Search results

  1. K

    Crdb bank vipi wameshaita interview ya pili ya relationship manager

    Ni takribani wiki mbili sasa tangu tufanye interview ya kwanza na CRDB Bank upande wa Microfinance pale CRDB BANK HOUSE-MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA kwa post ya Relationship Manager-Microfinance na walituahidi kutupigia baada ya wiki ila mpaka sasa ni kimya. Kwa mwenye taarifa yeyote anijuze
  2. K

    Uko wapi uzalendo wa viongozi wa kanda ya kusini

    Kanda ya Kusini imependelewa kwa kuwa na Wabunge ambao wengi wao ni Mawaziri ambapo kwa Mkoa wa Mtwara: Mtwara Vijijini Mbunge wake ni Mh: Hawa Ghasia ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma; Newala Mbunge wake ni Mh: Capt Mstaafu George Mkuchika ambaye ni Waziri...
Back
Top Bottom