  20. Jemedari Kalundi

    Natafuta Kiwanja/Nyumba - Mwanza

    Wengi tunataka kuuza na wengine kununua, hivi wana JF how i upload the house photo into this page?
Back
Top Bottom