Search results

  1. O

    Wanawake: Kwa nini mnapenda wanaume walioajiriwa kuliko waliojiajiri?

    Acha zako wajasiriamali tupo na tunafanya vizuri tu, hatuna mabosi kama huyo mumeo
  2. O

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Gefa, suala la ukiazi havina uhusiano wwt la muhimu kila mwanajamvi anachangia hebu toa maoni yako na ww acha kutoa mapovu.......
  3. O

    Kiteto, Siha hakukaliki

    Poleni sana kwa matatizo
  4. O

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Slaa anawezaje kuwa Rais bila kupigiwa kura? Acha upuuzi
  5. O

    Series ipi nzuri zaidi ambayo umeitazama

    cheki strike back.....
  6. O

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Tundu la panya halizibwi kwa mkate
  7. O

    kwa wanaojivunia digr zao

    Usiringe kuchagua kazi eti kisa Una Degree!! Thermometer ina DEGREES kibao lakini inafanya kazi kwenye KWAPA! Upumbavu mtupu unapenda ubwete
  8. O

    PICHA: Jinsi CHADEMA Walivyoiteka Musoma Jana

    Yah hata NCCR MAGEUZI ya MREMA NA MABERE MARANDO NA CUF ya LIPUMBA NA SEIF ILIKUAGA HIVI HIVI.. kuna tofaouti kubwa sana ya enzi ya mwl na sasa itambulike sasa ukombozi wa mtanzania ni CHADEMA
  9. O

    Wajaluo jirekebisheni hizi tabia mnapochangamana na jamii nyingine

    Kifai: Usiombe mjaluo akawa ndiye bosi wa shirika au kampuni atawapendelea wajaluo wenzake wazi wazi pia hata "staff" wake wengi watakuwa ni wajaluo mpaka mfanya usafi.
  10. O

    Wajaluo jirekebisheni hizi tabia mnapochangamana na jamii nyingine

    Gama: Hawa wajaluo wana ubaguzi kinoma tena wachonganishi sana kifupi wanatabia mbaya
  11. O

    TBC1 Wameenda Kenya Kulipana Perdiem?

    Hakuna cha njaa wala nini Tbc iliweka kambi toka muda ila wewe ni punguani na mjinga wa upeo
  12. O

    Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi

    nafikiri hakuna haja ya kuingiza udini hapa tujadili hoja muhimu kwa faida ya taifa achana na habari kijinga za utengano hii ni upeo hafifu na elimu duni
  13. O

    Je utasema watoto wako shule?

    Uupuzi mtupu
  14. O

    Dr. Ulimboka hatukuelewi ! ! !

    Wanajamvi taarifa ya Uli kwa watz bado inaandaliwa na watalaam wa kupindisha ukweli tusubiri muda ufike tutasikia 'cooked report' aibu tupu
  15. O

    Mkuu wa Wilaya ya Serengeti afariki dunia

    Pole sana wanaserengeti tumepoteza jembe R.I.P. Capt.
  16. O

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Wanajamvini nitoeni hofu kwa swali langu linanikosesha raha maana namtambua Slaa ni mwanaharakati shupavu na mwiba kwa CCM. Wana CDM mchakato wetu usonge mbele.
  17. O

    Hongera Prof Muhongo/Maswi kwa uzalendo, ingekuwa Ngeleja/Jairo ingekuwaje?

    Rmashauri naungana na wewe kabisa katika sentensi yako ya mwisho kwamba watu wa mara ni waadilifu. Lakini kumbukakuwa RA na EL ni marafiki wa damu na EL ni msanii by professional ana Masters ya maigizo na JK ni tegemezi sana hawezi kujisimamia yeye kama yeye hebu nambie nini kinaendelea ndiyo...
  18. O

    Mbunge,mchungaji LWAKATARE aumbuka bungeni

    Mch. R. anatia aibu kwa waumini wake na taifa zima kwa ujumla maana anahubiri haki, usawa, amani, upendo na matendo mema lakini ni kwa kufikirika tu. ACHA HIZO UNAFIKI MKUBWA OGOPA MUNGU
Back
Top Bottom