Search results

  1. MchukiaUonevu

    Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kuendelea kujadili eti kwa nini Mama Salma Kikwete kateuliwa kuwa mbunge na JPM ni upunguani na uwezo mdogo wa kufikiri. Na hii ndio shida ya Watanzania wengi. Mnashindwa ku urgue critically and positively. Unapong'ang'ana eti, kwa nini yeye, jiulize pia kwanini asiwe yeye. Kimsingi, ya...
  2. MchukiaUonevu

    TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Hivi wewe ni binadamu uliyezaliwa na binadamu au? Samahani lakini kwa swali hili. Naomba uthibitishe kama we ndie uliyeandika post hii! ! Ukifanya hivyo itasaidia watu wastaarabu siku nyingine wasihangaike kujibizana na wewe.
  3. MchukiaUonevu

    CV ya James Mbatia na kelele zake kuhusu uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma

    Tatizo ni kughushi occupation ambayo hana. Kwa kuwa mahitaji ya ubunge ni kujua kusoma na kuandika, kwa nini ajiite au aitwe kwa taaluma ambayo hana? !! Aliona tabu gani kusema alicho nacho..kama ni certificate,diploma au chochote!! Ukipata jibu la swali hili utakuwa kwenye nafasi nzuri ya...
  4. MchukiaUonevu

    Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Vijana wengi wamejipumbaza wenyewe kwa sababu ya kutojituma kiakili. Hakuna anayefikiria positively, Ni Kufikiri tu kwa fasheni..na kufuata mkumbo. .ulimbukeni, akitokea mmoja akafikiri tofauti huonekana kituko. Wanasiasa hasa wapinzani ndio wamewajazia upumbavu mwingi kichwani,na wala hawaoni...
  5. MchukiaUonevu

    Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron atangaza kujiuzulu baada ya Uingereza kujitoa EU

    Tunaweza kuwasifu Waingereza au Wazungu kwa ukomavu wa demokrasia..na tukajilaumu nchi za dunia ya tatu kwa kutofika walipofika. Right! Lakini pia mambo mawili ni muhimu kuyaweka akilini. 1.The term democracy is not Universal. ..kinachoonekana ndio demokrasia huko. .hapa kwetu yaweza kuwa si...
  6. MchukiaUonevu

    Fundi Mzuri wa BMW

    Mkuu ukifanikiwa naomba unijulishe. ..mafundi waliokutengenezea, na umakini wao ukoje.
  7. MchukiaUonevu

    Justice For Mnyika

    Kama mambo ndivyo na yeye anatakiwa aelekeze mpira huko wanakotaka Chadema. Ni vizuri akajua Chadema ilishahamisha magoli. Ufisadi si hoja tena. ..milango iko wazi Chadema kupokea yeyote, bora aende na mtaji. Wezi wakishafika huko wanatakaswa.
  8. MchukiaUonevu

    Kejeli za Eddo Kumwembe dhidi ya Rekodi za Zitto Kabwe

    Huyu KUMWEMBE hajui hata anachokiandika. ..tatizo hii tasnia ya habari imevamiwa na makanjanja wa social media kama hawa kina KUMWEMBE. Lakini kadiri muda unavyoenda kila mmoja atajulikana tu anamtumikia nani. Hata wa elimu ya hapa na pale alijitaja mwenyewe. Mtu mwenye akili unakuwa vipi na...
  9. MchukiaUonevu

    Kejeli za Eddo Kumwembe dhidi ya Rekodi za Zitto Kabwe

    Maelezo yako yote hapo ndio ulipotaka kuelekea. Msiposimama kwenye nguzo ya DINI huamuwezi kutoa hoja yoyote ya maana. Mapovu yanawatoka tu bure. .maana hakuna cha maana mnachoweza kukipata leo ambacho hamkuwa nacho kabla. Una ushahidi wowote dhidi ya huu upuuzi ulioita "maoni yangu "..hadi...
  10. MchukiaUonevu

    Yametimia: Wenye nyumba sasa kulipa kodi

    Mkuu ongezea na Costs of renovation kila mwaka, maana sasa watu nchi hii wanakurupuka tu na kodi kama fasheni. .na watu wanashangilia maadam anaona hajaguswa moja kwa moja. Kama kodi itakuwa calculated basing on income, basi na cost pia za hiyo investment zitazingatiwa. Vinginevyo mwenye nyumba...
  11. MchukiaUonevu

    Mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro

    Hivi kuna tija gani kufanya mahafali kwa sura ya kichama. Nauliza kuna umuhimu kwa mwanafunzi aliyesomeshwa kwa shida na mzazi wake tangu STD I. .kulipa ada na mahitaji yote muhimu hadi Chuo kikuu. .na pengine akapewa mkopo na SERIKALI. .halafu huyu mwanafunzi akafanyiwe mahafali na Chadema. ...
  12. MchukiaUonevu

    Tanzania inawahitaji watu aina ya Mch. Gwajima walau kumi hivi

    Kweli siku hizi kuna wachambuzi na wachambuzi. Imekuwa kawaida sasa mtu yoyote akiropoka bila kuwa na hoja ya msingi..as long as mitandao ya kijamii ipo,basi na watu nao kuropoka kujibu hizo porojo. ..mnaita trending. . Kwa mtu mwenye akili japo kiduchu tu ndie atakaeona huyo MSHENGA kaongea...
  13. MchukiaUonevu

    Majibu yangu kwa Mohamed Said dhidi ya habari za Chifu David Kidaha

    Mkuu Nicholas , Hivi ukitaka kujibu post yoyote. ..huwa unakunywa pombe ulewe kwanza au?? Maana hakuna namna ya kuelewa post yako/zako tofauti ya kuelewa kwamba ni andiko la mlevi, asiye na nidhamu, mdini aliyekubuhu.,..asiyejua kitu lakini kujifanya anajua na mwenye chuki binafsi na watu...
  14. MchukiaUonevu

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Hivi wakuu TBC wanaweza kuwa na backup ya vitu vya zamani. ..mfano...audio clip za Jingles na signature tunes za vipindi mbalimbali. ..kipindi kama cha Bima yako, sayansi na teknolojia(hii iliimbwa na Marehemu Capt.Komba)..na nyingine kama alizotuonjesha mleta mada. Nadhani kama wanaweza ku...
  15. MchukiaUonevu

    Zitto Kabwe kuwa dhidi ya Magufuli ni kujiua kisiasa!

    Mkuu, Haya unaandika mwenyewe au kuna mtu anakuandikia nawe unaweka hapa.? Kama unaandika mwenyewe basi acha mihemko, mahaba na unazi wa kisiasa. Unajaribu kushawishi jinsi ulivyomuelewa Zitto Kabwe na wengine waelewe hivyo!
  16. MchukiaUonevu

    Uzalendo wa Zitto Kabwe na Mwigamba kusomea nje ya nchi!

    Mkuu, Nilitaka nihoji uelewa wako baada ya post yako ya kwanza, baada ya kusoma hii..sina cha kuuliza. Sio lazima kuanzisha thread, wakati mwingine unaweza kusoma wanachoandika wenzako ukaelimika. Hapo kwenye red sijui umemaanisha nini!
  17. MchukiaUonevu

    Daraja la Dr. Dau

    Masopakyindi, Ni kosa kubwa sana kutumia kosa la mtu na kisha kumuunganisha na personalities za watu wengine. Kama una au ''mna'' ushahidi kuwa Dr Rished Bade alifanya unayosema,then it's simple,pelekeni ushahidi achukuliwe hatua. Kama alikosea ni personal issue, huna haja ya kuunga nisharudi...
  18. MchukiaUonevu

    Daraja la Dr. Dau

    Watanzania, Hivi ni nani aliyewaloga!? Ninyi ambao ukweli ukiwekwa wazi mnatokwa na mapovu bure. Mnakataa kukubali kazi nzuri iliyofanywa na Dr. Dau kwa sababu ya itikadi? !! Intergrity, intelligence and patriotism of Dr.Dau I'd unquestionable. Watu kama hawa kwa nchi zingine huwa ni assets...
  19. MchukiaUonevu

    Kutoka ZIRPP: Abdallah Kassim Hanga na mapinduzi ya Zanzibar

    Mohamed Said, Tunanufaika sana na elimu hii adhimu unayoitoa hapa jamvini, Mola akutie nguvu ili historia hii iliyofichika iwafikie waTanzania walio wengi. Kwa sisi tulioijua Dar es salaam miaka ya tisini, ukiunganisha na historia ya wapigania Uhuru Tanganyika na Zanzibar, hakika kuna mengi...
  20. MchukiaUonevu

    Kutoka ZIRPP: Abdallah Kassim Hanga na mapinduzi ya Zanzibar

    Mohamed Said, Naomba sasa utufunulie ni nini kiliwafanya Nabwa na Mpashaji wa uwanja wa ndege kwenda kwa Maalim Matar kumuombea dua!! Jazaakallah!
Back
Top Bottom