Search results

  1. yang

    Msaada wa hii alert katika Land Rover discovery 3

    Wakuu Naomba msaada wa kujua Maana ya hii Taa ndogo ya kushoto inawaka red katika dashboard chini ya kisahani Cha rpm. Nimeigundua leo ina blink red nikiwa ndani na hata nikifunga mlango na ku lock Gari. Sijajua ni shida gani imetokea sababu haikuwahi kutokea na sijafanya kitu tofauti katika...
  2. yang

    Nahitaji sex partner

    Hi to all. Me ni mwanaume 30 years of age, mrefu kiasi, Rangi mnaita Maji ya kunde au mweupe kiasi, naishi dar currently, nimeajiriwa in small private company. The problem ninayo naona ni very introvert yani naweza kukutajia washkaji hawazidi watano. Hali hii imenifanya kuwa na shida pia ya kuwa...
  3. yang

    Msaada jinsi ya kutrack laptop iliyoibiwa

    Siku sio nyingi zimepita nimeibiwa laptop na external hard disk. So mpaka sasa data zangu muhimu nyingi zimepotea. Naomba kufahamu kama kuna njia ya kutrack hii laptop ingawa sikumbuki IP address. Msaada wenu wakuu ili niweze kupata data zangu
  4. yang

    2018 MUST SEE

    Picha inajieleza... Have a nice time
  5. yang

    Nyimbo zako bora kwa kipindi hiki

    Katika radio na tv programs kuna nyimbo mpya kila kukicha na pia kuna nyimbo zinazohit kila muda. Lakini kila mtu ana nyimbo anazozipenda katika kila wakati... Ningependa tushirikishane nyimbo zinazobamba katika kichwa chako ndani ya muda huu. Means your best songs at this time bila kujali...
  6. yang

    Picha inaongea

  7. yang

    Kipi ni kikubwa zaidi au mafanikio zaidi maishani?

    Nimekuwa nikijiuliza sana ni jambo gani kuu ambalo nikifanikiwa hapa duniani nitakuwa nimepata forever relief na kuleta maana ya kuwepo hapa duniani. Mimi binafsi bado sijapata jibu, naomba wadau tupeane maoni na ni kwa sababu zipi ukahisi jambo hilo ndio lenyewe. Hii nimefikiria sana sababu...
  8. yang

    iPhone tips and tricks

    Wakuu ningependa kujua zaidi juu ya tips and tricks za iPhone ili kuweza kutumia vizuri simu Mfano. Unaweza kudownload app ya level then ukatumia simu yako Kama pimamaji (spirit level) Au ukatumia simu kupiga mstari ulionyooka katika karatasi bila kuhitaji ruler Nasubiri mchango....
  9. yang

    Applications nzuri zaidi kwa android na iPhone

    Wakuu tupieni apps mnazoziona Bomba kwa android Na iOS tupate uwanja mpana wa kutumia simu zetu Naanza Android-googles (hii unapiga picha kitu then unakigoogle) iPhone- sleep better (hii una track usingizi wako hadi asubuhi then inaanalyse)
  10. yang

    Kwa yeyote anaefikiria uvumbuzi wa kisayansi

    Jamani tu jaribu kushare any new personal ideas kuhusu science kwa ujumla including engineering coz I think Kila mtu Ana mawazo tofauti katika nature
  11. yang

    Kwa waliosoma civil eng, Je! kuna changamoto gani kwenye sekta ya ujenzi ?

    Wadau wa civil eng either professional or contractor leteni mawazo na changamoto katika sekta Ya ujenzi na professional
  12. yang

    Tatizo la Kujizima na kujiwasha kwa samsung galaxy pocket nifanyaje ?

    Wakuu Nina galaxy pocket hapa tangu Jana inajizima na kujiwasha automatic Ina Kama miaka mitatu mkononi kwangu sijawahi kuexperience Hilo Shida ni nin? Msaada
  13. yang

    Jinsi ya kutumia wireless kutoka katika iphone 4

    Wadau naombeni Msaada nashindwa jinsi ya kutumia wireless kutoka katika iphone4 kuja katika PC ya window
Back
Top Bottom