Search results

  1. Babb-Babbjrtz

    Tunnel Guru...!!!

    Iyo ya bandwidth usage ndo haionekani na haisomeki kabisa
  2. Babb-Babbjrtz

    Tunnel Guru...!!!

    Attachment mbona haionekani?
  3. Babb-Babbjrtz

    Tunnel Guru...!!!

    Mwisho wa Tunnel Guru ulikuwa jana kutumia line ya Zantel, tafuteni maujanja mengine
  4. Babb-Babbjrtz

    Msaada wa Kui Root HTC Desire HD

    Wadau naombeni msaada wenu , nataka kuiroot simu yangu ya HTC Desire HD, nataka kujua 1- Jinsi ya Kuiroot 2- Faida na Hasara Zake 3- Na kama kuna mtu ana Touch ya hii simu aniambie tuwasiliane.
  5. Babb-Babbjrtz

    Ivi naweza kutumia BlueStacks au YouWave kwenye Simu ya Andoid?

    Simu yangu sijairoot, naofia kuba baadhi ya application nikiirrot zitakuwa hazifanyi kazi kama Camera
  6. Babb-Babbjrtz

    Ivi naweza kutumia BlueStacks au YouWave kwenye Simu ya Andoid?

    Poa wadau ngoja nijaribu ii ya OGWhatsApp v2.11.193 nawapa jibu
  7. Babb-Babbjrtz

    Ivi naweza kutumia BlueStacks au YouWave kwenye Simu ya Andoid?

    Wadau kama kuna mwenye Idea atueleze, nataka kutumia BlueStacks kwenye simu yangu ya android, lengo likiwa kuniwezesha kutumia whatsapp zaidi ya moja kwenye simu. Au kama kuna njia nyingine itayowezesha kutumia Whatsapp zaid ya moja kwenye simu atueleze.
  8. Babb-Babbjrtz

    Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

    Mle tigo ataacha mwenyewe
  9. Babb-Babbjrtz

    Msaada TUtani: Jinsi ya kuchakachua EASY TV

    Wadau kama kuna mtu anajua maujanja ya kuchakachua EASY TV channels tukaweza ona bure naomba atusaidia please
  10. Babb-Babbjrtz

    TAHADHARI: Kwa watumiaji wa juice za AZAM

    Ingekuwa biashara iii anafanya Gaidi Rwekatare mngeipigia debe, Bakhresa ataendelea kudominate tu hata mfanyaje.
  11. Babb-Babbjrtz

    Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

    Mimi sasa Chadema Bhaaaaaaassssss
  12. Babb-Babbjrtz

    Ndege ndogo ya Kilimoanga yauzwa kwa tshs 500,000/-

    Wadau kwa mtaji huu tutaendelea kweli kwa ndege moja kuuzwa kwa sh 500,000. Na huu mnada umefanyika lini kama si zengwe, habari hizi zipo kwenye gazeti la Uhuru
  13. Babb-Babbjrtz

    Wito kwa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari (tafadhali someni)

    Huo ni upuuzi,unaweza kutoa habari ila si kwa kuweka picha, kama ni ndugu yako angefanywa vile ungekubali, uu ni ulimbukeni wa media, Tanzania need IT policy ya haya mambo
  14. Babb-Babbjrtz

    Wito kwa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari (tafadhali someni)

    Naomba nitajie mtu maarufu yoyote duniani aliyekufa kwenye matukio kama yale na kuwekwa mitandaoni picha kama ii, We Zio unasema hivyo ila fikiria kama ndugu yangu ndo anadhalilishwa hivi mitandaoni ungejisikiaje?
  15. Babb-Babbjrtz

    Wito kwa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari (tafadhali someni)

    Jamani mi napenda kujua ivi inakuwa mtu anakufa kwa ajali mbaya kama ile alafu wewe unachukua ile picha yake ya ajali unaiweka kwenye mtandao huu wa JamiiForum na wana jamii wanao monitor ii forum hawachukulii hatua yoyote. Mi nilitegemea kuwa wangeweka picha yake kabla ya kifo chake wakati...
  16. Babb-Babbjrtz

    Dk slaa vs jk vote nani zaidi

    JK kiboko weeeeee Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  17. Babb-Babbjrtz

    NIMEKOMA kushobokea vi-offer mbuzi! (My Bad Friday Night)

    Tatizo nn,usawa wenyewe huu haueleweki,mshazoea kila mkitolewa nje mnataka kulipiwa jamani,bora sharobaro alivyokomaa na wewe ili siku nyingine mjifunze Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  18. Babb-Babbjrtz

    Bikira inanitesa

    Mwanangu hao sita uliowatoa watakuwa hawapindui kwako, unauhakika mpaka sasa kuwa na nyama sita ambazo ukikohoa tu zinakuja
  19. Babb-Babbjrtz

    Du kumbe na jirani yangu ni changuduoa anajiuza

    Aibu kwako tu ye hana habari
Back
Top Bottom