Search results

  1. Abigail2011

    Miguu ya mgeni inanuka sana, nifanyeje nisioneshe kukerekeka/ kukerwà

    Kwani analala hapo?,na ata akilala siata oga?;Sisi Ma engineer kazi zetu nizakutembea na mabuti juani Tena ukiwa ndio unasimamia Barabara ndio haswaa huo ubeberu wa miguuni unanoga ukivua viatu.
  2. Abigail2011

    Leo jioni nimepanda mwendokasi baada ya kupata breakdown lakini kilichonitokea aisee wanawake hizo nywele muwe mnaosha

    Wewe Kumbe ni mtu wa majipu makwapani.Watu wametoka kwenye mishe wananukia kibeberu wewe unaleta za kuleta.
  3. Abigail2011

    Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

    Mimi na fyatu tu.Washafika wanne.Bado wa uzeeni.
  4. Abigail2011

    Leo ndiyo nimekubali kwamba kikulacho ki nguoni mwako

    Daah!,amakweli ubinadamu ni kazi.Ingekuwa Mimi pale aliposema ulogwe uokote makopo ningetoka ni mfuraishe malabuku yake!.
  5. Abigail2011

    Ipi rekodi yako ya uzoefu katika uendeshaji gari safari ndefu?

    Dar Tz - Gaborone Botswana.Siku tatu.Toyota Hilux 4WD.
  6. Abigail2011

    Hakuna uchawi wa chuma ulete, ni visingizio vya watu wazembe

    Elimu nzuri sana umenipa mdau,ubarikiwe sana kwa kutokuwa mchoyo wa madesa.😁🤣🤣🤣💯💯
  7. Abigail2011

    Dar es Salaam tupo kimaisha tu lakini sio sehemu nzuri sana ya kuishi

    Mimi dar sitoki ng'o!.Mwili wangu una insulation ya kuzuia joto.
  8. Abigail2011

    Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

    Hapo kwenye Div.0 form six acha uongo,jamaa alichana kinoma.
  9. Abigail2011

    Nahitaji Kitu Kama Hiki Dodoma Mjini

    Nenda Dar jombaa!,Ukija mjengoni utapoteza nauli yako.
  10. Abigail2011

    House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Tabata Relini barabarani. Bei nafuu kabisa

    Pale ni kama pale jangwani full maji.
  11. Abigail2011

    Ahsante sana mama Ndalichako!

    Sisi wa kayumba tunateseka sana vingereza vyetu mpaka tu download sio plug and play.
Back
Top Bottom