Search results

  1. MZALENDO TZ

    Aliyenaswa na kamera akiiba simu Dar asakwa

    Jamaa aliyenaswa kwenye picha aliiba simu Jumatatu tarehe 18 Machi 2024, katika eneo kati ya Morocco na Makumbusho jijini Dar es Salaam. Sura ya mwizi ilinaswa na kamera ya simu wakati wa tukio. Mwizi alitumia bodaboda wakati wa tukio la wizi. Simu: Aina ya simu ni One Plus, na nyuma yake...
  2. MZALENDO TZ

    Equity Group yatajwa chapa ya 2 kwa benki imara zaidi duniani

    • Equity imeorodhesha kuwa chapa ya 2 ya benki imara zaidi duniani. • Equity yaibuka kama benki imara zaidi barani Afrika. • Thamani ya chapa ya Equity ilipanda kwa Dola Milioni 22 kutoka thamani ya mwaka jana ya Dola Milioni 428 hadi Dola Milioni 450 (Tzs. 114 bilioni). • Equity inakuwa...
  3. MZALENDO TZ

    Benki ya NBC Yakabidhi Gawio la Tsh Bil 20 Kwa wana hisa wake, yajivunia mafanikio.

    Msajili wa Hazina Bw Nehemiah Mchechu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh 6 Bilion kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kushoto) ikiwa gawio la mwaka 2022 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 30 ya hisa za benki hiyo. Wanaoshuhudia ni...
  4. MZALENDO TZ

    Benki ya NBC yazindua kampeni mpya ya Shinda Mechi Zako na NBC

    Mkuu wa Bidhaa za NBC, Abel Kaseko akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kampeni mpya inayojulikana kama “Shinda Mechi Zako na NBC”. Kampeni ya “Shinda Mechi Zako na NBC”, inalenga kuongeza thamani kwa wateja wa NBC na kukuza ukuaji wao wa kifedha na uchumi wa nchi...
  5. MZALENDO TZ

    Mtanzania aibuka kinara tuzo za uvumbuzi kwenye teknolojia barani Africa

    Mtanzania Deogratius Mosha, ameibuka mshindi katika kinyang’anyiro cha uvumbuzi kwenye teknolojia kwa wavumbuzi wenye umri chini ya miaka arobaini kutoka barani Afrika, maarufu kama Forty under 40 Awards. Mashindano hayo ambayo huandandaliwa na kampuni ya Xodus Communications ya nchini Ghana na...
  6. MZALENDO TZ

    Benki ya Akiba wazindua Waridi Akaunti kwa wanawake wajasiriamali

    Meneja Mwandamizi wa huduma za kidijitali kwa Benki ya Akiba Bi. Magreth Mwasumbi akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa Akaunti maalumu wa kwa ajili ya Wanawake inayoitwa "WARIDI AKAUNTI " .Kulia wake Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Akiba Dora...
  7. MZALENDO TZ

    Bodi ya Wakurugenzi ya Akiba Commercial Bank PLC (ACB) yapata Mwenyekiti Mpya

    Bodi ya Wakurugenzi ya Akiba Commercial Bank Pic (ACB) inapenda kutangaza uteuzi wa Mwenyekiti wake mpya, Bi. Catherine N. Kimaryo. Bi Kimaryo ni kiongozi mahiri, mwenye weledi na mbobezi katika nyanja za ukuaji na ufanisi wa biashara kutokana na uzoefu wake katika utoaji wa masuluhisho, mbinu...
  8. MZALENDO TZ

    Mara: Wawekezaji wakabidhi Jengo la Ofisi ya Serikali ya Mtaa kwa Joshua Nasari

    Bunda, Mara 08/08/2021. Siku ya Tarehe 8/8/2021 kundi la wadau wa maendeleo Mkoa wa Mara wanaoishi na kufanya kazi sehemu mbali mbali hapa nchini (Mara Investors) limekabidhi jengo kwa ajili ya ofisi ya Serikali ya Mtaa ili kusaidia huduma za kiutawala kwa wakazi wa mtaa wa Serengeti Kata ya...
Back
Top Bottom