Search results

  1. K

    Waraka kwa mke wa mtu (ex)

    dah uzinzi huu utawamaliza kudadeki mke wa mtu unakuwa si mwaminifu nawe unayechukua mke wa mtu huogopi vip angekuwa mkeo ungefanya nini
  2. K

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    tuwe nasubira jamani
  3. K

    HOJA ya Zitto yawasilishwa kwa spika

    nakuambia kitaeleweka tu mwaka huu na elfu mbili na kumi na tano
  4. K

    Kamati ya ardhi, maliasili na mazingira ya Bunge yailipua serikali tena

    Mwaka huu maige anakazi nzito bora hajiuzulu mapemaa tuu
  5. K

    Rais J.K: Anapolala kwenye msiba Malawi wakati Dodoma si shwari!

    si ndiye mlie mchagua wacha hamalizie mda wake bwana ameshatuchosha sana
  6. K

    Zitto alipuka tena bungeni

    we Judi una matatizo haya kumponda shujaa wetu wa chadema we mkee wa jaakaya nini,huna busara
  7. K

    Tabia chafu ya TBC

    mwisho wao ni 2015 we waache tu wanatabia chafu sana hususani tbc hivi we ujui kwanini Tido mhando alifukuzwa TBC jiongezee
  8. K

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Jamani tanzania yetu hii hata viongozi waseme wanajiuzulu hakuna jipya zaid ya uongo mtupu,nadhani umefika wakati wakuto kubali kudanganywa,Lowasa alijiuzulu nini kilitokea?
Back
Top Bottom