Search results

  1. A

    Tusiopenda kusoma makala ndefu na tunapenda kujifunza na kufahamu zaidi tukutane hapa

    hivi hii sio ile stori tulikuwaga tunadanganyaga sana utotoni kwamba carlos aliingiaga kwa malkia kupitia tundu la choo na akamlala? miaka ile kuna sumu nyingi sana tulimezeshwaga
  2. A

    Jenerali Ulimwengu: Kuna Mtanzania alitufanya Mazuzu

    watanzania turichezewa kweriii kwerii
  3. A

    Nakumbuka: Kuvunjwa kwa Sekondari ya Tambaza na Kuhamishwa Wanafunzi Wote

    Dah kolila, siha na kili boyz hao jamaa walipinda sana.
  4. A

    Nakumbuka: Kuvunjwa kwa Sekondari ya Tambaza na Kuhamishwa Wanafunzi Wote

    Kweli mkuu mwaka 94 i was in std 1 na ndio hawa makuzi walipiga patrol shule nyingi sana za za msingi kuleta maafa na shuleni kwe2 mburahati walikuja na ku2chapa sana viboko na then kuiba mali.
  5. A

    CCM yawaruka Mussa Mkangaa na wenzake

    mweeh! Hawa wangekua ndugu zangu wa iringa mapema washajiua.
  6. A

    Kigamboni: Hali ya usalama si shwari

    Huku kwe2 kuna kundi la ukweli wanaitwa wazee wa cuf wapo masjid fulani hivi, hao ukiibiwa unaenda na buku 50 zako unawapa then unawatajia wahusika wako, wao wanaenda mpk kwao then wanamwita mbele ya wazazi wake wanaua palepale then wanaondoka ndani ya siku 1 tu waizi si chini ya watano wanaenda...
  7. A

    Watanzania Wanauana Wenyewe Kwa Wenyewe Durban

    kwa taarifa yako mkuu kaburu a.k.a mzulu anamuogopa mbongo zaidi ya kifo. Wabongo 2napiga ngumi kaburu anategemea beto au mkwasa. Vijana wengi hapa mchomoko a.k.a wizi ndio mpango mzima safari yenyewe 2 ya kuunga unga na majanga ya njiani kupitia msumbiji ni zaidi ya mafunzo ya monduli so...
  8. A

    dar imenishinda,narudi kijijini kwetu

    karibu kigogo mwembejando
  9. A

    Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    Mimi hadi leo mjinga, naamini ukitaka fanikiwa ktk maisha yako au biashara zako lazima uwe kada wa ccm.
  10. A

    Huyu atakuwa kabila gani???

    Njomba Nchumali mimi nataka kwenda njini nimechikia njomba nkapa amepata unyerere.
  11. A

    .Nasikia kizunguzungu

    We kiyesterday umejitahidi sana kujibrothersugarcane.
  12. A

    NAPE ajibu hoja ya Kudhoofishwa kwa Dr. Slaa...

    sijafanya utafiti wa kina ila nadhani huyu bwana atakua anaongoza kuwasababishia watu Ban.
  13. A

    Ngoja nikujoke

    Twende twende, unaongea mfululizo ka umemeza line ya tigo.
  14. A

    Maskini mimi,naijutia nafsi.nahisi nishaliwa kichwa/nishadisco at sokoine university of agriculture

    yah ni kweli mkuu coz ni hatari kuingia na kibuti ila ni hatari zaidi sana kutokuingia nacho.
  15. A

    CNN: Dr. Slaa awa gumzo na hatari serikalini Tanzania

    mmmmh, ngoja kina Ponda waje hapa.
  16. A

    Huyu atakuwa kabila gani???

    Na huyu muuliza swali ni wa wapi- " kwani kati ya Nricho Ngacha na Mucha Achani N'gochi wepi akichezea chimba?"
  17. A

    Yah;facebook

    hahahahahahaha we utakua muhanga wa hii ki2.
  18. A

    tufungukeni majina ya wanyakyusa...naaanza

    Mwanaasha, mwanaisha, mwanawane, mwanamalundi.
  19. A

    tufungukeni majina ya wanyakyusa...naaanza

    Mwanahamisi, mwanahawa, mwanaharamu, mwajuma, mwali, mwanajf, mwanahalisi, mwananchi, mwanafalsafa, mwanajeshi, mwalimu, mwaka mpya, mwana apolo, mwana sport, mwanangu, mwanachama.
Back
Top Bottom