Search results

  1. M

    Nafasi za Kazi ya kuuza bidhaa mtaani

    1. kazi gani zinapaswa kutangazwa na zipi hazifai kutangazwa mkuu???? 2. umachinga ni ugonjwa kusema ukifanya utakufa??? hao wengine wanaofanya wana nini?? 3. ujasiriamali ukoje mkuu utujuze wengine tujifunze. Nb: Najua jua lishawapiga sana mtaani kwa kuhangaika kutafuta kazi kwenye makampuni...
  2. M

    mchango wenu wa mawazo jamani....

    1. Kila jambo lenye mafanikio lina changamoto, hivyo ni muhimu kufahamu kwa mapana kitu unachokifanya, ukipende, utafute ujuzi, upate uzoefu kwa wengine wanaofanya au waliofanya. Nothing comes easy. 2. Kila mkopo unapaswa kurejeshwa ama kulipwa kwa wakati na kama ilivyokubaliwa. Mkopeshaji na...
  3. M

    Ukweli kuhusu wasomi

    1. sio kila mtu ana uelewa, utashi, akili, ustadi na juhudi sawa walizonazo wengine. Kila mtu ana mahitaji na matakwa yake, wakati wengine wana elimu na hawana kazi, wengine wanatamani elimu hiyo hiyo hata kama hawana kazi. Hivyo ni vyema kila msomi akaangalia anahitaji nini, anastahili nini na...
  4. M

    Nafasi za Kazi ya kuuza bidhaa mtaani

    Tunahitaji vijana kwa ajili ya kuuza bidhaa zetu (vitabu) kwa kutembeza mtaani ( kwenye maofisi, mabaa, vyuoni, barabarani, njiani nk). Kwa wanahitaji , tafadhali wasiliana nasi kwa: La VIVA BOOK PROJECT P.O BOX 79119 Dar Es Salaam Mob : 0657 10 12 14 Mshahara : Tsh...
  5. M

    Vacancy: Accounts Clerk

    Job Title: Accounts Clerk Location: Dar Es Salaam Position Type: Full Time Summary: The ideal candidate should have a pleasant telephone manner, professional appearance, and be able to work independently with little or no supervision. This person should be organized, flexible and...
Back
Top Bottom