Search results

  1. C

    Msimamo wa ligi kuu NBC msimu ujao, kulingana na wachambuzi

    kelele za chura hazimnyimi.....kunywa maji
  2. C

    Halmashauri zatakiwa kutobomoa nyumba za wananchi kwenye makazi holela

    ina maana gani kulipa 5000 kwa miaka mitano au ndo maandaliz ya kampeni za ccm
  3. C

    Msaada tafadhali

    Habari wana jf nimekutana na demu wangu siku saba baada ya hapo akapata hedhi . Tukakaa akanipigia simu akaniambia siku zake hazioni na ni siku ya thelathin ktk mzunguko wake.tatizo linakuja hivi ananiambia ana ujauzito wakati nimemuacha akiwa anableed.sasa mimba ni yangu au naibiwa naombeni...
  4. C

    Duka la vyakula rejareja

    Mi ni kijana umri miaka 23 nina aidia ya kufungua duka la vyakula rejareja maeneo ya Kigambon ila sina uzoefu na biashara na nikiazio kipi cha mkwanja wa kuazia hadi sasa nina 60,0000. NAOMBA MSAADA KWA WENYE UZOEFU NA BIASHARA.
  5. C

    Fundi umeme magari madogo

    natafuta kampun au workshop ya kufanya kazi ya utengenezaj magari madogo upande wa electric system.nisaidien tafadhal
  6. C

    Wazo la leo

    mi naweza
  7. C

    NEWS, barabara ya morogoro road yafungwa

    habari zilizo nifikia hivi punde kwa wale wanaotumia barabara ya morogoro road imefungwa kutumika leo,serikali inawaomba radhi kwa usumbufu utakao tokea kwani kuna babu anajifunza baiskel
  8. C

    Shule bora za Serikali A-Level

    pugu boys PCM,PCB na EGM
  9. C

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    mimi natumia saa 1 kupiga bao 1 na siwezi endelea na mchezo mpaka saa 1 liishe ndo naweza endelea na mchezo tena
  10. C

    Msaada tafadhali

    ngoshwe nimekuelewa vilivyo ahsante
  11. C

    Msaada tafadhali

    Mke wangu anatoa uchafu mweupe kila nifanyapo tendo la ndoa .naomba ufafanuz kwa anae lijua tatizo hili?
  12. C

    Kifo cha msanii mwingine.

    IDD NDUKA kama sija kosea
  13. C

    Ushauri tafadhali

    wandugu asanten kwa ushauri wenu,
  14. C

    Ushauri tafadhali

    kuboresha nyumba na nina uwezo wa kujitegemea kwani nimeajiriwa ktk kampun moja hapa mjin na nalipwa mshahara si mbaya sana
  15. C

    Ushauri tafadhali

    nikijana wa kiume, nimekaa mbali na wazazi zaidi ya miaka 7 nikiwa nasoma,wazazi wangu wote wana kipato,hakuna mdogo wangu anae nitegemea,sina mda maalum wa kurudi nyumban ila natakiwa nitoe taarifa kama nitachelewa au km sirudi,faida inazoziona nikiondoka home ni kuacha kuwategemea...
  16. C

    Ushauri tafadhali

    hapana sio uhuru wa private life, naomba nikuulize madame x we ulivyo anza life ulianza kujijenga au uliaza kuboresha familia yenu?
  17. C

    Ushauri tafadhali

    ndugu zangu naomben busara zenu hapa.Mi bado ni kijana miaka 24 ndo naanza kujenga maisha yangu ila bado nipo kwa wazazi,nili mweleza mama yangu kuwa naomba niondoke nyumban nikajitegemee ila mama yangu kanikatalia na kaniambia nikiondoka ananiachia radhi yeye anachoitaji ni tuiboreshe nyumba na...
  18. C

    CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

    Boko haramu kawaua wasudan mbili kavu
  19. C

    list ya wachezaji walio itwa kilimanjaro stars

    tujulishen wachezaji walio itwa kilimanjaro stars
Back
Top Bottom