Search results

  1. Jodoki Kalimilo

    Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

    Tupo mkuu tunapambania mkate wa Kila siku, tukipata muda tunaingia humu tena, kazi njema mkuu
  2. Jodoki Kalimilo

    Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

    Tupo mkuu...nashukuru kumbe unanifuatilia japo Kwa kidogo nachochangia
  3. Jodoki Kalimilo

    Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Kunguni wanasababishwa na uchafu japokuwa tukivamiwa na kunguni huwa tunajitetea na kuona jambo la kawaida ila ukweli ni kwamba Kuna sehemu tulikosea jamaa hao
  4. Jodoki Kalimilo

    Kikomo umri wa kuomba ajira Serikalini

    Kwahiyo atakuwa yeye mwenyewe na si ndugu yake bila shaka? Anyway, back to the point, kimsingi hapo kigezo cha unri kineshamtupa yaani hata kama angekuwa ana 45 years na mwezi mmoja bado systems ingemtema unless hiyo kazi inahitaji ujuzi wa ziada ambao una add value serikalini (kazi za mikataba...
  5. Jodoki Kalimilo

    Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Hii ndo maana halisi ya kutofautiana hoja, nimetoa maoni yangu na wewe ukatoa yako based on maoni yangu, mwisho wa siku umekuja na point ya msingi paragraph ya mwisho though siwatetei ila nilikuwa naangalia Kwa jicho lingine nikikumbukia fujo za South Africa kuwafukuza wageni huku hizo kazi wao...
  6. Jodoki Kalimilo

    Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Hivyo vitu fake vipi kwao Waturuki tu mkuu au una lingine mkuu? Au ni hisia kwamba wanachukua ajira za Watanzania yaani mpaka umachinga wanafanya wao? Kama issue ya bidhaa fake, je ukienda kwenye maduka mengine mbali na Waturuki hakuna bidhaa fake? Kama ni issue ya umachinga wao, je kabla ya...
  7. Jodoki Kalimilo

    Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

    Duuh nimezoea Kila siku na begi mgongoni ila angalau imeharibika hii miezi 2 natembea bag without mpaka nimezoea wakati kipindi cha nyuma nilikuwa najiona kama Sina balance nikitembea bila bag
  8. Jodoki Kalimilo

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Shida tu vyombo vya serikali kujihusisha navyo, ingebaki tu kama taratibu, kanuni, mila na desturi za eneo husika ambazo zinatatuliwa Kwa maelekezo ambayo sio Sheria mfano "mtu anapoingia anaambiwa si busara kula hadharani na hata akionekana anakula anaambiwa". Ni kama tu watalii wanapoingia...
  9. Jodoki Kalimilo

    Kwanini ajali ya mabasi 2 na lori la mafuta kuungua moto iliotokea Mlandizi haiongelewi? Wembamba wa Morogoro Road ni janga la taifa

    Tukishindwa kuzitumia vizuri hii nyembamba basi hata barabara ikitanuliwa mambo yatakuwa yaleyale. Ajali iliyotokea ni utaratibu ule ule wa kutoachiana nafasi (keep distance) kati ya bus na bus na kufukuzana ambapo wa mbele amemgonga tanker la mafuta kilichofuata wa nyuma nae akaingia kwenye...
  10. Jodoki Kalimilo

    CAF Champions League: Tupia utabiri wako wa weekend hii

    Yaani hapa mie ni kama mtu ana hiyo hiyo ela alafu umwambie a-bet. Mie nasema Yanga 3 - Mamelod 0 Simba 1 na Al Ahly 1 TP Mazembe anapiga goli 1 bila Asec anashinda 2 bila
  11. Jodoki Kalimilo

    CAF Champions League: Tupia utabiri wako wa weekend hii

    Utabiri wa humu ni kiboko, mtu akitabiri Yanga anashinda upande wa Simba anatabiri kupigwa....akitabiri Simba kushinda Kwa upande wa Yanga anatabiri kupigwa
  12. Jodoki Kalimilo

    Aljazeera English inapigwa spana sana mitandaoni tatizo nini?

    Hapo kwenye "my take" inaonyesha hata wewe ni miongoni mwa wapiga spana Aljazeera English hata kama ulikuwa mpenzi msomaji wa comments ila umeandika kitaalam sana kama unashangaa inavyopigwa spana. Anyway, Aljazeera kipindi cha Osama ilikuwa moto sana kwenye habari za nchi za mashabiriki ya...
  13. Jodoki Kalimilo

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Ndio alichoandika jamaa asichokozwe na Kila mtu atambe kwenye mipaka yake, Kwa kwenda tu kwenye kichuguu ambalo ndo maficho yake automatically atakudhuru maana hana option nyingine zaidi ya kukudunga tofauti kama angekuwepo kwenye kichaka kingine cha kwanza angetafuta chimbo lake Kwa kusepa...
  14. Jodoki Kalimilo

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Achana na mambo ya mkaa endelea na shughuli zako, kugongwa na nyoka ni bahati mbaya mkuu na kwake nyoka hapendi kugonga mtu (ni matumizi mabaya ya sumu ambayo anatumia kuwinda) Mkianza shughuli atahama au atakuwa anapita usiku mchana anapotea. Kelele na mishe za raia zitamdogeza mbali N.B...
  15. Jodoki Kalimilo

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Hakuna shida mkuu, nyoka kwake ni porini na huko ndo maskani yake na ukitaka kum-disturb ndo utaangamia. Yaani mpaka umefika hapo kwenye msitu wako umewapita nyoka kibao sema Kwa kuwa hujawashitukia unaamini huko kwenye mashamba mengine hakuna nyoka. Nyoka Kwa binadamu ni mwoga na akimwona...
  16. Jodoki Kalimilo

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Koboko hana tatizo ila tatizo lipo kwetu sie wanadamu, angekuwa yupo kwenye makazi ya watu hapo sawa lakini huyo yupo porini hana shida.....ukiona nyoka amemgonga mtu ujue mtu ndio amemfuata vinginevyo hawezi kukufanya chochote sana sana atatafuta sehemu nyingine ya kujificha. Kama huna uwezo...
Back
Top Bottom