Search results

  1. Geofrey_GAMS

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu!! Wee unaonekana unapenda sana shule na kusomasoma.. Betting haikufai[emoji3][emoji3]
  2. Geofrey_GAMS

    Nimepiga hela ndefu Betpawa nipeni wazo la biashara

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Geofrey_GAMS

    Fahamu kuhusu Kampuni za Mfukoni-Briefcase Corporations

    Mjini hapa mkuu[emoji3][emoji3]
  4. Geofrey_GAMS

    FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

    Ndugu zangu muwege mnatupa update kama hivi tunawategemea... kule insta ni miyeyusho tu
  5. Geofrey_GAMS

    FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

    Hivi kwanini jamiiforum ndo kuna updates za haraka kuliko kwenye page za azam instagram
  6. Geofrey_GAMS

    Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

    Vipi leo refa amechezesha vizuri sio?
  7. Geofrey_GAMS

    Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

    Mashabiki wa simba huwa nacheka sana nikisomaga coment zenu
  8. Geofrey_GAMS

    Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

    Dah mwamba unateseka kinyama... pole sana aisee
  9. Geofrey_GAMS

    Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

    Kwani ndugu zangu makolo mnateseka mkiwa wapi[emoji4][emoji4]
  10. Geofrey_GAMS

    Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

    Hongera sana kwa ushindi wa goli kumi mkuu
  11. Geofrey_GAMS

    Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

    Mkuu ukiwa na meneja ambaye anawala huwa inafika point meneja anakuwa hana usemi hata mhudumu akimkosea mteja basi meneja anakuwa upande wa muhudumu... Kikubwa ni zile concept za promotions ila kuwala pia inaweza isiwe solution Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Geofrey_GAMS

    Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

    Mkuu hizo Pound na Dolla nakushauri usiwe unahifadhi nyumbani maana hayo mahela huwa yanaenda na series baada ya mda yanakuwa hayatumiki... Unaweza ukawa na dola ya mwaka 2014 ukaenda siku kubadili upewe tzs ukaambiwa hela hiyo haitumiki tena ukawa umekula hasara, either ufungue akaunt ya dola...
  13. Geofrey_GAMS

    NBA 2018/2019 is here...

    Hivi hizi chaneli kama TNT, NBA TV na ESPN zinatikana kwenye dekoda zipi
  14. Geofrey_GAMS

    All bank accounts with no monthly charges in Tanzania (Akaunti zote zisizo na makato ya mwezi Tanzania)

    kufanakupona, Safi sana mkuu,,,, Ongezea na I & M Bank pia wana Saving ambayo haina monthly charges
  15. Geofrey_GAMS

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    @Msuya Jr tunaomba ujibu hii mkuu Nissa Fuga mwaka 2006 kuja juu
  16. Geofrey_GAMS

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Umenunua kwa njia gani shares LSE Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Geofrey_GAMS

    Madalali bora katika soko la hisa

    Aiseee basi wanafanana na orbit, pale orbit kuna kipindi nilienda kununua hisa kiasi flan wao wakauza badala ya kununua halafu wakanunua mara mbili ili kufidia walizouza na zile nilizotaka kununua, yana wanaforce wapate commission kubwa
  18. Geofrey_GAMS

    Forex trading short course

    Mkuu hauna group wasap au telegram la maforex traders uniunge namm, tuwe tunashare maujanja
  19. Geofrey_GAMS

    Forex trading short course

    Naona huyu hajatumia platform amefanya manually katumia Bureau da change tu, hivi benki gani inatoa huduma za online transfers kwa usalama na bei nafuu mkuu?
  20. Geofrey_GAMS

    Hisa za Vodacom Tanzania, imegeuka kuwa kitendawili kwa Tanzania

    Hahahaha, I liked your point brother... Actually ndomana Buffet marekan huwa anasema kwamba yeye analipa kodi kidogo kushinda secretary wake. Watu huwa hawamwelewi ila infact huwa anazungumzia in percentage wise kwamba yeye analipa kodi asilimia chache ya kipato chake kulinganisha na asilimia...
Back
Top Bottom