Search results

  1. N

    Inakuwaje uwe Dar es Salaam halafu hujui baadhi ya maeneo ya Dar

    kwa sababu hakuenda dar kuangalia maghorofa. Ukitaka kujua wanaoijua dar nenda kwa wapiga debe na madalali
  2. N

    Supu ya pweza Vs Juice ya tende

    Mnajidanganya walai. Kwa kuanzia mi kijana ni pm tukafanye shoo alafu urudi tena kuandika.
  3. N

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Ajabu unaweza kusikia wahuni wanasema ameuawa na cdm
  4. N

    Mume wa Rais wa Tanzania atakuwa na wadhifa na majukumu gani?

    hahaaaaaaaaa......acha nicheke kidogo maana akinisikia Anna makinda patakuwa hapatoshi
  5. N

    Ugonjwa wangu ni weupee...

    ukienda muhimbili hospital watu mbalimbali wanamaradhi tofautitofauti. Km wewe huo ndo ugonjwa wako basi unastahili ukalazwe wodi ya mwaiseka
  6. N

    Makalio yangu yanaongezeka, msaada

    mtaji wa mwanamke ni umbo lake mwenyewe. Huo ndo mtaji wako mbele ya safari. Shukuru kwa hiko kidogo
  7. N

    "Uiiiiiiii ukifikia stage hii ya mapenzi bora utekwe na BOKO HARAM WALLAH"

    weka picha wake na namba ya simu alafu mulete hapa haraka. Hilo tatizo Dogo sana watu tunamatatizo mpaka tunajuta kuzaliwa
  8. N

    Wasaliti wa mabadiliko nchini hawa hapa

    na sasa wakiongozwa na kilwete (mr. dhaifu na jk feki) wanawatiisha watz kuwa serikali3 jeshi litapindua nchi. Wakitoka hapo wanakwambia tz kuna demokrasia wkt kihalisia hakuna lolote zaidi ya demokrasia ya ufisadi ambapo aliyeiba anapigiwa magoti na anayejiita rais wa nchi ili arudishe...
  9. N

    Wasaliti wa mabadiliko nchini hawa hapa

    hofu ya kung'olewa kucha na meno. ktk hili sisiemu tayari ni washindi. Wameua mwandishi wa hbr mwangosi ili kuwatiisha waandishi wa hbr nao wametishika hakuna mwenye ujasiri tena zaidi wakafungia ----------- ambao walikuwa hawaogopi risasi za policcm wala tindikali za ccm waliua nusu...
  10. N

    Mama na Mwana: Nini Kinaendelea Zanzibar?

    hakuna watu wasio na ujasiri km wazanzibar. ila wanavopiga domo!
  11. N

    Wazanzibari kutoa kauli leo juu ya kinachoendelea katika bunge la katiba

    Midomo yao iko hivo ila mioyo yao wazanzibar inautaka sana muungano
  12. N

    Dr.Slaa Acha Unafiki!

    Kwa uandishi wk km kuku hustahili kumuongelea Dr. Slaa. Umeandika upuuzi na njaa zako zitakufanya ugegedwe maisha yaako yote
  13. N

    Ukijua mpenzi wako anatembea na jamaa tofauti kama wawili

    Jiulize km tatizo lako hujui kugegeda au huna hela za kumpendezesha au ww hujui kutumia kibamia chako. Nakushauri ubanane nao hapohapo mpaka kieleweke.
  14. N

    Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria (De Jure) Bali ni De Factor?!

    Wewe mwenyewe umethibitisha na kuhitimisha kuwa either tz iliundwa kwa de factor au de jure zote ni halali. Sasa tujadili nn tena hapa
  15. N

    Wapi bar zenye gesti Manzese

    Zipo hapohapo manzese
  16. N

    Mwili wa sheikh Makaburi!

    Ngoja waje wafafanue waislamu wenyewe
  17. N

    CHADEMA yazidi kuchanja mbuga Chalinze

    Mpaka kieleweke papaa
  18. N

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Mbona ipo? Umewahi kusikia shein au karume analalamika kuhusu mambo hayo? Kwa sababu wanajua ipo na haina tatizo
  19. N

    Kwa wanandoa hii ni adhabu?

    Toa hela kijana acha kulalamika
Back
Top Bottom