Unajamaa ambae muko nae sambamba kwakila hali unamtimizia nae anakutimizia hana mtu mwingine zaidi yako
hiyo imekaa kama mke na mume japo ndoa bado ,lakini katika tendo la ndoa mmekubaliana msiwe peku,
baada ya muda wa miaka miine sambamba munaamua kwenda kupima kama mpo swafi ili mfanye...
Unampa lift mtu kwa gari yako na ndani ya gari redio inapiga mziki mororow
akishaingia ndani ya gari unamuona anatoa simu yake, kisha anawasha redio ya sumu yake,
nasimu ni mchina, nyingi sauti zake zipo juu, je utamshusha au utazima redio ya gari yako msikilize redio ya ndani,
ya simu yake?
Ndoa kama ndoa nitamu kushinda asali ukiipangilia pia ndoa shubiri,
hasa unapotongozwa kimasihara naukakaribishwa home siku moj tu wewe ukaja na guo
yakubadili uliambiwa unalala? ukiambiwa ngojea nikuletee buits wewe unasema acha tu mie nitapika,
hapo lazima ndoa iwe ndoana.lini umezoea mpaka...
Utamkuta mtu anagobana na mwenzake ua anasimulia habari za mgomvi
wake utasikia akisema mie sio mswahili aniachie mambo yake ya mazese ya huko
uswahilini ukimtazama huyo anaetoa maneno hayo mwaeusi wa rangi yeye mpaka roho yake je
uswahili wa mwenzake ni umasikini au ........
Huyu naona anashindwa kutofautisha mie mtazamo wangu ni jasho la jamaa japo yeye anadai perfume..
mtu na mpenzi wake hukaririana hali ya hewa zao,kwahiyo akitokea mwingine sio rahisi kuridhiwa kwani hiyo
perfume.. ni ileile.
Huyo yaonekuna hana aibu wala subra sasa basi dalili ya mvua mawingu,
hakufai huyo leo dada kesho atakua mama naulishauhaidi kumpeleka shopping siitakua noma.
Nimepata mchumba lakini nilipoamua kujuaana kivituzi..zzz nilihisi kama nguvu ni nindogo
kwani usimamaji wake sio wa digri 90 kama sio 100 na hasa kwa kimwana kama mie bado
mwake mwake sasa naogopa leo hivi akishanizoea nikiwa mke siitakua pilipili mti gani wakuinamaina.
Nasikia wababa wakisema aaaa huyo hamuna kitu hana mtindo wowote akilala
kama mzigo. Na mwingine utasikia akisifia kua huyo mama au dada achana nae,
akikupa kichuma boga hutoki au akikaa mkao wa umakeyika hata uweke sindano
haigusi anaelea kama mtwumbwi, na mavituzi yanaendelea.
Kupigwa kwa wanaume mie nafiki kwa sana
kwani wengi wao ni majeuri na wanamaji gambo
sababu tu ni wamaume hawajui kua pia wapo wanawake wenyenguvu
kuzidi wao nazungungumza na kiongozi wa Kenya atuazime hao wamama waje tanzania siku tatu
tu wanaumw wote wa tz watashika adabu hasa wale wenye...
Tukumbuke wamama watoto wetu watapooa sidhani kama wakwe tutawapenda
kwa tabia hii baadhi yetu wanaoifanya yakugawa mavituzzzzzzzzzzzz, kama njuguu
hata kwa watoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.