Search results

  1. C

    CDF Mabeyo amuaga mkuu wa mkoa wa Mwanza Injinia Gabriel, asema ataendelea kulitumikia Jeshi kwani liko kwenye damu yake!

    Umesema kweli.Kada hii ya ualimu ina changamoto na misukosuko sana. Haipewi heshima inayostahili.
  2. C

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    Uko sahihi. Ukitumia mfumo wa saa (24 hrs) unasaidia kuepusha makandokando mengi...
  3. C

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    Mapema usiku 5 pm? Ama 5 p.m= saa 11 jioni Ama 5 a.m= 11 alfajiri
  4. C

    Hadithi: Mwekanadhiri na shetani

    Mshana Jr tunakumbushia sehemu ya sita;tunakuomba utufanyie wepesi...
  5. C

    Hadithi: Mwekanadhiri na shetani

    Fanya hivyo best.Tunasubiria.
  6. C

    Hadithi: Mwekanadhiri na shetani

    Mshana Jr .Asante sana kwa simulizi hii.Niliisoma kitambo sana, nimeisaka kwa miaka mingi bila mafanikio. Tunakuomba.Tumalizie sehemu ya sita (ya mwisho).
  7. C

    Usipoivaa Nembo Ya Mdhamini Wa Ligi Nyudo 3M Kila Mechi

    Yale yaleee ya "Hatu-che-ziiii...". Mwisho wakacheza na kufungwa.
  8. C

    Mashemeji huwa ni wapambe sana, wapambe nuksi

    Hapa sasa: Yupi tumheshimu zaidi kati ya anko na mjomba?
  9. C

    Mashemeji huwa ni wapambe sana, wapambe nuksi

    Kama ilivyo tofauti ya "Anko" na "Mjomba" au?
  10. C

    Mashemeji huwa ni wapambe sana, wapambe nuksi

    Hahaaaa.Wanaweza kukukula wasibakishe hata mifupa eti?Ndo ile ya chuma husuguliwa na chuma au?Shemeeeejiiiii...(in MacReagan'voice-wa ZeKomedi)
  11. C

    Mashemeji huwa ni wapambe sana, wapambe nuksi

    Nimepata kitu hapa atii...
  12. C

    Mashemeji huwa ni wapambe sana, wapambe nuksi

    Nacheka kwa sauti.Na ni walaji wazuri was kimasikhara?Wachezaji wa akiba (subs).Wapewe ulinzi...?
  13. C

    Mashemeji huwa ni wapambe sana, wapambe nuksi

    Unauaaa...kwa njia hii utadumu sana kwa dunia hii.No stress.No "sonona".
Back
Top Bottom