Search results

  1. ney kush

    Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

    si umeona mbuzi katoliki alivyo mtamu kaka. nitumie mawasiliano hako PM nikutumie ya kilo moja.
  2. ney kush

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    umerudisha card yake kwanza? anyway muoshwa huoshwa ,ukila vya wenzio nawe utaliwa ... relax subiri kuliwa kiboga hapo mzee cha muhimu kisafishe kwaajili ya jombiii
  3. ney kush

    Wazo la Biashara

    Kuna mtu pale mabibo hostel. Yeye anasamabaza WI-FI pia lakini ili upate huduma yake unatakiwa UNUNUE VOCHA. ana vocha zake anauza shilingi elfu 1. kwa saa 24 utatumia WI-FI hiyo
  4. ney kush

    Wazo la Biashara

    unlimited mtandao gani huo ?
  5. ney kush

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Kuna mama mmoja hapa mikasa ubungo.. anauza sigara pembeni ...anamuamini huyo jamaa sio mchezo
  6. ney kush

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kesho jumamosi ya tarehe 2/12/2023 TEMDO written interview mwageni nondo hapa za mechanical technician
  7. ney kush

    Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

    hongera sana , mimi najaribu lakini wapi kuna binti mmoja akinichek tu lazima nibadili mawazo hata kama sitaki kupiga mzigo siku hiyoa
  8. ney kush

    Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

    juu hapa kwenye bar ya mama tarimo kwa juu kidogo
  9. ney kush

    Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

    Mkuu hapo moonlight ndio home yani Karibu kabisa na kwa marehemu dokta wela hapo[emoji41]
  10. ney kush

    Binadamu ni katili sana R.I.P Chuga

    Naam salam wana jukwaa. Nalipanda jukwaa hili moja kwa moja kutoka Maji Chumvi hapa Jijini DAR ES SALAAM. Juzi siku ya Jumapili mnamo saa tisa na nusu alfajiri, Mimi pamoja na ndugu yangu tulipata safari ya kupeleka safety gears Ngere Ngere. kuna Camp pale ya MAKABURU (wadutch kutoka south...
  11. ney kush

    Afungwa miaka 30 kwa kosa la kuingilia kinyume na maumbile

    ina maana wewe kwa umri huo huwezi kuandika neno mbwa
  12. ney kush

    Vijana wanasajili Bunifu Nchi Jirani

    Huyu jamaa hiyo nafasi hafai kuwepo. kuna suala la paypal hana majibu suala la gharama Za internet hana majibu . starlink kawakataa Hawa jamaa wapo kunufaisha matumbo yao tu. Yani wanaongea as if hii nchi imeongozwa na chama tofauti. hiyo issue ilitakiwa ifanyike muda mrefu lakini saiv ndio...
  13. ney kush

    Wadogo zetu wa sasa wana ujasiri sana, sio waoga kabisa

    huyo dogo lazima wa DIT tena mechanics. mkuu hicho kitendo alichofanya huyo dogo ni cha ajab sana ila nafikiri ni utoto..msaidie
  14. ney kush

    Nimeamua kuachana na dini, nitamuabudu Mungu kwa utaratibu wangu mwenyewe

    kwahiyo Mungu mwenyewe amemshindwa shetani ?
  15. ney kush

    Nimeamua kuachana na dini, nitamuabudu Mungu kwa utaratibu wangu mwenyewe

    watufundishe ? wao walifundishwa na nani?
  16. ney kush

    Nahitaji bank statement

    haipo whatsapp hiyo ya whatsapp ni hii 0652823513
  17. ney kush

    Mungu wa kwenye Biblia ameua watu wengi kuliko shetani. Shetani kaua watu 10 tu

    kwanza kwanini Mungu hakumalizana na shetani. mpaka anatupa shida sisi saivi... Ye kamshindwa akatutupia sisi ndo tupambane nae huu ni uonevu. hii script ngumu wazee walete waigizaji wengine
  18. ney kush

    Kilio chetu kwa Rais Samia: Tunaomba PayPal iruhusiwe nchini Tanzania

    Mtu mwenyewe Nnauye anaesema kutumia VPN fain 5M dude is insane .... jamaa anakula kiyoyozi 24hrs 7days kufungua tu paypal anaona tabu walalahoi tupate maokoto kuruhusu elon alete WI-FI nayo hataki C C M ni tatizo hili suala la paypal wameshamwambia sana ila anashupaza shingo.
Back
Top Bottom