Kumbuka hotuba yake ya kwanza wakati Ana lifunguwa Bunge.
Alisema kwamba kazi anayo kwenda kuifanya sio Rahisi kwake Ila Ana Omba Wananchi wamu Ombee Mungu sababu jukumu ni kubwa.
Alijua anacho kwenda kukifanya kwa Nchi Yetu ni jambo litalo weka Maisha yake hatarini.
Wana Siasa Wana jua kabisa...
ile sherehe Yenu ime malizika?
Mbona tuna jua nyie Mna sherehe ya Msiba wa Rais wa Nchi.
Hakuna Chama kikuu cha upinzani Tanzania
Hakuna Ku Bembelezana sababu Miaka Miaka yote Hii tuliyo wapa Fursa hakuna mlicho changia tofauti na Ku ungana na wapigaji tu.
Tuna lengo laku ijenga Nchi ivo...
Ni wazi tu kwamba Mipango na Manunuzi ya Kitu kama ndege lazima kipitishwe na Bunge ndio Democrat way yaku jenga au kununuwa Assets za Serekali
Na ili Bunge lipitishe lazima Serekali ije na Ombi linalo Beba Maelezo yaku tosha kuhusiana na Hilo jambo inayo Taka Bunge likubali
Pia lazima benge...
Una Ongea Upuhuzi mtupu.
Jaribu kutofautisha Nyakati
Huwezi linganisha Nyakati zaku Dai Uhuru na wakati huu waku jenga Nchi.
Tumeishi na Nyerere wakati mrefu bila Mambo Makubwa katika sector za Maendeleo.
Nyerere Ali jikita Kujenga Taifa moja ki Mtazamo na fikra.
Katika nyanja za Maendeleo ni...
Kumbe ume copy huu Ujinga wako
The Obituary I Promised to Write!!!
https://www.dailymaverick.co.za/article/2021-03-22-tanzanias-five-years-of-devastation-under-the-presidency-of-john-pombe-magufuli/
Link hiyo[emoji1546][emoji1546]
Kumbe hujui kama kaitowa kwa news flani ya wazungu wajinga
... Funguwa hii
The Obituary I Promised to Write!!!
https://www.dailymaverick.co.za/article/2021-03-22-tanzanias-five-years-of-devastation-under-the-presidency-of-john-pombe-magufuli/
Hiyo lock down ya Miezi 3 utakuwa una wahudumia Wewe?
Wali kuambia barakoa ndio Ina zuwia korona?
Mbona Nchi Zenye Lock down ndio Zina kiwango kikubwa cha Vifo?
Na barakoa Wana vaa kila siku
Acheni Maujinga ya PhD
Hii ni biashara tu nipo South Afrika hapa
Naona kila kitu
Kuna mikoa kibao imechoka sana hii pesa wana taka kugawa tu majengo yatagarimu Pesa nyingi nusu ina ingia mifukoni mwao au wana andaa ufisadi wa namna nyingine!
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Kubadili wana siasa walio bobea kwa ufisadi na kuwafanya wawe wafanyakazi wa taifa kwa maslai ya Taifa sio kazi ndogo inabidi udikteta utumike kwa 70% bila ivo hawa jamaa hawata nyooka kamwe.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Siku magufuli akiagiza kufutwa kwa mbio za Mwenge Basi nguvu ya Ccm ndio inafika kikomo nchi Nzima kwani Mwenge ndio zindiko Kubwa na hakuna zaidi ya Mwenge ndani ya Ccm.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Ni aibu kweli kweli ila angalia majumba wanayo miliki! Ni majengo ya mamilioni ila office kuu ya chama wameisahau kabisa yaani mimi wakati naiona mara ya kwanza nilikataa kuwa sio labda ni office ya kata kumbe ndio office kuu taifa! Alafu una niambia hawa wana weza simamia nchi! Wachumia tumbo...
Ngoma mdundo wata nyooka tu hii nchi inaitaji maamuzi kama haya lazima ifike wakati wa kuchukuwa maamuzi magumu ichi ime aribiwa sana kama mtasema raisi ni dikteta sawa tu ilimradi analeta mabadiriko ya utendaji kazi
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Unapo sema garama ya toka kigali kwenda rwanda ina shangaza sana. Yaana nikama vile unasema garama ta kutoka bongo kwenda tanzania!! Aaaaaahaaaahaaaah kweli njia ya muongo ni fupi! Laaaaa yani kwa akili zako timamu unasema gari moja lina tumia lita 25000!! Maajabu! Haya. Kajifunze tena...
Kuna tofauti ya maisha ya kawaida na maisha ya siasa hao wanyarwnda wa asili ya kitusi ni kama panya wanakula na huku wana puliza. Unaweza ishi na mnyarwanda hata miaka 20 na usijuwe alicho nacho moyoni ila siku ikifika ndipo utamjua ni nani! Wewe kaa kimya tu huwezi jua ukarimu na uzuri wa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.