Search results

  1. C

    Wassira: Nitagombea urais 2015

    Hatuna haja ya mgombea urais anayechukua fomu ya urais (tena kwa mara ya kwanza) akiwa na miaka 70 au zaidi
  2. C

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Mbona woga umekuzidi? Tuseme NO kwa Lowassa campaign halafu tuseme YES kwa campaign ipi? Badala ya kuzunguka na campaign ya NO kwa Lowassa zungukeni na campaign ya YES kwa mtu wenu. Kwa woga wenu huu Lowassa ni Rais kabla mwaka huu haujaisha
  3. C

    Jimbo la Segerea wanamtaka Scholastika Kevela, Makongoro Mahanga kachokwa

    Ni yule yule aliyesema bungeni wananchi wa jimbo lake wenye ukimwi wawekewe nembo usoni au huyu ni mwingine?
  4. C

    Jimbo la Segerea wanamtaka Scholastika Kevela, Makongoro Mahanga kachokwa

    Kuna wakati nadhani mwaka jana mwanzoni nilipita jimbo hilo nikaona wakandarasi watano wakiwa kwenye maeneo matano tofauti kwa wakati mmoja wakijenga barabara za jimbo hilo. Sijawahi kuona hii jimbo lingine lolote. Mmoja alikuwa anajenga barabara ya St. Mary Tabata kwa lami, mwingine alikuwa...
  5. C

    Dr. Shein kumrithi Kikwete

    Hakuuawa. Alikufa kwa mstuko wa moyo
  6. C

    Dr. Shein kumrithi Kikwete

    Ni kweli. Ingawa nchi haina udini wala haijaandikwa rasmi lakini hakuna uwezekano wa waislam kurudia urais mfululizo miaka 20. That's out of question. Ndio maana hata January na AshaRose wasijisumbue mwaka huu
  7. C

    BAKWATA: Mchungaji Mwingira na Waziri Nyalandu waombe radhi

    Mwingira anatafuta kibali cha uwindaji
  8. C

    Elections 2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    Tumpeleke rais Ikulu ya Nyerere ili amtukane Nyerere akiwa Ikulu ya Nyerere? No please!
  9. C

    Siri zavuja Nyalandu na urais, rais na baraza la Mawaziri, Mwigulu Mwiba

    Hapana. Ni kwamba Waziri yeyote akishaiba na kufanya ufisadi serikalini na kujikusanyia pesa basi anachowaza kufanya na fedha hizo ni kupata urais! E.g. Membe, Maige (baada ya kuondolewa ameacha ndoto za urais), Ngeleja, January, Mwigulu na sasa Nyalandu...WOTE WEZI WATUPU
  10. C

    Utabiri: Rais ajaye atakuwa kijana, jina mchanganyiko kiislamu na kikristo au ameoa dini nyingine

    Wazee wanaosemekana kugombea urais ni Sitta, Wassira, Dr. Slaa na labda Mwandosya. Lowassa kwa umri wa 61 ni mtu mzima si mzee
  11. C

    Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Siyo Mogo tu, mitaa yote 6 ya kata ya Kipawa ukiwemo Mogo naambiwa imechukuliwa na CCM
  12. C

    Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Nimetoka Sinza nikapita maeneo ya Buguruni na Tabata na sasa na mimi niko hapa Kwetu Pazuri Segerea. Naona Ukawa mmefanya vizuri jimbo la Segerea lakini bado CCM wako juu sana jimbo hilo. Kwa mujibu wa matokeo niliyokusanya mpaka mwisho saa 6 usiku huu kati ya mitaa yote 60 ya jimbo la Segerea...
  13. C

    Mama Tibaijuka hebu kuwa serious! Mbona unatufanya wote wajinga?

    Ada ni 5m Kwa mwaka licha ya Misaada yote hiyo mabilioni
  14. C

    Kumekucha TRA

    Hata Utouh alitolewa nje (NBAA) wakati kulikuwa na mtu ndani anakaimu. Hiyo kazi siyo mchezo kwamba umpe mtu yeyote ati kwa sababu tu ni wa ndani au alikuwa anakaimu. Lakini pia kama unataka kuhusisha na ripoti ya CAG ya Escrow ni vyema ukajua kwamba Utouh alishamaliza hiyo kazi kwa asilimia 95...
  15. C

    ESCROW: Werema anamjua "Bwana Mkubwa" anayeijua ESCROW

    CV yake inaonyesha 1954 so bado ana miaka 2
  16. C

    The great and perhaps the most diturbing question of the year

    Wewe ukienda benki yako ukachukua kwenye akaunti yako cash ya 1,000,000 ukaondoka ukagawia wadogo zako watatu cash laki mbili kila mmoja na wewe ukabaki na laki 4 statement ya benki itawaonyesha hao wadogo zako?
  17. C

    Harbinder Singh Sethi: Mimi ni mtanzania halisi, nimezaliwa Iringa

    ...lakini mwizi tu hata kama ni mnyalukolo
Back
Top Bottom