Search results

  1. N

    Tundu Lissu: Uchaguzi huu siyo kusema tu "People's power" wala "tumekupa kura zote tayari"; huko ni kutiana ujinga. Uchaguzi ni kusoma makaratasi

    Kutakuwepo na kundi la wahuni watakao pora fomu za matokeo kutoka kwa mawakala KUWENI MAKINI KWA HILO PIA
  2. N

    Uchaguzi 2020 Lissu anaongelea tu Serikali za Majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji zitatoka wapi

    Kwa akili yako umemsikia akisema Singida ni jimbo? Huoni kuwa anataka kuondoa hii dhana mfu ya kimkoa ambayo inaziangamizima mikoa yenye changamoto za fursa pana? Acha kupotosha. Unapotosha kwa masilahi ya nani? Hivi watanzania mna nini?
  3. N

    Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

    Hebu pendekeza namna ya kuwaponda na kuwaaangamiza kabisa hayo mapinzani ya Lema na Halima..!:?:?
  4. N

    Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Hoja yako ni ya kijinga sana. Lissu amekuwa maarufu hata kabla ya kupigwa risasi. LISSU ameshambuliwa kwa risasi kutokana na threat aliyo nayo kwa watawala. Maana alikuwa anatetea nchi na kupinga udikteta wakati wote. LISSU amethibitisha kwa vitendo tangu akiwa bungeni akitetea UHURU, HAKI, NA...
  5. N

    Uchaguzi 2020 Kwa mapokezi makubwa anayoyapata Lissu, chondechonde nawaomba NEC na Vyombo vyote vya Dola

    Nimeelewa sana hoja yako. Kwamba HAKI isimamiwe na vyombo vinavyohusika katika uchaguzi huu yaani (NEC) pamoja na vyombo vya dola. NEC hawako tayari kusimamia haki maana wanapokea maagizo ya CCM, hili ni tatizo kubwa. Mimi naomba JWTZ (CDF) na Polisi (IGP) waingilie kati na kushurutisha...
  6. N

    Uchaguzi 2020 CHADEMA kwaheri ya kuonana. Chama kitabaki Youtube, Twitter, Facebook na Instagram

    Unao wajibu wa kutaa mfumo huu wa kihuni, Tutawaachia watoto wetu nchi ya aina gani? Ukifurahia mambo haya nitakuwa na wasiwasi na kiwango chako cha uelewa. Nchi isiyokuwa na mifumo ya haki kwa watu wake haiwezi kupata maendeleo kamwe. Inasikitisha sana kuona watu wanadhulumiwa haki zao na sisi...
  7. N

    Uchaguzi 2020 Nina mashaka na idadi ya wapiga kura 2020

    Hata mimi nilikuwa nawaza katika mstari huo huo, HAIWEZEKANI WATANZANIA WOTE WENYE UMRI WA KUPIGA KURA WAKAWA WAMEJIANDISHA..! NI NGUMU SANA KUTOKANA NA HULKA ZA KIBINADAMU
  8. N

    Kumekucha: Mrema aweweseka na ujio wa Mbatia jimboni Vunjo

    Alaaah! Kwa sasa ni Kimei 100%, Wana Vunjo tutakuwa wajinga sana kama tutapoteza hii nafasi. Binafsi nitarudi kuja kumpigia kampeni Mh. Kimei
  9. N

    Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu vs Ramadhani Ighondu kinyang'anyiro cha kuwania Ubunge jimbo la Singida Kaskazini

    Kazi ya Ubunge haisumbui akili, unapiga bla bla tuu, unapata mshahara mkubwa na posho lukuki na baada ya kila miaka 5 unapata mamilioni ya kiinua mgongo, wenyewe wanakiita gratuite. Ni hivyo tuuu, kazi ya hovyo na rahisi isiyotumia akili hata chembe. Ndiyo maana utawakuta huko mapro madokta hadi...
  10. N

    Uchaguzi 2020 Wafahamu watu 75 waliokuwa wabunge wa CCM walioliwa kichwa na kukosa uteuzi. Wamo Mwakyembe, Tizeba, Nkamia, Chenge, Adadi, Ngeleja, Masele nk

    Unapata ujasiri sana kutokana na hujuma na wizi wa kura ulioshamiri katika chaguzi zetu, ndio maana unasema hayo maneno. Usifurahiye uhalifu ndugu, utatoa hesabu siku ya mwisho mbele za MUNGU
  11. N

    CCM mmevuliwa nguo, kubali kuchutama

    Katika majira kama haya, Mungu anaenda kumfuta Freeman Mboye machozi..! Huyu kaka ameteseka sana, amefilisiwa mali yake yote, mazao ya shambani kwao yamengolewa, ametafutiwa kesi za kila aina, amefungwa mahabusu mara nyingi, ameshambuliwa na kuumizwa vibaya, amepata vitisho vya kila aina na sasa...
  12. N

    Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi mzuri wa Taifa?

    Tatizo watanzania ni waoga sana, mtachezewa sana na watawala, ondoeni woga mtaheshiwa na watawala wenu maana hamjawahi kuwa na viongozi
  13. N

    Uchaguzi 2020 Angalizo Uchaguzi wa Mwaka huu; NEC/ZEC msicheze na sanduku la kura ni 'Bomu'

    Wapinzani mkijipanga, mkaweza kumalizana/kudhibiti makundi ya CCM ya kuhujumu uchaguzi kila jimbo, mtafanikiwa kushinda, kinyume na hapo, sahau ushindi. Tena anzeni siku 2 kabla ya uchaguzi, watafuteni waambieni ukweli kuwa ni ama zao ama zenu. Msitanie maana sio wengi ila wana kinga kubwa...
  14. N

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ana marafiki wa kificho, Rais Magufuli ana maadui wa kificho

    Chadema wakimudu kusimamia kura zote kwa uhalali isipotee hata moja, hakika LISSU atashinda kwa 70%. Kuna changamoto kubwa sana ya mawakala wetu, wengi wanaendeshwa na njaa hivyo anaweza uza ushindi wa jimbo au kura za kituo kizima kwa sh, milioni 2 tu. Hili ni tatizo kubwa sana, linahitaji dawa
  15. N

    Uchaguzi 2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

    Unapokosoa Chadema usiache kutukosoa na sisi CCM, umeona vijana wa temeke CCM walivyouimba huo unaouita wimbo wa taifa?
  16. N

    Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

    Nchi ilishaitangazia dunia kuwa tanzania hakuna huo mchezo, tutakuwa kichekesho kama tutageuka simply mtu mmoja
  17. N

    Kutokutiwa nguvuni Tundu Lissu kesho 27/7/2020 ni kutangaza uasi juu ya Sheria za Nchi yetu

    Akili mbovu sana! Huelewi maana ya diplomasia na utawala wa sheria.
  18. N

    Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM na waliohamia CCM, walioangushwa kura za maoni 2020

    Kwani tume ina masilahi gani na uchaguzi? Vyama ndiyo vinataka uwazi. CCM wameonyesha njia kwa kufanya kura za maoni kwa uwazi, tuendeleze hiyo maana kwa kiasi kikubwa n i kama wananchi nao wemependa
  19. N

    Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM na waliohamia CCM, walioangushwa kura za maoni 2020

    Ninatamani pia Oktoba utaratibu uwe wa wazi kama huu kwa nafasi zote ili kuwakata wapinzani kidomo domo cha kusema wameibiwa kura
  20. N

    Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi atashinda uchaguzi, Maalim Seif atashinda kura

    Nyerere ni namba nyingine aisee, hata mimi nimeshangaa sana
Back
Top Bottom